money

  1. JamiiForums Tanzania Nimetumiwa pesa toka CRDB kuja Airtel money tangu jana Alhamis hadi leo Ijumaa haijaingia

    Naombeni msaada Nifanyaje jana mafundi walikuwa site nusu wanipige makofi. Pesa imetumwa kutoka CRDB kuja Airtel money tangu jana alhamis saa 12 jion hadi saiz naandika ni saa 12 asubuh pesa haijafika CRDB Wanasema pesa imeshatumwa Airtell Money wanasema hakuna muamala wowote.
  2. JamiiForums Tanzania Giggy Money sasa Ameokoka

    Sio maneno yangu Mwenyewe amesema kuwa ameokoka Kama NI kweli nimefurahi sana Ila kucha haachi JE mabwana?!
  3. U

    JamiiForums Tanzania Why Tanzanian youth opt to buy cars instead of saving money

    Did you had any idea that investment accounts and a culture of saving impact mental, conceptive and sexual strength of the young?<br><br> I surmise not. As per Youngsters and Youth Money Worldwide, concentrates on directed in Ghana, India, Uganda and Kenya propose that there is a positive...
  4. JamiiForums Tanzania Ni mambo gani ambayo ukifanya kwa kutumia pesa yako nafsi yako hupatwa na furaha sana na amani?

    Hallo Wakuu, Baridaaa! Ni Mambo gani ambayo ukitumia pesa (money) yako.. nafsi yako (roho yako) hupatwa na furaha sana na amani ndani yake? Binafsi; 1. Ninapo mpa pesa mke wangu, hunifanya kusikia furaha ya ndani sana moyoni mwangu na ninakuwa na amani. 2. Kujaza wese na kukimbia (napenda sana...
  5. JamiiForums Tanzania ✅When a Lady Loves U, She Act Like A Lovely Sister. She Want The Best 4 U, She is Not Desperate for Your Money, Many Times She is Even Afraid 2 Bill U

    Ni kastori ya kabinti kamooja..... Leo nimeamini..,. Ni ngumu saana kwa baadhi ya mabinti kuonesha hisia zao wazi kwa mwanaume wa Ndoto zake.... Nilikutana na huyu binti humu humu Jf.... Tulijuana kidogo...kuna bidhaa alikuwa anauza (men's clothes)... Mawasiliano yakatoka DM....to physical...
  6. U

    JamiiForums Tanzania Halmashauri ya Jiji la Dodoma linaongoza kwa Rushwa. No money no service!

    Hili Jiji la Dodoma na halmashauri yake ni moja ya sehemu iliyojaa Rushwa iliyokithiri viwango vya kawaida vya kupeana maji ya kunywa kishkaji, ni Jiji la hovyo likiongozwa na Mkurugenzi wake asiyejali kitu chochote, haya ni baadhi 1. Hupati hati bila kutoa rushwa, waje hao wachache Viongozi...
  7. JamiiForums Tanzania Tatizo la Airtel Money

    Habari wakuu! Kwa wale wanaotumia Airtel, hili tatizo la Airtel Money na kwenu lipo??? Sio kwenye app tu...hata kwa menu ya kawaida kuna error 😬😬
  8. M

    JamiiForums Tanzania Forex_ICT strategy/Smart Money concept

    Habarini wadau, kwa wale ambao bado tunajifunza, kuna hii kitu strategy ya ICT-Inner Circle Traders na wengine wanaita smart money concepts ambayo nimekuwa najifunza jifunza katika kutaka kuelewa vizuri forex trade.Nadhani kwa wale kama mimi sio mbaya mkaiangalia hii kitu ni nzuri sana...
  9. JamiiForums Tanzania Je kuna miracle money? Je ni nani ameshawahi kupata miracle money?

    Miracle money ni hela unayoipata kwa njia ya ajabu kabisa ambayo hukuitarajia. Siku za hivi karibuni kuna wakuu wa dini wamejitokeza wakosema eti wana uwezo wa kukuombea ukapata miracle money. Nijuavyo mimi, miracle money huombewi na mtu yeyote, ila unaomba wewe mwenyewe, na huipati hadi uwe...
  10. JamiiForums Tanzania Money is the King of Love. My money is my ego

    Wasalaam JF, Money is the king of love. Money is the only magnet that women have since failed to resist. Nawakumbusha wanaume tafuta pesa wanawake watakutafuta wewe. Chase money and women will Chase you. Thank me later. Wadiz
  11. JamiiForums Tanzania Kutuma/Kupokea Hela kwa Nala Money, Xoom, World Remit, Sendwave au Remitly

