mna

Mna (Georgian: მნა) is a village in the Truso Gorge, part of the historical region of Khevi, north-eastern Georgia. It is located on the left bank of the Tergi tributary river – Mnaisistskali. Administratively, it is part of the Kazbegi Municipality in the Mtskheta-Mtianeti region, known as mkhare in Georgia. Distance to the municipality center Stepantsminda is 29 km (18 mi).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Hivi nyie "Vi-Ben10" na "Mamarioo" mna akili timamu au mmerogwa na hawa Mashugamami?

    Wakuu, achaneni na mambo ya siasa na uchumi, njoeni hapa pande za ChitChat tupige story za ukweli. Leo nataka tuongee kuhusu hawa viumbe wa ajabu wanaoitwa "Vibenten" na "Mamarioo." Nitaongea lugha kipimo chao.. Nisamehewe😂 Hivi nyie wavulana wa hovyo mna akili timamu kweli au mmerogwa na...
  2. JamiiForums SI KWELI CHADEMA wametumia Picha ya AI kuongeza idadi ya wafuasi kwenye mkutano wao Arusha?

  3. JamiiForums Mtandaoni kila mtu daktari, Figo Figo mna uhakika?

    Kupima kwenu kwa macho kunawaponza mzungu sio mjinga kuweka vipimo sio kila homa ni malaria
  4. K

    JamiiForums Wanaosema matumaini na tume! Je mna matumaini na Mama! Ile ya jinai ilikuwaje?

    Wanaosema matumaini na tume! Je mna matumaini na Mama! Ile ya jinai ilikuwaje? Hata tume iseme nini kama hakuna utekelezaji na Mama akaendelea kudanganya na kujidanganya hii tume itakuwa imepoteza muda. Mtaitwa itasomwa kama ile tume ya jinai halafu hakuna utekelezaji. Hii nchi imetekwa na...
  5. JamiiForums Mna uhakika Rais Samia amesomea uchumi kweli?

    Huyu mama hata hesabu za darasa la pili zinamshinda Hivi kweli nusu ya laki moja ni 556? Hebu msikilizeni wenyewe Na bado anaendelea kukopa na hajui hata kuchagua maneno ya busara ya kujustify upuuzi wake Juzi tu katuambia Marekani mafuta lita moja ni dola 8000 sawa na Tsh milioni 20 😂😂...
  6. JamiiForums Kwa mlio single huwa mna survive aje kipindi mnaumwa?

    Unaishi peke yako. Huna rafiki wa karibu, sasa ikatokea umepata Changamoto ya kiafya kama kuugua Ghafla usiku au kuumia bahati mbaya Mnawezaje kupata usaidizi wa dharura? Au ndio ile ku adapt na mazingira?
  7. B

    JamiiForums Wanaume kujikutaga mna akili na hamuendeshwi kwa hisia, imekuaje mmekamatika kirahisi kwenye uzushi wa kuibiwa nyeti?

    Eti wazee wa logic na akili nyingi safari hii imekuaje?😂🤣🤣 Akili zote na logic zimehamia kwenye mikuyenge? Kutwa kucha kuwakamia wanawake kooni, safari hii mwalimu wetu kipofu kahamia huko kwenu? Kabisa unaambiwa mtu kashikwa bega mali zikaondoka na wewe mzima mzima huyooooo unaamini, kwa kitu...
  8. JamiiForums Hivi wakristo mnaamini vipi hiki kitu? Embu tazama hii video

    https://www.instagram.com/reel/DWNBYQVD6iK/?igsh=cTY2aWVyZjc1aGNx
  9. JamiiForums Kwanini wateja wanatumia “mna” na “wingi” wanapoulizia bidhaa? Ni saikolojia au mazoea ya lugha?

    Habari wana JF Kuna kitu nimekuwa nikikiona mara kwa mara kwa wateja wanakuja kuulizia bidhaa dukani. Mteja baada ya salamu anauliza kwa kutumia wingi, hata kama anahitaji kitu kimoja tu. Mfano: •Hivi mna pump za Pedrollo? •Mna taa za Tronic? •Mna pipes za PVC? •Mna switches za umeme? •Mna...
  10. JamiiForums Mnatuambia tusioe wakati nyie mmo kwenye ndoa, mnamaanisha nini?

    Hili jambo linaniumiza kichwa sana unakuta mtu anahamasisha tusioe ilihali yeye yumo kwenye ndoa. Mzee wa kaliua ukimsikiliza mambo yake huko Instagram, yeye na wrngine wana kandia ndoa sana, lakini inasemekana ye kaoa na ana watoto, sasa huku nikuhurumiana kupotoshana?
  11. JamiiForums TRA NA JESHI LA POLISI BUNDA MNA HABARI KUHUSU HUYU JAMAA ANAYEUZA STICKER FEKI ZA TRA?

