mkuu

Bwana Mkuu was Sultan of Pate, Kenya, 1688 to 1713. At the time Pate dominated Lamu. Bwana Mkuu set up residency at Lamu, complete with a Lamu lady as one of his wives and a private mosque.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Je, leo inaweza kuwa ndio ile siku? Ukweli halisi ni upi? Nini hasa kilitokea na kwanini tulijulishwa baada ya siku 5?

    Wanabodi Declaration of Interest Mimi Paskali sio GT, ila naweza kuandika contents kwa ajili ya ma GT only. JF ilipoanzishwa na Mkuu Maxence Melo na Mike Mushi, was meant to be a home of Great Thinkers!, Hili ni bandiko la maswali fikirishi kwa ma GT only!. Wewe kama ni mwenzangu na mimi, na...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu awataka vijana na wanawake kuchangamkia programu ya Imbeju ya benki ya CRDB

    Dar es Salaam 12 Machi 2023 – Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo ametoa rai kwa vijana na wanawake kote nchini kuchangamkia programu ya uwezeshaji kiuchumi iliyozinduliwa na Benki ya CRDB kwa kushirikiana na Tume ya TEHAMA (ICTC), na Tume ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) kuboresha bunifu zao za...
  3. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa wa Mbeya awataka Polisi kuwakamata Waganga wapiga ramli chonganishi

    Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Comrade Juma Zuberi Homera amewataka makamanda wa Polisi wa Mikoa ya Nyanda za Juu Kusini, Mbeya, Iringa, Njombe, Rukwa na Songwe kushirikiana katika kuzuia na kudhibiti biashara haramu ya usafirishaji binadamu katika mikoa yao. Homera ameyasema hayo wakati akifungua...
  4. JamiiForums Tanzania Rais Samia, Waziri mkuu, vijana wa TAESA wanateseka toka January hawajapokea mshahara, tusaidieni jamani

    Sio uzushi, sio kwa makusudi naandika hivi sababu ni mhanga, January, February hatujalipwa ukizingatia mshahara ni 150,000/= tu, je hii ni haki jamani, na sio mara ya kwanza hii mshahara inachelewa sana kutoka na sisi ni binadam jamani ukizingatia baadhi ya maofisi wanakaa kimya hata senti...
  5. JamiiForums Tanzania Kassim Majaliwa, Waziri Mkuu ambaye hajajishughulisha kuhakikisha Serikali inakuwa na taasisi imara, ilibaki na hali ilivyo (status quo)

    Waziri Mkuu Khasim Majaliwa, baadhi ya wanaomjua, bila mamlaka ya kufokafoka kama aliyopewa na Magufuli, uongozi ni changamoto kwake. Sasa kwa awamu hii, ni mifumo ndio inatakiwa kuwa na nguvu, ndio maana Rais Samia anasuka mifumo ya haki jinai. Sasa mifumo ya haki jinai itapunguza nguvu ya wale...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Lema: Nikimuona mtoto wa Waziri Mkuu Majaliwa au wa Rais Mwinyi anaendesha Bodaboda ndipo nitaomba radhi

    Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA Lema amesema endapo atamuona mtoto wa Waziri mkuu mh Majaliwa au mtoto wa Rais Mwinyi anaendesha Bodaboda ndipo ataomba radhi. Lema amesisitiza Kuwa Bodaboda ni Kazi isiyofaa inayouwa na kuwapa ulemavu Vijana Wengi. Lema amenena haya kupitia ukurasa wake wa...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amualika nabii mkuu Geodavie Ikulu ndogo ya Arusha na kumpongeza

    Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dr Samia Suluhu Hassan akiwa mjini Arusha katika ziara yake ya siku chache amemualika Nabii mkuuu GEODAVIE katika Ikulu ndogo ya Arusha na KUMPONGEZA kwa kutoa milion 100 pale Samunge. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa kanisani kwake jana, Nabii mkuu...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Msemaji Mkuu wa Chadema, Ndugu ACT Wazalendo amesema kuwa Chadema imepokea ruzuku!

    Inaweza kuwa sahihi, Basi Bwana ACT Wazalendo alete ushahidi usio na mashaka kama payment voucher, cheque iliyolipa hizo hela, acceptance by Chadema official, bank statements and the like! Siyo nembo ya Bwana ACT Wazalendo na maandishi! Erythrocyte
  9. JamiiForums Tanzania Kamanda wa mkuu wa Jeshi la nchi kavu Ukraine, aitembelea Bakhmut

    Japo kamji kenyewe ka chumvi na hakana maana yoyote, lakini kwa namna Warusi wamejitoa mhanga ili kukateka, imeibua maswali, maana wanajeshi wa Urusi wanapukutika kwa mamia kila siku ila bado wanataka hako kamji, mkuu wa jeshi la nchi kavu amezuru ili kuandaa mikakati ya kuendelea kuua...
  10. JamiiForums Tanzania Mbunge Mtaturu - Ikungi yatekeleza agizo la Katibu mkuu wa CCM, Daniel Chongolo kwa 100%

