mkuu

Bwana Mkuu was Sultan of Pate, Kenya, 1688 to 1713. At the time Pate dominated Lamu. Bwana Mkuu set up residency at Lamu, complete with a Lamu lady as one of his wives and a private mosque.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Tito Magoti: Waziri Mkuu unajisikiaje kuwa Kiongozi wa Serikali usiyetaka kuwajibika?

    Anaandika Tito Magoti. Mheshimiwa Waziri Mkuu, Nakuandikia barua ya wazi kwa heshima kubwa sana! Ni mwaka wa saba tangu uwe Mtendaji Mkuu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (CEO JTM hapa chini). Kuna mambo mengi unayojivunia. Pengine ndio maana umedumu katika nafasi yako hadi sasa...
  2. L

    JamiiForums Tanzania CMG yafanya shughuli ya kutangaza moyo wa Mkutano Mkuu wa 20 wa CPC katika nchi tano za Afrika Mashariki

    Idara ya lugha za Asia na Afrika iliyo chini ya Shirika Kuu la Utangazaji la China (CMG) tarehe 8 mwezi Novemba ilifanya shughuli ya kutangaza moyo wa Mkutano Mkuu wa 20 wa Chama cha Kikomunisti cha China CPC katika nchi tano za Afrika Mashariki. Shughuli hiyo yenye kauli mbiu “Safari mpya yenye...
  3. JamiiForums Tanzania Maafa ni ajali za aina gani ktk nchi hii?

    Waziri Mkuu Majaliwa, Asante kwa kufika mjini Bukoba haraka baada ya ajali ya ndege. Hata hivyo kuna ajali nyingi zilizopoteza maisha ya wengi kuliko hata hii ya Precision, lakini hazikupata nafasi ya kiserikali kama hii. Hazikupewa hadhi ya maafa ya kitaifa kwa uharaka. na hasa kutembelewa na...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Rais, Waziri Mkuu, Mkuu wa Navy, Waziri wa maafa, waziri wa mawasiliano uchukuzi na wengineo Tunaomba mjiuzuru

    Ndugu viongozi, kwa matatizo tuliyoyaona Bukoba kutokana na ajali ya precison, imeonyesha bila shaka viongozi wet na wasimamizi wa serikali wamekuwa hawajali kuwekeza katika kupamabna na majanga wakati pesa nyingi zinatumika kwenye safari na posho na wizi mkubwa. Marubani walikuwa hai kwa masaa...
  5. JamiiForums Tanzania Mufti Mkuu asema "Punguzeni dhambi mvua zinyeshe"

    Mufti wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeir amewaasa Watanzania kupunguza na kuacha kabisa kutenda dhambi na badala yake wamrudie Mwenyezi Mungu ili kuwaepusha na adha ya ukame ulioikumba nchi. Amesema kukosekana kwa mvua, uwepo wa ukame na kukauka kwa maji ardhini ni ishara kwamba watu wanatenda...
  6. JamiiForums Tanzania Wakati nchi iko kwenye changamoto lukuki, Rais, Makamu wa Rais na Waziri mkuu wako nje ya nchi

    Wakati nchi ikiwa kwenye changamoto lukuki, mfumuko wa bei, hakuna maji, hakuna umeme, hakuna mikopo watoto wa vyuo hawajalipwa pesa cha ajabu viongozi wakuu na mawaziri waandamizi wako nje ya nchi kwa inayoitwa mialiko ya kitaifa. Rais wa nchi yuko China, Makamu wa Rais yuko Ivory Coast...
  7. 4

    JamiiForums Tanzania Nabii Mkuu, Geor Davie wa Arusha tafadhali Sana mtumishi

    Wanajf , kila siku namtanguliza Mungu , na nikawaida kuwaombea KWA kile kidogo Mungu amenipa, Naomba mwenye no ya mtumishi tajwa hapo juu ani inbox tafadhali kazi yangu itakua wasiliana naye pale atanipa kibali , Natanguliza shukrani wakuu
  8. JamiiForums Tanzania Pakistan: Waziri Mkuu Mstaafu Imran Khan anusurika kuuawa wakati akihutubia

    Katika hali ya kushangaza, inaripotiwa kwamba waziri huyo mkuu wa zamani ambaye kwa sasa anaipa serikali iliyoko madarakani upinzani mkubwa ameshambuliwa kwa risasi akiwa kwenye maandamano karibu na mji wa Punjap. Itakumbukwa kwamba Waziri Mkuu huyo wa zamani aliinyooshea kidole Marekani...
  9. JamiiForums Tanzania Je, Rais Katudanganya Watanzania au Mtakwimu Mkuu ndiyo Muongo zaidi?