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano.Kati ya maandiko yangu ya siku zilizotangulia niliwahi kugusia bwana mmoja maarufu kwa jina Baraka wasila ambaye ni muasisi wa kuuza dhahabu feki hapa bunda mjini.Niliwahi pia kueleza kwamba licha ya kuwa muuza dhahabu feki mjini aliamua kufungua...
  12. JamiiForums Kwenye hili wakristo mna la kujifunza

    Kuna jamaa muislamu kaoa ndoa moja simple sana yani, no mc, no mbwembwe! Wakati wa saa moja kasoro ile kufuturu jamaa kaoa hapohapo, watu wametulia kwenye mkeka na vikombe vya uji wanajitafunia zao maandazi, shekhe aliefungisha ndoa kapigwa buku 5 tu ya maji. Yani ndoa mpaka inakamilika...
  13. JamiiForums Wanaume wa Kigoma mna nini? Mbona sio wastaarabu nyie

    Umekuja mjini toka kigoma fuata taratibu za ulipofikia sio vizuri kujiamulia kila kitu hapa mjini bana sio ujiji. Unakuta mtu anatafuna dagaa wabichi mabarabarani yaani kuweka mfukoni kabisa kama karanga kuhalibu bajeti za watu tu, mkirudishwa kigoma mnaanza fitina zenu . Mbaya kabisa anapika...
  14. Q

    JamiiForums Naibu Mwendesha Mashtaka wa ICC akutana na Thabit Kombo, Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania

    Hatujui Kombo kapewa taarifa gani, lkn yumkini itakuwa ni kuhusiana na mauaji ya 29/10 na kesi iliyofunguliwa ICC. Waliokuwa wanasema hakuna kesi iliyofunguliwa ICC na kudhani mambo yataisha, business as usual wafikirie upya. ========== On the margins of the #AUSummit in Addis Ababa, #ICC...
  15. R

    JamiiForums Chadema mna document historia mnayopitià katikà utawala wa CCM

    Tafiteni historian mzuri, actually awe historian wa chama. Aweke rekodi madhubuti ya madhura mnayopitia. Kwa.mfsno, mna.list ya watu waliouawa na ccm / serikali wakipigania uhuru wa TANGANYIKA? 2. Matendo ya ukatili mliopitia 3. Historia ya chaguzi mlizopitia 4. Kufungwa jela mlikopitia 5. Etc...
  16. S

    JamiiForums Watu wa Dar mna kazi sana mtafika mmechoka

    Hapo ni nyie ndo mnapajua yani ni heka heka kila siku 😂 hiyo yote kuwavuta kwenye chambo, Kuna mwingine ana mafuta ya nazi yani ni balaa😂 jua kwenu ni Kali sana
  17. D

    JamiiForums Watu mna Siri Sana Padri Kitima amekuwa Askofu na Hamsemi

    Nimesikiliza video ya dada Mmoja anajiita Lucy Michael mkazi wa Yombo Dovya Kata ya Makangarawe, anajitambulisha kuwa yeye ni Mkatoliki akimtuhumu Padri Kitima kwa kujihusisha na siasa, kilichonishangaza huyu Dada Mkatoliki anamuita Padri Kitima kuwa ni Askofu, hapa imebidi nijiulize yaani Padri...
  18. M

    JamiiForums Wenye gari zenye cvt mna hakikishaje mnanunua oili orijino kwajili ya cvt ?

    Ni gari zinazohitaji kudekezwa sana kwenye service nakitu muhimu zaidi ni kuzingatia sana oili iwe maalum kwajili ya cvt Watu wengi wanazikimbia kwasababu kuna oili feki nyingi zimejaa na ukithubutu kuzitumia unaua gari itaanza kuwa na matatizo chungu nzima na mafundi wetu wengi hawana uzoefu...
  19. JamiiForums TEC huyu mama anawabeep. Tunaomba muandike barua kwenda ICC kuieleza mna ushahidi wa Mauaji yaliyofanyika Oktoba 29 na mpo tayari kuutoa

    Huu ni wito kwa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania TEC. Nyie ni chombo nyeti sana na mna aminika dunia nzima. Huyu kibibi anawabeep sana. Anawashambulia, anawateka, na kuwafanyia mashambulizi ya kutaka kuwaua. Sasa akishirikiana na wapumbavu wake wa tiss na bakwata anaandaa vikundi vya...
  20. JamiiForums Mna uhakika hawa ni JWTZ?

    Nimepita Kigogo roundabout jioni ya leo nimeona hawa JW ni vijana wadogo wenye ndevu. How comes? Je, ndo maana wengine wanavaa mask kuficha sura zao tusijue kuwa hawa ni UVCCM? Kwa nini jeshi linachezewa hivi?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…