    Maji ni Uhai hatimaye Wananchi wa kitongoji cha Songoloji wapata huduma ya Maji baada ya maagizo ya Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo alipofanya ziara yake tarehe Februari 28, 2023 na wananchi wa Shina namba 13 walimwelezea kero ya ukosefu wa huduma ya maji ambapo...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Tshisekedi adai machafuko ya M23 yatavuruga Uchaguzi Mkuu Congo

    JF SUMMARY Rais #FelixTshisekedi ameliambia Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa (OHCHR) kuwa Vita inayoendelea Mashariki mwa DRC inahatarisha mchakato wa Uchaguzi wa Desemba 20, 2023 kutokana Watu wengi kuyakimbia makazi huku Tume ikishindwa kuyafikia baadhi ya maeneo. Tume ya...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa anabaniwa publicity na mfumo wa dola (TBC1 hairushi matukio yake mubashara lakini ya Waziri Mbarawa yanarushwa live)

    Kwa wiki kadhaa nimekuwa nikifuatilia chombo chetu cha habari cha Taifa TBC1 na kwa mtu mwenye akili timamu atagundua kuna namna fulani ya kumbania Waziri Mkuu wetu publicity. Wiki iliyopita alikuwa na ziara ya kikazi mkoani Songwe na kutembelea miradi mbalimbali ya maendeleo lakini matukio...
  13. W

    JamiiForums Tanzania Karibu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu

    Habari wana JF, Naomba nijikite kwenye mada husika. Binafsi nampongeza mheshimiwa Rais kwa kukuteua Profesa Caroline kwa nafasi ya Katibu Mkuu wa wizara ya Elimu. Ukiwa mtendaji mkuu wa wizara nakuomba sana utizame yafuatayo kwa kina. 1. Mapitio ya sera ya Elimu. 2. Mapitio ya mitaala kwa...
  14. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa Songwe ni Mtanzania? Jina kama Mkongo au Mrundi?

    Mkuu wa mkoa mpya wa Songwe, Francis Kasavubu Michael ni Mtanzania? Niliposikia jina hili wakati yupo katibu Wizara ya sayansi nilijiuliza hili swali ni Mtanzania? Mbona jina kama Mcongo au mrundi?... Kuna anaemjua vizuri hapa JF?
  15. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya ya Ludewa aongoza zoezi la ugawaji wa pikipiki kwa Maafisa Watendaji wa Kata

    Februari 24, 2023 Mkuu wa Wilaya ya Ludewa Victoria Mwanziva akiambatana na uongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa ameshiriki zoezi la ugawaji wa pikipiki kwa Maafisa Watendaji wa Kata nane ambazo zimetolewa na Rais Samia Suluhu Hassan. Wakati wa zoezi hilo Mkuu wa Wilaya amemshukuru Rais...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kama ikikupendeza mteue Thobias Mwilapwa kuwa mkuu wa mkoa wa Shinyanga

    Sijatumwa na mtajwa hapo juu, wala sio shabiki wa mtu yoyote kwenye siasa. Sema kutokana na uchapakazi wake, uadilifu na uongozi uliotukuka toka akiwa Hanang na Tanga vimenifanya nione kuwa ni mtu anaefaa kupewa nafasi ya ukuu wa mkoa wa Shinyanga.
  17. J

    JamiiForums Tanzania Karibu Singida Katibu Mkuu CCM

    Ziara ya Katibu Mkuu wa CCM Mkoani Singida kuanzia Tarehe 27 Februari, 2023 hadi 4 Machi, 2023. #CCM Imara
  18. S

    JamiiForums Tanzania Kocha Mkuu wa Simba Achoshwa na wachezaji Wazee

    “Attack Attack “ Nataka wachezaji washambulie muda wote,Inakuwa ngumu kuingiza mbinu za kushambulia kwa sababu kwenye kikosi changu kuna idadi kubwa ya wazee (Wakongwe) Na mimi napenda kutoa nafasi kwa wachezaji vijana.
  19. O

    JamiiForums Tanzania Goba hatuna maji wiki ya tatu sasa

    Habari zenu wanaJF, Mtendaji mkuu wa DAWASA habari za jioni. Tuna muda wa wiki tatu sasa hatuna maji kabisa hapa Goba, mimi nakaa Goba mitaa ya kwa Morgan na week ya tatu hii hatuna maji! Kikawaida hua tunapataga kwa wiki mara moja lakini kwa kipindi cha hivi karibuni tunakaa hadi wiki 3 ndo...
  20. JamiiForums Tanzania Mkuu wa NATO: Kuacha Urusi ishinde Ukraine itakuwa hatari kwa dunia nzima, nchi za magharibi hawatakubali kitokee

    Katibu mkuu wa NATO amesema kuicha Urusi iishinde Ukraine ni hatari si kwa Ukraine tu bali kwa dunia nzima kitu ambacho NATO/magharibi haitakubali hilo litokee kamwe. ================== A Russian win in Ukraine would be 'dangerous for the whole world', says NATO chief as he accuses Putin of an...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…