    Habarini wadau wangu wa nguvu. Napenda kuuliza kuhusu Nala Money; Kuna yeyote humu ambae ameshawahi itumia. Nadhani wengi watakuwa bado sababu kwa Tanzania bado haijazinduliwa. Jambo langu kubwa ambalo nilitamani kulifanya ni kuweza kupokea hela kutoka nje (German). Naomba kama Kuna mwenye...
  12. JamiiForums Tanzania Learn to work, don't work for money! Najuta kuupoteza muda kwenye elimu

    Najuta kupoteza muda wangu kwenye elimu ni ujinga na upumbavu mwishowe naanza kuhangaika na bahasha za kaki tu wakati age mate wangu au wote ambao nimemaliza nao shule form four and la saba now ni ma billionaire au mamilionaire mie ndiye ambaye nawapiga vizinga tu ni ujinga na upumbavu kuamini...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Man made money.. Ukata unatoka wapi!?

    Habari wapendwa kama nitakuwa sipo sawa naomba mnioe maelekezo ambayo yatanisaidia. Pesa inatengenezwa kama bidhaa nyingine, lakini sijajua ugumu unatoka wapi wa kutengeneza pesa nyng ili watanzania tukafurahia maisha kiwepesi zaid na kuanza mambo mengne ya kimaisha kutokana na serikali yeti...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nakusudia kufungua kesi ya madai dhidi ya Airtel Money Tanzania Ltd

    Habari za leo, Mimi ni mfanyabiashara na ni mtumiaji wa huduma za Airtel Money. Juzi tarehe 3 Machi 2023 nilifanya muamala wa kuhamisha pesa kutoka Airtel money kwenda Benki, akaunti yangu binafsi pesa ilitoka ila kwenye akaunti haikuingia. Nilipiga simu huduma kwa mteja wakasema kuwa wao...
  15. JamiiForums Tanzania Rostam Azizi to build 200 million LPG Facility in Kenya with Our money may be!

    Rostam Azizi na Taifa gas yake wanainvest 200 million dollars LPG facility huko Kenya, swali langu ni kwamba and its rhetorical hizo fedha kazitoa wapi? Isijekuwa ni mambo ya EPA yanajirudia, na kwa nini asijenge Tanzania ? Unaweza kukuta kabisa amechukiwa mkopo na aliyedhamini huo mkopo ni...
  16. JamiiForums Tanzania What would you do if you had unlimited resources?

    Imagine for a moment that you have unlimited resources at your disposal - unlimited time, unlimited money, unlimited knowledge, and unlimited abilities. What would you do with this abundance? Would you travel the world? Start a business? Pursue a passion project? Help those in need? Or would...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Kuna tatizo gani Airtel Money leo?

    Leo nimetuma pesa kutoka akaunti ya NMB kwenda airtel money pesa haikufika. Nikatuma tena kutoka Tigo pesa nayo haikufika. Nimepiga simu huduma kwa wateja mhudumu akasema hanisikii vizuri akakata simu. Kuna mtu amekumbana na hili tatizo au ni mimi tu🤔
  18. JamiiForums Tanzania Floyd 'Money' Mayweather anunua cheni yenye thamani ya Tsh. Bilioni 2.3

    Bondia amefanya hayo siku chache kabla ya pambano lake lisilo la ubingwa dhidi ya Aaron Chalmers, Februari 25, 2023 Nchini Uingereza ikiwa ni siku moja kabla ya kutimiza umri wa miaka 46. Cheni hiyo ameinunua kwa Dola Milioni 1 ikiwa ni zaidi ya Tsh. Bilioni 2.3 ina uzito wa kilo 2.6 imeundwa...
  19. JamiiForums Tanzania Valentine's day, what can you do?

    Valentine's Day is a special day dedicated to celebrating love and affection between intimate partners. This holiday is widely celebrated around the world and offers an opportunity to express love and appreciation for that special someone in your life. While the traditional approach to...
  20. E

    JamiiForums Tanzania Wale wa "education is better than money" mpo? Mnalikumbuka hili swali lakini?!

    Naona kodi mtakuwa mnalipa kwa kutumia vyeti pamoja na report cards au sio?!....kwanza speaking of kodi, kuna michongo gani short term ambazo zinaweza kuboost balance ya mpunga kidogo? Mkataba wangu sio poa, january wenzangu wanapambana sasa zamu yangu imefika...ewaaa!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…