    "Nichukue nafasi hii kwa mujibu wa Katiba Kutangaza kuwa idadi ya Watu wote waliohesabiwa Usiku wa Sensa ni 61,741,120 hivyo Watanzania kwa muda wa miaka hii Kumi tumeongezeka kwa Asilimia 3.2 tu" Rais Samia Suluhu. Chanzo: Media zote Tanzania "Taarifa iliyotolewa Juzi ya Watu 61,741,120 siyo...
  10. JamiiForums Tanzania Kwa Waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassimu Majaliwa

    Waziri mkuu kwa niaba ya wanakijiji wa Mtera staff mpwapwa DODOMA nianze kwa kumshukuru Mungu kwa kukupa afya njema na kuendelea na majukumu yako ya kitaifa. Mheshimiwa Waziri Mkuu kwa unyenyekevu mkubwa naomba nifikishe malalamiko yetu kwako juu ya mradi wa maji ambao umehujumiwa kwa muda...
  11. JamiiForums Tanzania Askofu akemea wizi wa uchaguzi mkuu 2020

    Bila kumumunya maneno wala kumuogopa mtu yeyote askofu huyu amekemea vikali wizi wa uchaguzi uliofanywa na mwendazake mwaka 2020. Hebu msikilize anavyopiga nyundo laivu bila chenga 👇 MAONI YANGU Wizi huu wa kipumbavu ndio umesababisha mchi imepata laana kwa kukosa mvua na umeme kila mahali...
  12. JamiiForums Tanzania Mpelelezi Mkuu Kenya: Tulilazimishwa kutengeneza kesi ya Tsh. Bil 140.3 dhidi ya Naibu Rais Gachagua

    Maafisa wa upelelezi katika Idara ya Upelelezi wa Jinai (DCI) walilazimika kumfungulia mashtaka Naibu Rais Rigathi Gachagua kuhusiana na kesi ya ufisadi wa Tsh. Bilioni 140.3, afisa mkuu wa polisi amefichua. Pia imeelezwa wakati wa kumkamata Gachagua na kufikishwa kortini Julai 26, 2021...
  13. JamiiForums Tanzania Rishi Sunak: Waziri Mkuu tajiri kuliko Mfalme Charles III

    Waziri Mkuu mpya wa 79 wa Uingereza, Rishi Sunak ametajwa kuwa na utajiri kuliko wa Mfalme Charles III. Sunak na mkewe, Akshata Murty wanaelezwa kuwa na utajiri wa Pauni 730 milioni, ambao ni mara mbili ya utajiri wa Mfalme Charles III wa Pauni 370 milioni. Utajiri wa Sunak umeelezwa umetokana...
  14. JamiiForums Tanzania Hongera Rishi Sunak, Waziri Mkuu mteule wa Uingereza

    Hongera Mhe. Rishi Sunak, Waziri Mkuu mteule wa Uingereza na karibu tena Afrika Mashariki. 🇹🇿 #africa #tanztrust #tanzania #eastafrica
  15. L

    JamiiForums Tanzania Mkutano mkuu wa 20 wa CPC una umaalum gani kwa dunia?

    Mkutano Mkuu wa 20 wa Wajumbe Wote wa Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) umefanyika hivi karibuni mjini Beijing. Matokeo makubwa ya kisiasa na kiitikadi yaliyopatikana kwenye mkutano huo si kama tu yataekeleza maendeleo ya China katika kipindi kichacho, bali pia yatanufaisha dunia nzima...
  16. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa UK adumisha tamaduni kabla ya kuingia ofisini

    Katika kudumisha tamaduni na asili yake, bila kujali umaarufu wa jina la taifa analoongoza au umaarufu wake mwenyewe binafsi, Waziri Mkuu mpya wa Uingereza, Rishi Sunak alifanya tukio hili la kitamaduni kabla ya kuingia katika ofisi yake mpya. The new UK PM performing his spiritual/traditional...
  17. JamiiForums Tanzania Rais wa Afrika ya Kati amfuta kazi Jaji Mkuu aliyekataa kubadili Katiba kuruhusu agombee muhula wa 3

    Rais wa Jamhuri ya Afrika ya Kati amemfuta kazi Jaji Mkuu wa Mahakama ya Katiba, Danielle Darlan, na kumuwekea "kizuizi cha kudumu". Agizo la Faustin Archange Touadera linakuja baada ya jaji huyo mwenye umri wa miaka 70 mwezi uliopita kutupilia mbali ombi la chama tawala la kufanyia marekebisho...
  18. JamiiForums Tanzania SI KWELI Yanga Sc yaachana na Kocha wake Mkuu Nasreddin Nabi, leo Oktoba 25, 2022

    Kuna tetesi zimeibuka leo 25/10/2022 zinadai kuwa Yanga imeachana na kocha wake Mkuu Nasreddin Nabi. Tetesi hizi zimeshika kasi baada ya kuchapishwa na Gazeti la Mwanaspoti pamoja na kutumwa kwenye mitandao ya kijamii. Mpaka kufikia saa saba mchana Uongozi wa Yanga, umeendelea kuwa kimya na...
  19. JamiiForums Tanzania Rais Samia, Mteue ACP Theopista Mallya awe Mkuu wa Trafiki Nchini, asante kwa kumteua Kaganda

    Salaam Wakuu, Rais Samia ameonesha Ushujaa ukomavu mkubwa na Ushujaa wa nguvu, kumteua Suzan Kaganda kuwa Kamishna wa Utawala na Rasilimali watu wa Jeshi la Polisi. Kutokana na ajali kuongezeka barabarani, ni muda mwafaka rais kumchukua Mkuu wa Polisi Mkoa wa Rukwa Kamishna Msaidizi wa Polisi...
  20. JamiiForums Tanzania Tetesi: Yanga Sc kuachana na Kocha Mkuu Nabi

    YANGA YAACHANA NA KOCHA NASREDDINE NABI. Taarifa rasmi zitakuijia hivi punde. Usiondoke Anaandika Jemedari Saidi Habari za uhakika zinasema Kocha NASRIDEEN MOHAMED NABI maisha yake na Yanga SC yamefikia tamati na ataondoka muda wowote. Pamoja na mambo mengine lakini usajiri wa baadhi wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…