mkuu

Bwana Mkuu was Sultan of Pate, Kenya, 1688 to 1713. At the time Pate dominated Lamu. Bwana Mkuu set up residency at Lamu, complete with a Lamu lady as one of his wives and a private mosque.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mkemia Mkuu: Idadi ya Wanaume wanaojitokeza kupima DNA imeongezeka nchini

    Mkemia Mkuu wa Serikali ya Tanzania Dr. Fidelis Mafumiko amesema idadi ya Wanaume wanaojitokeza kupima DNA (kuhakiki uhalali wa Watoto wao) imeongezeka kwa sasa Nchini Tanzania tofauti na miaka miwili hadi mitatu iliyopita. Kwenye mahojiano mafupi na DW, Dr. Fidelis amenukuliwa akisema “naweza...
  2. JamiiForums Tanzania RC Makalla achana na Makonda vinginevyo utakwenda na maji

    Baada ya ziara ya Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, ndugu Paul Makonda kufikia tamati huko Mkoani Mwanza, yapo maagizo halali ya Chama aliyoyaelekeza kwa Watendaji wa Serikali Mkoani humo wayatekeleze kwa maslahi mapana ya Wananchi. Ajabu, Mkuu wa Mkoa huo ameanza kupuuza huku akimnanga bwana...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wilaya ya Mbarali imekuwa ikitoza ushuru wakulima bila kuwatengenezea barabara

    Moja Kwa Moja kwenye mada; niwapongeze wilaya ya Mbeya vijijini waliohusika na ujenzi wa Barabara ya Inyala -Malamba kupitia hospitali ya wilaya iliyopo Inyala Hadi stesheni ya Tazara Kijiji Cha Malamba. Barabara hii haijawahi kutengenezwa toka mwaka 1970 wakati wa ujenzi wa reli. Barabara hii...
  4. JamiiForums Tanzania Kwa sasa shetani ndiyo Kiongozi Mkuu wa DINI zote

    Salaam. Ama baada ya salamu mimi ni mzima, bukheri wa siha njema. Hofu na mashaka ni kwako wewe uliye mbali na upeo wa macho yangu. Nakutakia weekend njema. Leo nataka nikuonyeshe tu kwa kidogo ni jinsi gani shetani amekuwa akitumia dini na vitabu vitakatifu kujinufaisha yeye zaidi kuliko kambi...
  5. JamiiForums Tanzania Mkuu wa W.H.O asema ikiwa UN haiwezi kusitisha maafa ya Gaza kuna umuhimu gani wa kuwepo kwake

    Martin Gifhin mkuu wa shirika la afya duniani amesema ikiwa umoja wa mataifa umeshindwa kuizuia Israel isiendelee kuua watu wasio na hatia Gaza basi hakuna haja ya kuwepo umoja huo. Maelezo hayo ameyatoa leo na kunukuliwa na vyombo vya habari kikiwemo aljazeera baada ya kupokea taarifa ya idadi...
  6. JamiiForums Tanzania Mtwara: Jinsi Askari Polisi, akiwemo Mkuu wa Kituo na Upelelezi, walivyoshiriki Mauaji ya Mfanyabiashara wa Madini

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Ilala, Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP), Yustino John Mgonja ameieleza Mahakama Kuu Kanda ya Mtwara namna mfanyabiashara wa madini, Mussa Hamis Hamis, alivyouawa. Pia, amewataja washtakiwa waliokuwepo eneo la tukio na yule...
  7. JamiiForums Tanzania Watanzania tunasubiri kuibiwa kuelekea uchaguzi mkuu 2025

    Uchaguzi ni gharama kubwa sana kwa wagombea, vyama vya siasa na taifa kwa ujumla wake. Kupata pesa za kugharamia kupita kwenye kura za maoni, kupiga kampeni, kuchaguliwa, kulinda kura na kutangazwa kuwa mshindi ni bei kubwa sana. Watanzania tunatarajia kusikia wizi au uhalalishaji wizi mkubwa...
  8. JamiiForums Tanzania Afisa Mtendaji Mkuu wa Manchester United, Richard Arnold anaachia nafasi yake

    Afisa Mtendaji Mkuu wa Manchester United, Richard Arnold amejiuzulu nafasi hiyo na kuhitimisha miaka 16 ya Utumishi wake klabuni hapo. Arnold alichukua nafasi hiyo kutoka Ed Woodward mnamo Februari 2022. Kuondoka kwa Arnold kunaashiria ujio wa Mmiliki mwenza mpya wa Mashetani hao Wekundu, Sir...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Majukumu ya katibu mkuu utumishi

    Habarini, Hivi ni yapi majukumu ya katibu mkuu utumishi nijuzeni au Kama Kuna PDF ya majukumu hayo nipeni link
  10. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya awataka Maafisa Ugani na Watendaji wa Vijiji watoke ofisini waende wakatoe elimu ya Kilimo Bora

