mmoja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. England mpiga penalty ni mmoja tu?

    Sikumbuki last time Kane yupo uwanjani hafu penalty apige mwingine
  2. S

    Peter Madeleka: Hukumu rasimi ya Mahakama Kuu inaonyesha Tundu Lissu alihukumiwa na Jaji Mmoja

    Ni maelezo ya Wakili Peter Madeleka aliyoyatoa kupitia mtandao wa X. Tukumbuke huyu ni wakili
  3. U

    Ndugu zangu Chadema hata ikitokea mbingu zimeagiza muunde serikali nyie hamtoweza kwani hamna hata mbunge mmoja, sijui kwanini mlisusia uchaguzi

    Sasa leo kwa mfanyo Malaika mkuu kaagizwa na mbingu mkiambiwa muunde serikali mtawezaje wakati ham a hata mbunge mmoja? Si bora mngeingia kwenye uchaguzi angalao mngeambulia wabunge wachache Huo ndiyo ukweli hata kama mtanuna Jioni njema
  4. Tatu Senkondo: Mwaka mmoja umepita bila kumwona mume wangu aliyechukuliwa na watu wasiojulikana

    Deogratius Mushi *** Ukiwa umepita mwaka mmoja tangu zilipotokea vurugu za uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025, Tatu Senkondo, mkazi wa Mbezi jijini Dar es Salaam, anaishi katika maumivu na sintofahamu kufuatia kutoweka kwa mumewe, Deogratius Mushi, aliyedaiwa kuchukuliwa na watu wasiojulikana...
  5. Juzi nilimtumia Binti yangu mmoja mstari fulani kumkumbusha na wewe mtumie binti yako mstari huu umkumbumbushe

    Nimesikia kuna tukio limemtokea binti mmoja ambae alikutana na kijana wa hovyo Muhuni akamfanya nae mapenzi kisha akamchukua video huku akiwa anamfanya hicho kitendo bila kuona aibu. Kwa wakati huo naona wengi wamekua wakiongea kusema kijana amefanya tendo la uovu na haikua sawa au jambo sahihi...
  6. Mgawe asimulia kukamatwa, kupigwa na kushikiliwa Polisi mwezi mmoja

    Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Kibamba, Ernest Stanley Mgawe, amesimulia namna alivyokamatwa na Polisi mara mbili mwaka 2025, akidai kuwa katika tukio la pili alichukuliwa kwa nguvu nyumbani kwake, akapigwa wakati wa mahojiano na kusababisha ashindwe kutembea kwa wiki mbili. Mgawe, ambaye pia...
  7. A

    POLISI TANZANIA WAZIDI KUTAMBA KIMATAIFA; MMOJA AIBUKA BORA KATIKA WANAFUNZI 139 KUTOKA MATAIFA 29, MWINGINE AWABWAGA WENZAKE 200 NCHI ZINAZOZUNGUMZA

    Askari wawili wa Jeshi la Polisi Tanzania, Inspekta Koladinna Mahundi kutoka Mkoa wa Ruvuma na Inspekta Salum Ng'anzi kutoka Chuo cha Polisi Moshi, wamepewa uzito wa kipekee baada ya kuibuka washindi kimataifa, kwa kudhihirisha uwezo wa askari hao, hivyo kuiletea heshima nchi yao. Kamanda wa...
  8. A

    Polisi Tanzania wazidi kutamba kimataifa; mmoja aibuka bora katika wanafunzi 139 kutoka mataifa 29, mwingine awabwaga wenzake 200 nchi zinazozungumza

    Askari wawili wa Jeshi la Polisi Tanzania, Inspekta Koladinna Mahundi kutoka Mkoa wa Ruvuma na Inspekta Salum Ng'anzi kutoka Chuo cha Polisi Moshi, wamepewa uzito wa kipekee baada ya kuibuka washindi kimataifa, kwa kudhihirisha uwezo wa askari hao, hivyo kuiletea heshima nchi yao. Kamanda wa...
  9. Diwani Alhaj Dunga: Nitakuwa Diwani wa watu wote sitamuacha nyuma hata mmoja

    Diwani wa kata ya Msaranga Manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro(CCM),Alhaj Ally Pendo maarufu kwa jina la Dunga amefanyaka mkutano wa hadhara na wananchi wake na kuelezea mafanikio yaliyopatikana tangu achaguliwe kuwa Diwani wa Kata hiyo Oktoba 29 mwaka jana Mafanikio hayo yamejikita kwenye...
  10. O

    Watanzania Wawili na Mganda Mmoja Wakamatwa na Dawa za Kulevya za KSh3.6 Bilioni Kwale

    Polisi nchini Kenya wamewakamata raia watatu wa kigeni, Watanzania wawili na Mganda mmoja, kufuatia operesheni iliyofanikisha kupatikana kwa kilo 454 za dawa za kulevya zinazoshukiwa kuwa methamphetamine katika Kaunti ya Kwale. Dawa hizo zinakadiriwa kuwa na thamani ya KSh3.6 bilioni katika soko...
  11. KUNA NYAKATI MAISHA YANAKUPA MAJARIBU MENGI KWA WAKATI MMOJA.....

