moto

Grand Prix motorcycle racing is the premier class of motorcycle road racing events held on road circuits sanctioned by the Fédération Internationale de Motocyclisme (FIM). Independent motorcycle racing events have been held since the start of the twentieth century and large national events were often given the title Grand Prix. The foundation of the Fédération Internationale de Motocyclisme as the international governing body for motorcycle sport in 1949 provided the opportunity to coordinate rules and regulations in order that selected events could count towards official World Championships. It is the oldest established motorsport world championship.Grand Prix motorcycles are purpose-built racing machines that are unavailable for purchase by the general public and unable to be ridden legally on public roads. This contrasts with the various production-based categories of racing, such as the Superbike World Championship and the Isle of Man TT Races that feature modified versions of road-going motorcycles available to the public. The current top division is known as MotoGP since 2002 when the four-stroke era began. Prior to that, the largest class was 500cc, both of which form a historical continuum as the official World Championship, although all classes have official status.
The championship is currently divided into four classes: Moto Grand Prix, Moto2, Moto3 and MotoE. The first three classes use four-stroke engines, while the MotoE class (new in 2019) uses electric motorcycles. The 2019 MotoGP season comprises 19 Grands Prix, with 12 held in Europe, three in Asia, two in the Americas, and one each in Australia and the Middle East.
The most successful rider in Grand Prix history is Giacomo Agostini with 15 titles and 122 race wins. In the top-flight series, Agostini holds the title record with eight, followed by active riders Valentino Rossi with seven and Marc Márquez with six. As of 2019, Rossi holds the record for most top-flight race wins with 89.

View More On Wikipedia.org
  1. Q

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anajaribu kuzima moto wa petrol kwa maji

    Moto wa petroli una tabia kuu moja, unapoumwagia maji ili kuuzima unaibukia pembeni tena kwa nguvu zaidi ya ule wa mwanzo tena una tabia ya kulipuka. Deusdedith Soka kijana aliyeandamana kupinga mkataba wa DPW jana kachomewa nyumba yake na watu wasiojulikana, Mdude, Mwambukusi na Dr. Slaa...
  2. JamiiForums Tanzania Watanzania 5 waripotiwa kufariki kwenye ajali ya Moto Afrika Kusini

    Watu wasiopungua 70 wamepoteza maisha na wengine 52 wamejeruhiwa kufuatia moto uliozuka katika jengo la ghorofa tano katikati ya mji wa Johannesberg nchini Afrika Kusini. Moto huo umetokea katika jengo lililopo katika eneo lenye shughuli nyingi za kibiashara la jiji hilo kubwa la Johannesburg...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Moto kwenye jengo la wahamiaji Johannesburg

    Kumetokea moto katika jiji la Johannesburg kwenye jengo linalotumika na wakaazi na idadi kubwa ya wahamiaji, na kuua watu 74 ambapo kuna uwezekano wa ndugu zetu wa Tanzania. Pia huwa wanajibanza haya majengo ni maarufu kwa wahamiaji kwa sababu, wengi huwa hawalipi kodi kuishi au kulipa kodi...
  4. P

    JamiiForums Tanzania Kwa ujio wa Jerry Silaa Wizara ya Ardhi, Open Spaces zitakiona cha Moto

    Jana kumefanyika mabadiliko katika Baraza la Mawaziri. Katika mojawapo ya Wizara iliyoguswa ni Ardhi ambayo Jerry Silaa ameteuliwa. Nipende kusema kwa ushahidi pale tumepigwa. Namfahamu vizuri ndugu Waziri tangu akiwa Meya hadi Mwenyekiti wa Kamati ya Uwekezaji Bungeni. Jamaa ni mtu wa dili...
  5. JamiiForums Tanzania Moto unawaka Kiwanda cha Kuzalisha Magazeti ya kampuni ya Mwananchi

    Taarifa za awali zinaeleza kuwa moto unaunguza kiwanda cha magazeti cha kampuni ya Mwananchi huku juhudi za uzimaji ukiendelea
  6. JamiiForums Tanzania Mambo saba (7) ya kufanya ili kuuzima moto wa mgogoro unaosababishwa na mkataba wa DP world na Tanzania

    Mgogoro unaozunguka mkataba kati ya DP World na Serikali ya Tanzania umezua hisia na mijadala katika jamii ya Kitanzania. Hili ni suala linalohitaji kushughulikiwa kwa umakini ili kuepuka athari za kudumu kwa taifa letu. Kwa kuwa kuna maoni tofauti na hisia kutoka kwa wananchi, serikali, na...
  7. JamiiForums Tanzania Auawa kwa kuchomwa moto akituhumiwa kumlawiti mtoto hadi kusababisha kifo chake

    Wananchi wenye hasira katika Kata ya Isanga, jijini Mbeya, wanadaiwa kumuua kwa kumchoma moto mtu ambaye hajafahamika jina lake, kwa tuhuma za kumlawili mtoto wa miaka mitano na kusababisha kifo chake. Imeelezwa tukio hilo limetokea Juzi, Jumatatu Agosti 21, 2023 saa 1:45 usiku na kwamba...
  8. JamiiForums Tanzania Bandari ya Urusi yashambuliwa, inawaka moto mkubwa

    Ni muendelezo wa kumpa Mrusi kibano, kumgeuzia kichapo, sasa hivi ndiye anapokea, kaanzisha...wenzake wanamaliza....na alishatoa mkwara kwamba akiguswa ndani atafanya kitu, sasa Ukraine wanajipigia opote kuanzia ikulu hadi bandarini...... https://t.me/shot_shot/55761 A huge fire covering at...
  9. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mombasa: Mwanaume ajichoma moto kupinga hali ngumu ya maisha

