mkuu

Bwana Mkuu was Sultan of Pate, Kenya, 1688 to 1713. At the time Pate dominated Lamu. Bwana Mkuu set up residency at Lamu, complete with a Lamu lady as one of his wives and a private mosque.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kama Mgunda anakigezo napendekeza awe Kocha Mkuu wa SSC

    Wadau huduma ya Mgunda tumeiona na inamatokeo ambayo ni chanya. Mimi napendekeza kama ana vigezo awe Kocha Mkuu wa Simba Sport Club. Wataalam mnasemaje?
  2. JamiiForums Tanzania Waziri Mchengerwa na Katibu Mkuu Dk. Abbas mkiacha 'Usiasa' na 'Usisiemu' wenu Timu za Taifa zitafanya vizuri Kimataifa

    Kilichotokea huko mkiwa na Timu hiyo ya Walemavu ndiyo kile kile kiliwatokeeni hata kwa Timu ya Taifa ya Taifa Stars na Kushindwa kufanya vyema na Mimi huyu huyu GENTAMYCINE niliwaonyeni hapa hapa JamiiForums kuwa acheni kuingiza Siasa na Usisiemu Michezoni hamkunisikia. Juzi baada ya Timu hii...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Mkutano mkuu wa CPC kuzingatia utulivu na mwendelezo wa sera

    Tarehe 16 Oktoba China itakuwa na mkutano mkuu wa chama cha kikomunisti cha China unaofanyika mara moja kila baada ya miaka mitano, ambao kazi yake kubwa ni kupanga mwelekeo wa chama katika kipindi cha miaka mitano. Mkutano huu unafanyika katika wakati hali ya ndani ya China na hali ya...
  4. JamiiForums Tanzania Nabii Mkuu Dkt Geordavie amzawadia gari la kifahari BMW X5 msanii Mkaliwenu

    Katika hali isiyo ya kawaida mchekeshaji aliyejizolea umaarufu mitandaoni Jackson Sakwile maarufu kama “Mkaliwenu “ametunikiwa gari la kifahari aina ya BMW X5 na Nabii maarufu nchini Dk GeorDavie baada ya kukunwa na mashairi ya nyimbo aliyoitunga kwa ajili yake. Tukio hilo lilitokea hivi...
  5. JamiiForums Tanzania Video: Wanafunzi wasichana wavua hijab na kumzomea mkuu wa kikosi kinacholinda Wanawake Iran

    Kajaribu kuwahutubia ila wameshachoka na dhuluma za kidini... Wakuu wa nchi mayatollah yanalaumu Marekani na Israel..... A girls' school in Iran brought a member of the IRGC-run Basij paramilitary to speak to students. The girls welcomed the speaker by taking off their headscarves & chanting...
  6. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Majeshi afunga mafunzo kwa askari wapya kundi 41/22

    Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali, Jacob John Mkunda amefunga rasmi mafunzo kwa askari wapya kundi 41/22 yaliyofanyika katika Viwanja vya Kambi ya Jeshi Oljoro-Arusha, katika sherehe hizo zilizofanyika siku ya tarehe 30, Septemba 2022 jumla ya Askari 2457 walihitimu mafunzo yao yalioendesha...
  7. JamiiForums Tanzania Kauli ya vumbi la Congo kutoka kwa Mkuu wa Nchi inafikirisha sana

    Africans tunaswagwa Tu kama ng'ombe hatujui tunaelekea wapi. Ila anatuswaga ndo anajua anakotupeleka. Hoja ya msingi hivi ni kweli nguvu za kiume ndo tatizo kubwa kwa vijana wa kitanzania. Mkuu wa Nchi unaamka unauambia ulimwengu vijana wangu Wana upungufu wa nguvu za kiume kwamba nalo ni...
  8. JamiiForums Tanzania Nabii Mkuu Dkt. Geordavie kuwashika mkono wafanyabiashara zaidi ya 5000 soko la Samunge, Arusha

    . Zaidi ya wafanyabiashara 5,000 wanaofanya biashara katika soko la Samunge jijini Arusha wanataraji kupatiwa mitaji ya kuendesha biashara zao na mhubiri maarufu nchini Nabii Mkuu Dkt GeorDavie. Mbali na kupatiwa mitaji hiyo pia mhubiri huyo anataraji kutoa msaada wa kukarabati miundombinu ya...
  9. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Tanzania akutana na Shaka Hamdu Shaka bonanza la NMB, wakabidhiwa hundi ya TZS 600M

    Summary, SHAKA ASHIRIKI MBIO ZA NMB Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndg Shaka Hamdu Shaka leo Jumamosi tarehe 01 Oktoba, 2022 amekuwa sehemu ya mamia ya washiriki katika mbio za NMB zilizofanyika viwanja vya Leaders Kinondoni, Dar es Salaam. Kauli mbiu katika mbio...
  10. JamiiForums Tanzania Geordavie au nabii mkuu ukimsifia tu akakusikia unaruka na milioni 3. Upepo umehamia Kisongo

    Aisee huyu dingi nisaidieni namba ya huyu nabii mkuu !! Nasikia upepo umehamia Kisongo, anagawa pesa anagawa na magari Nampataje huyu ?
  11. M