    Wana JF, naomba mnivumilie kwa dakika chache. Kwa kweli nimefika kipindi ambacho hata kupata maneno ya kuelezea hali yangu imekuwa changamoto. Nimefiwa na baba yangu. Hili ni pigo ambalo si rahisi kulikubali wala kulizoea. Kuna pengo ambalo halizibwi kwa maneno, kuna kumbukumbu ambazo zinabaki...
  12. Kuna faza mmoja leo nlikua nae kwenye usafiri wa uma ananiambia itakua Hadi 2030

    Ndio kilichotokea. Kwamba kwakua hamuwezi anamuweka ndani Hadi amalize mda wake amuachie msala atakaekuja. Au yule faza alikua mtu wa mfumo
  13. Hongera sana Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa kutimiza mwaka mmoja wa kipindi cha pili cha uongozi wako..

  14. Ukumbi wa mahakama kuu mmoja hauwezi chukua watu zaidi ya 200, nawaasa wanaCHADEMA watulie tu nyumbani na kufuatilia hukumu kwenye media.

    Ukienda pale High Court masijala ndogo DSM ukumbi mmoja (open Court) Hauwezi chukua watu zaidi ya 200, hivyo kuhamasishana kwenda pale ni kusababisha demand kubwa ya nafasi kwa kila mtu ambayo inaweza leta mambo mengine yasiyotabirika. Sasa niwaase tu ndugu zanguni tutulie majumbani mwetu...
  15. Hongera sana Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa kutimiza mwaka mmoja wa kipindi cha pili cha uongozi wako 🇹🇿

  16. L

    Mwaka Mmoja madarakani Wa Rais Samia umekuwa wenye Matumaini Tabasamu Furaha na Mwanga Mpya kwa Taifa letu . Hakuna Aliyeachwa Nyuma

    Ndugu zangu Watanzania, Ni Mwaka Mmoja Wa Rais wetu Mpendwa Kitini ,Ni Mwaka Mmoja madarakani,ni mwaka mmoja mamlakani ,ni Mwaka mmoja Ofisi kuu ,ni mwaka mmoja wa utumishi wa umma uliotukuka ,ni mwaka mmoja wa kutoa majawabu toshelezi ,ni mwaka mmoja wa mafanikio . Ni Mwaka mmoja ambao hakuna...
  17. K

    Checks and Balances: Funzo la Marekani kwa Taifa Linalomtegemea Mtu Mmoja Katikati ya Utajiri wa Madini

    Katika ulimwengu wa siasa na utawala bora, misingi ya demokrasia imara inasimama juu ya mhimili mkuu mmoja: uhuru kamili wa mahakama. Mahakama inayojitegemea haipo tu kwa ajili ya kutatua migogoro ya kisheria kati ya raia na raia, bali ndiyo ngao kuu inayozuia mamlaka ya serikali na viongozi...
  18. Hongera sana Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa kutimiza mwaka mmoja wa kipindi cha pili cha uongozi wako

  19. N

    Kumbukizi Ya Mwaka Mmoja (1) tangu niwashauri viongozi wa vyama vya CHADEMA na CCM kwenda katika meza ya mazungumzo baada ya Uchaguzi October 2025..!!

    NB: Nina Akili Ndogo Sana Kumbukizi Ya Mwaka Mmoja (1) tangu niwashauri viongozi wa CHADEMA na CCM kwenda katika meza ya mazungumzo baada ya Uchaguzi October 2025. Diplomacy should always be given a chance before the first bullet is shot. "MILITARY ACTION" must only be a decision of last...
  20. M

    Raiffa: Mwanamke anayelea watoto pekee, amebeba majukumu ya watu wawili katika moyo mmoja! Aheshimiwe

    "Wanawake ambao saa yao ya kuamka ni kilio cha mtoto. Wamefundishwa kuwa mama lakini maisha yakawalazimisha kuwa baba pia. Wanabeba mabegani mtoto, mkononi mfuko wa mboga, moyoni deni na usoni tabasamu ambalo halisemi ukweli. Jamii imekuwa na haraka ya kuwahukumu kuliko kuwasaidia. "Mumeo yuko...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…