mkuu

Bwana Mkuu was Sultan of Pate, Kenya, 1688 to 1713. At the time Pate dominated Lamu. Bwana Mkuu set up residency at Lamu, complete with a Lamu lady as one of his wives and a private mosque.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kamanda mkuu wa Ukraine akasirishwa na ahadi hewa za NATO huku askari wake wakiangamia

    Kamanda mkuu wa majeshi ya Ukraine generali Valery Zaluzhny amesema nchi yake ina makubaliano maalum na Pentagon na kwamba wana mawasiliano ya masaa 24 juu ya namna vita vinavyoendelea,hata hivyo amekasirishwa sana na ahadi hewa za Marekani na washirika wa NATO. kilichomkera zaidi na kutoa...
  2. JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu NATO, Jens Stoltenberg: Kuchoma Quran sio kosa

    Katibu mkuu wa NATO Bwana Jens Stoltenberg amesema kuchoma Quran hadharani sio kosa ingawa inaweza kua sio jambo la kupendeza. Bwana Jens Stoltenberg ameyasema hayo wakati akijibu maswali kuhusu matukio yaliyotokea hivi karibuni nchini Sweden ya kuchoma Quran hadharani baada ya mtu mmoja kutoka...
  3. JamiiForums Tanzania Mbunge Luhaga Mpina alikuwa sahihi kuhusu maelekezo ya Waziri Mkuu

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson amesema kuwa amejiridhisha na Mchango wa Mbunge wa Kisesa Luhaga Mpina kuhusu maelekezo ya Waziri Mkuu Mhe.kutofanyiwa kazi na watendaji wa jeshi la Hifadhi. Dkt. Tulia amesema hayo June 28,2023 Bunge, Dkt. Tulia amesema...
  4. JamiiForums Tanzania Kaizer Chiefs washindwana na Nabi. Watangaza kocha mkuu mpya

    Ni wazi kuwa dili la Nabi na Kaizer Chiefs limebuma. Kaizer Chiefs watangaza kocha mkuu mpya ====== Katika ukurasa wao rasmi wa mtandao wa Instagram, Timu ya Kaizer Chiefs wametanaza rasmi uteuzi wa Molefi Ntseki kuwa Kocha Mkuu kuanzia sasa. Pia soma - Nabi na Kaizer Chiefs ngoma bado ngumu
  5. J

    JamiiForums Tanzania Mpina alisimamisha Bunge kwa Dakika 25 "Atoa tuhuma NZITO maelekezo ya Waziri Mkuu, Mawaziri wakwama

    Mbunge wa Kisesa (CCM) Luhaga Mpina akichangia maoni yake kwenye makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi kwa mwaka 2023/2024, Bungeni jijini Dodoma May 3, 2023, mchango huu ndio ulizua sintofahamu iliyomlazimu Spika kuagiza Mpina alete ushahidi.
  6. J

    JamiiForums Tanzania Mpina alikuwa sahihi alivyomshutumu Waziri Mkuu kupuuzwa maagizo yake

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Tulia Ackson amesema kuwa amejiridhisha na Mchango wa Mbunge wa Kisesa Mhe. Luhaga Mpina kuhusu maelekezo ya Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa kutofanyiwa kazi na watendaji wa jeshi la Hifadhi Dkt. Tulia amesema hayo leo June 28,2023...
  7. JamiiForums Tanzania Wakili Mgongolwa: Katiba inamruhusu Rais kumuongezea muda Jaji Mkuu

    Kupitia kipindi cha Power Breakfast kinachorushwa kupitia Clouds FM, Mwanasheria wa kujitegemea Alex Mgongolwa ameeleza kuwa Rais anayo Mamlaka na hajavunja Katiba kwa kumuongezea muda wa kuhudumu Jaji Mkuu wa Tanzania Msikilize hapa, kisha tujadili nini maoni yako? Pia soma > Profesa Ibrahim...
  8. JamiiForums Tanzania TPP KULETA UPINZANI MKALI UCHAGUZI MKUU TAIWAN MWAKANI(2024) ?

    ( Mgombea kiti cha urais 2024 bwana Ko Wen-je kupitia chama cha TPP ). Chama cha kisiasa cha Taiwan ambacho kiliundwa miaka minne(2019) iliyopita kimepanda nafasi mbele ya chama kikuu cha upinzani Kuomintang na kuwa chama cha pili maarufu zaidi katika kisiwa hicho. Chama cha watu wa...
  9. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mkaguzi Mkuu wa Serikali afichua wizi wa Mabilioni unavyofanywa na Kampuni za maji

    Ripoti iliyotolewa na Mkaguzi Mkuu wa Serikali ya Kenya imefunua ufisadi mkubwa, udanganyifu, na utendaji mbovu katika kampuni za maji na usafi unaofanyika katika mikoa mbalimbali. Ripoti hiyo imebaini kwamba licha ya kuwa ni jukumu la ugatuzi, kampuni za maji na usafi katika mikoa mingi...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Simba mnakwenda na bajeti ya bilioni 13 iliyopitishwa na wanachama kwenye mkutano mkuu au mnaenda na bajeti ya bilioni 24 ya kwenye hafla ya ubwabwa?