    JamiiForums Tanzania Feleshi, tutajie Mkataba wa Serikali iliyosaini bila ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali kushirikishwa

    Nimesikiliza Hotuba ya Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan akieleza ni marufuku kuanzia sasa mikataba kusainiwa bila idhini ya Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Mhe Rais amesema hayo baada ya kulalamikiwa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali kuwa kuna mikataba Serikali inaingia bila kumshirikisha AG...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu Ni kuwa Tundu Lisu Hawezi Kuwa Rais Wa Nchi Hii, Hana sifa za kiuongozi za kuwa Mkuu Wa nchi

    Ndugu zangu huo ndio ukweli kuwa Tundu Lisu Hawezi Kuwa Rais Wa Nchi Hii ya Tanzania, Hata Kama angezaliwa kabla ya Uhuru na kuwepo wakati huo na ikatokea uchaguzi, bado Lisu asingepewa nafasi ya kuwa Mkuu Wa nchi Hii ya Tanzania, kwa kuwa anakosa sifa za kiuongozi anazopaswa kuwa nazo Mkuu Wa...
  13. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Hakuna kuingia Mikataba pasipo kumshirikisha Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG)

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano Mkuu wa Chama cha Mawakili leo tarehe 29 Septemba, 2022 katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete. Prof. Ibrahim Juma - Jaji Mkuu Haitoshi kuwa na sheria nzuri ambayo haitimizi malengo ya kutungwa kwake. Zipo...
  14. JamiiForums Tanzania Sakata la aliyeuawa na Gari la Magereza, ndugu wamkomalia Mkuu wa Gereza

    SAKATA la ndugu wa Richard Bukombe mkazi wa Miyuji jijini Dodoma, aliyefariki dunia kwa madai ya kugongwa na gari la Jeshi la Magereza limechukua sura mpya baada ya wanafamilia kumtaka mkuu wa jeshi hilo kutowakingia kifua wahusika. Pia wameiomba Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora na...
  15. JamiiForums Tanzania Mfadhili Mkuu wa mauaji ya Kimbari kusomewa mashtaka The Hague Sept 29

    Felicien Kabuga mmoja kati ya watuhumiwa wakuu tafikishwa mbele ya Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai ICC, ambako ameshtakiwa kwa Mauaji ya Halaiki na Uhalifu dhidi ya Binadamu, akitajwa kufadhili uhalifu huo dhidi ya Watutsi miaka 28 iliyopita. Kabuga mwenye miaka 80 alikamatwa nchini...
  16. JamiiForums Tanzania Tunapokuwa na taifa ambalo mkuu wa nchi anakaa kimya pale raia wake wanapouliwa kinyume cha sheria hilli Tataizo kubwa. Kwanini yupo kimya?

    Kila mtanzania ana haki ya kuishi. Awe ni mharifu sio mhalifu hii ni kwa mujibu wa ibara ya 14 ya katiba JMT. Kama ni mahalifu basi apelekwe mahakamani kwa kwa mujibu wa ibara ya 13 ya katiba ya JMT. Hii kamata kamata ya kulazimishana kuvua nguo ili binti na baba yake walalane imetoka wapi...
  17. JamiiForums Tanzania Mrusi ampiga risasi msajili kisa kulazimishwa akapigane Ukraine

    Ameamua liwalo na liwe, ila hatokwenda kupigana kwenye vita visivyokua na tija au maslahi ya nchi... ========= A Russian man shot the head of a local military draft committee in Siberia on Monday, reports said. A video of the incident shared online shows an official collapsing on stage after a...
  18. JamiiForums Tanzania Waliotapeli kwa jina la Dr. Abbas na kuzusha kifo cha Dr. Mwakyembe wakamatwa

    Kwa mujibu wa Jeshi la Polisi watuhumiwa hao ni Innocent Adam Chengula na Tarzan Alfan Mwambengo wanaodaiwa kutumia picha na jumbe za simu zinazomuhusisha Katibu Mkuu wa Wizara ya Michezo kwa lengo la kutapeli pamoja na kuzusha kifo cha Dr. Mwakyembe. Baada ya upekuzi walikutwa na Kadi za Simu...
  19. JamiiForums Tanzania Rais, Makamu wake na Waziri Mkuu wote wapo nje ya nchi?

    Habari za sasa wanajamii , natumai ni nzuri. Nilikuwa na maswali kadhaa kuhusu ziara za viongozi wetu wakuu wa nchi wa tatu (Rais, Makamu wa Rais, na Waziri mkuu) 1. Je ziara za viongozi wetu hawa kwa mataifa waliyo enda kuzuru zitatamatika lini kwa kila mmoja? 2. Kulikuwa na umuhimu gani kwa...
  20. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu kuelekea Japan!

    Huku bei za bidhaa zikizidi kupanda, tozo nazo kila mahali; cha kushangaza ni kwamba, hakuna jitihada zozote zinazooneshwa na viongozi wa serikali kuu katika kubana matumizi! Ziara na misafara imekuwa mingi na ya kila siku. Ni kweli hatuwezi kuwa sawa kiuchumi, lakini angalau zionekane jitihada...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…