    Mkuu wa Wilaya ya Tanganyika Mkoani Katavi amewataka Maafisa Ugani na Maafisa Watendaji wa Vijiji kuhakikisha wanawafikia Wakulima ili kuendelea kutoa elimu ya kilimo bora. Mkuu wa Wilaya hiyo, Onesmo Buswelu ameyasema hayo wakati Kikao cha Maendeleo cha Wilaya kilichohusisha Watumishi wa...
  11. JamiiForums Tanzania Hongera kwa Naibu Waziri Mkuu: Upatikanaji wa Umeme na Mafuta vimeimarika sana

    Hakika naona utendaji kazi mzuri sana. Huna kelele lakini hupumziki na kazi zako zinaeleweka. 1. Hapo nyuma kukatika kwa umeme kulikuwa hakuna formula, sasa hivi angalau - japo kaza tena ili mambo yaende. 2. Hapo nyuma upatikanani wa mafuta ulikuwa wakusua sua. Na bei zilikuwa zinapanda...
  12. JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu CCM Chongolo hala hala baba, Makonda anakuja vibaya!

    Siyo siri ujio wa Makonda ndani ya CCM umekuwa na matokeo chanya. Hapa mama Samia alilamba dume ka karata. Tatizo ni Chongolo, anaonekana kutokomea into oblivion. Makonda anapiga chenga hata za mwili kisiasa. Katibu Mkuu changamka! ==== Pia soma: Katibu Mkuu wa CCM, Ndg. Daniel Chongolo...
  13. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa wa Mwanza apewa wiki tatu na Mwenezi Makonda kuhakikisha Hospitali ya Sengerema Inafunguliwa

    📌📌 MAAGIZO 3 YA CCM NDANI YA SENGEREMA - MWENEZI MAKONDA Katibu wa Halmashauri Kuu , Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndg. Paul Makonda ametoa maagizo matatu ya Chama Chama Mapinduzi mara baada ya kusiliza kero za Wananchi wa Sengerema akiwa njiani kupokelewa katika Jiji la Mwanza ambapo yupo kwa...
  14. JamiiForums Tanzania Mara pap Bashiru kateuliwa awe Katibu Mkuu wa Chama cha CCM

    Mara pap Bashiru kateuliwa awe Katibu Mkuu wa Chama cha CCM. Alafu Lukuvi arejeshwe Wizara ya Ardhi akakomeshe uporaji wa viwanja uliokithiri. Polepole aende Tamisemi kisha Mchengerwa awe Nishati na Kabudi Katiba na Sheria. Mpina Waziri Mkuu Alaf Bashe Kilimo hapo hapo alipo. GAME OVER.
  15. JamiiForums Tanzania Askofu Mwanakula, Pd. Kitima, na Askofu Bagoza wakutana na waziri mkuu!

    Post Ofisi ya Waziri Mkuu @TZWaziriMkuu Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Maaskofu Emaus Mwamakulwa wa Kanisa la Uamsho la Morovian (Kushoto) Askofu wa KKKT Dayosisi ya Karagwe Benson Bagonza. Kulia ni Padri Dokta Kitima ambaye ni Katibu wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa...
  16. JamiiForums Tanzania Tetesi: Musiba kuteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya, anaweza kupewa Arusha, Hai au Tarime

    Kuna tetesi zinatembea "chini ya kapeti" kwamba Musiba anaweza kuteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya katika hizo Wilaya tata kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu.Tega sikio
  17. M

    JamiiForums Tanzania Ombi kwa Paul Makonda ukiwa Chato muamrishe mkuu wa Wilaya apige marufuku kamari za kichina. Ziwawafisi na kuwamalizia walimu pesa

    Walimu wanaliwa pesa isee na hizi mashine za kichina hazifai Makonda okoa walimu wa Chato.
  18. JamiiForums Tanzania Hongera mkuu wa shule ya sekondari Migungani-Bunda

    Ukifika shule hii unaweza fikiria ni private kwa jinsi walivyoipangilia! Namna tu walivyopanda maua, usafi na nidhamu kwa ujumla utabaini walimu wapo kitimu zaidi na hawana mgawanyiko! Well done Headmaster,Mr Boaz! Well done Migungani secondary school, the heaven of Bunda!
  19. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Silaha wa Hamas, Mahsein Abu Zina auawa

    Mkuu wa kitengo Cha kutengeneza Silaha, ikiwemo makombora Bwana Mahsein Abu Zina ameuawa na majeshi ya IDF mjini Gaza. Abu Zina ndiye kiongozi aliyekuwa akiaminiwa katika kutengeneza makombora na Silaha zingine. Kwa Sasa kiongozi wa Hamas Gaza, Yahya Sinwar amezingirwa na majeshi ya IDF na hii...
  20. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Sagini amuwakilisha Waziri Mkuu katika Uzinduzi wa Idara ya JMAT

    Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Jumanne Sagini amemuwakilisha Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa katika Halfa ya Uzinduzi wa Idara Jumuiya ya Maridhiano na Amani Tanzania (JMAT) iliyofanyika Novemba 8, 2023 katika Ukumbi wa Mikutano wa Karimjee Hall Jijini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…