    Nimeshangaa sana kuona viongozi bila ata chembe ya aibu wanaudanganya umma, bajeti ya klabu kwa mwaka 2023/2024 imepitishwa kwenye mkutano mkuu ni bilioni 13, lakini maajabu ya musa yanajitokeza leo bwana CEO kajula anawadanganya wabunge eti bajeti wametenga bilioni 24!!!??? Baada ya yanga...
  11. JamiiForums Tanzania Mwanasheria Mkuu wa Serikali: Hakuna kipengele kinachozungumzia uuzwaji wa Bandari, na hakuna mkataba wowote ulioingiwa

    Mwanasheria Mkuu wa Serikali Eliezer Feleshi atoa maneno mazito mjadala wa DP World Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Dkt. Eliezer Feleshi, amejitosa kwenye mjadala wa uwekezaji wa kampuni ya Dubai ya DP World unaotarajiwa kufanywa kwenye bandari ya Dar es Salaam kwa kusema kuwa kuna...
  12. JamiiForums Tanzania Mapungufu 10 ya Mkataba wa Bandari na DP World

    Kuna mchambuzi namshukuru kwa kuifanya kazi ya Serikali kuwa rahisi. Amechambua vipengere vinavyoidhlilisha nchi yetu tukufu ya Tanzania. Mwanasheria Mkuu ni lazima achukue hatua na si kuwaachia kina Mbarawa mambo haya ambayo yana lifedhehesha Taifa.
  13. JamiiForums Tanzania Mapokezi ya Mhashamu Askofu Mkuu Protase Rugambwa aliyeteuliwa na Papa Francis kuwa Askofu Mkuu Mwandamizi wa Jimbo Kuu Katoliki la Tabora

    Ifucha, Tabora Mbunge wa Jimbo la Igunga Mhe. Nicholaus George Ngassa, Leo tarehe 25 Juni, 2023 ameungana na Waumini wa Kanisa Katoliki kushiriki adhimisho la Misa Takatifu ya kumpokea Mhashamu Askofu Mkuu Mwandamizi Protase Rugambwa alieteuliwa na Baba Mtakatifu , Papa Francis kuwa Askofu Mkuu...
  14. 5

    JamiiForums Tanzania BBC: Marekani ilijua kuwa mkuu wa Wagner alikuwa akipanga kuchukua hatua kabla ya uasi wake

    Wakati maasi ya Prigozhin yalionekana kuipata Kremlin kwa ghafla mashirika ya kijasusi ya Marekani yalikuwa tayari yamepata ishara kwamba alikuwa akipanga kuchukua hatua na yalikuwa yamemjulisha Rais Biden pamoja na viongozi wakuu wa bunge mapema wiki hii, vyombo vya habari vya Marekani...
  15. JamiiForums Tanzania Watumishi wa Umma watakiwa kujinunulia sare wenyewe kuhudhuria Mkutano wa Katibu Mkuu wa CCM Dodoma

    Habari ndugu zangu, Katika pitapita zangu mitandaoni nimekutana na tangazo la kibabe lenye ujumbe unaowataarifu Watumishi fulani kuhusu Mkutano wa Hadhara utakaofanywa na Katibu Mkuu wa CCM Dodoma. Maajabu ni kwamba tangazo hilo limewataka Watumishi wahudhurie wakiwa na sare iliyoandikwa...
  16. JamiiForums Tanzania Mufiti na sheikh Mkuu wa Tanzania awataka Masheikh na Maimamu wote Nchini wakemee mmomonyoko wa Maadili

    Mufti Zubeir awataka Masheikh wa Mikoa, Wilaya, Kata na Maimamu wakemee mmomonyoko wa Maadili Akizungumza katika tukio la Kumbukumbu ya Miaka 8 ya Mufti Dkt. Abubakar Zubeir, leo Juni 22, 2023 katika Ukumbi wa Mfalme Mohammed Vi, kiongozi huyo amesema Sikukuu ya Eid Kitaifa inatarajiwa...
  17. JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa CCM ndugu Chongolo asimikwa kuwa Chifu wa Wagogo

    Komredi Daniel Chongolo rasmi amesimikwa awe/kuwa Chifu wa kabila la Wagogo/Wanyambwa huko mkoani Dodoma. Ikumbukwe, bwana Chongolo ambaye pia ni Katibu Mkuu wa CCM Taifa bado anaendelea na ziara yake mkoani humo. Picha kwa hisani ya gazeti la Nipashe. ==== Katibu Mkuu wa CCM Daniel...
  18. H

    JamiiForums Tanzania Je, umewahi kujiuliza kuhusu ukimya wa Mwanasheria Mkuu wa Serikali na uuzwaji wa Bandari za Tanganyika?

    Utangulizi: Ukisoma katiba ya JMT ibara ya 59 (1) imeanzisha ofisi ya mwanasheria mkuu wa serikali, na ibara ndogo ya (3) ya ibara hiyo ya 59, inaeleza wajibu mkuu ni kuishauri serikali katika mambo yote yanayohusu sheria, zaidi sana ibara ya 59 (5) kwa hadhi ya ofisi yake mwanasheria mkuu...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu TAMISEMI, kwanini unanyanyasa watumishi wa umma kwa kuwanyima uhamisho wao halali?

    Siku za karibuni Rais alifanya mabadiliko madogo kwa makatibu wakuu ambapo ndg. Adolf Ndunguru alipelekwa Ofisi ya Rais- TAMISEMI. Huyu bwana tangia aingie katika ile ofisi alikuta tayari kuna watumishi walishapata uhamisho hasa wale wa kubalishana vituo vya kazi. Jambo la ajabu amezuia...
  20. Q

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu na Bunge wanataka kutafakari nini wakati walipitisha kwa 100%

    Nimemsikia Mbunge Lucy Mayenga akiwaomba wabunge wenzake watafakari upya kuhusu mkataba wa DP World. Wakati huo huo Waziri Mkuu Kasimu Majaliwa amesema hawatapuuza maoni ya wananchi wanayotoa kuhusu huo mkataba. Hii tafsiri yake nini, ni kuwa Wabunge na WM wamegundua kosa lao, kuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…