    Mwanaume mmoja amelazwa Hospitali nchini Kenya baada ya kujichoma moto katika eneo la Mwembe Tayari Kaunti ya Mombasa huku chanzo cha kufanya hivyo kikiwa bado hakijafahamika ingawa taarifa za awali zinasema sababu ni kutuma ujumbe kwa serikali kuhusu ugumu wa maisha. Video inayosambazwa...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Waislam wa Pakistan wachoma moto Makanisa na nyumba za wakirsto Tarehe 15 Agosti, 2023

    Fikiria Taifa la Pakistan ambapo Jamii ya Waislam ndyo wengi takribani 98% wakati Wakristo ni asilimia 1.5% tu, halafu bado Jamii hiyo ya Waislam walio wengi hawaonyeshi huruma hata kidogo kwa wenzao ambao wingi wao ni kama tone la maji kwenye ndoo ya lita 20. Kwa taarifa tu ni kwamba nchi ya...
  11. JamiiForums Tanzania Ukraine wafaulu kukomboa eneo la Urozhaine, moto yaani counteroffensive inakwenda freshi

    Warusi wanaendelea kupelekewa moto na kukimbia maeneo yanayokombolewa. Hanna Maliar, Deputy Defence Minister of Ukraine, has reported that Ukrainian defenders have liberated the village of Urozhaine in Donetsk Oblast. Source: Maliar on Telegram Quote: "Urozhaine has been liberated. Our...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Sweden: Nakala ya Quran yachomwa moto na kudhihakiwa mbele ya Kasri la Mfalme

    Matukio ya kuchoma moto na kudhihaki kitabu cha Quran yameendelea tena nchini Sweden ambapo jana watu wawili walichoma moto na kuchana chana kanala za Quran hadharani mbele ya kasri la mfalme. Ikumbukwe wiki iliyopita waziri Mkuu wa Sweden alisema anasikitishwa na kitendo cha idadi kubwa sana...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Tuchukue tahadhali ya moto, ona mji ulivyoungua wote huko Hawaii

    The weather has been very dry in Hawaii recently withisolated wildfires breaking out. However, it was the passage of aseemingly benign "fish hurricane" in the eastern Pacific which escalated thesituation. Fish hurricane is a term meteorologists use to describestorms that are in open oceans...
  14. JamiiForums Tanzania Maji yanafanyaje hadi yanazima moto? Maji yanaweza kuwaka?

    Habari wana JF. Maji yanafanyaje hadi yanazima moto? Na kwa nini vitu vibichi huwa "haviwaki"? Pia inawezekana maji yakashika moto na kuwaka kama ilivyo kwa mafuta, ponbe nk? Kiufupi naomba kupata elimu juu ya moto na maji. Natanguliza shukrani.
  15. JamiiForums Tanzania Moscow, Urusi ndani kunawaka moto mkubwa baada milipuko,

    Muendelezo wa alichoahidi Zelensky, Moscow wakae mkao wa kupokea salamu za madude yanayopaa juu yao.... August 10, 20233:54 AM GMT+3Updated 9 hours ago Aug 10 (Reuters) - Russia's emergency service said early on Thursday that an auto repair shop caught fire in Domodedovo outside Moscow...
  16. JamiiForums Tanzania Kikwete na Kinana wamtaka Kubenea na MwanaHalisi Kuomba Radhi kwa madai ya kuwalipa wanaopinga Mkataba wa Bandari

    Rais Mstaafu wa Awamu ya 4 Jakaya Mrisho Kikwete na Makamu Mwenyekiti wa CCM, Abdulrahman Kinana wamemwandikia Barua Saed Kubenea na Gazeti lake la Mwana Halisi wakimtaka kutimiza madai yao mawili ambayo ni 1. Kufuta Kashfa Dhidi yao na Kuomba Radhi 2. Kuahidi Kuacha Kuwakashifu kutokana na...
  17. JamiiForums Tanzania Gari la mafuta linawaka moto muda huu maeneo ya Ubungo

    Mliopo maeneo ya Ubungo na Kimara kibo, tupeni update ya hapo maana wengine wanakimbilia hatari. === Lori linalosafirisha Mafuta limepinduka na kusababisha Moto mkubwa katika maeneo ya Ubungo jirani na Kituo cha Mabasi Yaendayo Kasi cha Kibo jijini Dares Salaam. Jeshi la Zimamoto limefika...
  18. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Gari letu la matangazo limechomwa moto karibu na Chato. Hatutishiki, Mkutano wa Chato utaendelea

    Gari yetu ya matangazo & vyombo vyake vimechomwa moto na kuharibiwa na wahuni wa CCM usiku wa kuamkia leo karibu na Chato. Lengo lao liko wazi: kututisha ili tuogope kufanya mikutano ya hadhara wilayani Chato leo. Hatutishiki & hatutakubali kutishwa. Tunaelekea mkutanoni Chato sasa Tundu...
  19. JamiiForums Tanzania Chato: Gari la matangazo ya mikutano la CHADEMA lanusurika kuteketea kwa moto

    Gari lililokuwa linatumika kufanya matangazo (PA) ya mikutano ya Makamu Mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Tundu Lissu, lenye namba za usajili T 658 DQL limenusurika kuteketea kwa moto usiku huu Chato mkoani Geita baada ya watu wasiojulikana kutaka kufanya jaribio la...
  20. JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz na Alikiba waanzisha vita ya maneno kwenye mitandao ya kijamii

    Vita ya maneno imezidi kushika kasi kati ya Diamond na Alikiba Cheki hapo chini
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…