mkuu

Bwana Mkuu was Sultan of Pate, Kenya, 1688 to 1713. At the time Pate dominated Lamu. Bwana Mkuu set up residency at Lamu, complete with a Lamu lady as one of his wives and a private mosque.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Karibu mkuu mpya wa shule ya sekondari Nyiendo hapaHalmashauri ya mji wa Bunda...

    Binafsi nipongeze mabadiliko yaliyofanywa ya kuleta mkuu mpya wa shule ya Sekondari Nyiendo hapa Bunda.Ushauri wangu kwako naomba ujikite kwenye maeneo yafuatayo ill ufanikiwe 1.Epukana na wapambe ambao kwa lugha za siku hizi wanaitwa "machawa".Hawa ndio sumu kwa maeneo mengi ya makazini...
  2. JamiiForums Tanzania Simai kujiuzulu ni ushujaa mkubwa kama Nyerere alivyojiuzulu U-PM. Anastahili pongezi, lawama, shutuma, na kukaliwa vikao au apewe maua yake?

    Wanabodi, Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Nipashe Tanzania tuko hapa tulipo kwenye lindi la umasikini uliotopea kutokana na kukosekana viongozi wa kutosha wenye boldness ya kuchukua maamuzi magumu!. Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, John Pombe Magufuli, na huyu dogo Paul Makonda, ni...
  3. JamiiForums Tanzania Kupoteza Kesi ya Madini ya Nikeli Kunagharimu Taifa dola milioni moja kila mwezi

    Mahakama ya Benki ya Dunia imetupilia mbali sababu nyingi za Tanzania za kubatilisha tuzo ya dola milioni 119 (zaidi ya TZS 309 bilioni) kwa mchimba madini wa nikeli kutoka Australia. lakini uamuzi wa Mwanasheria Mkuu wa Tanzania Eliezer Feleshi kuendelea kutaka kufutwa kwa tuzo hiyo katika...
  4. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Ufaransa amteua aliyekuwa mume wake kuwa Waziri wa Mambo ya Nje

    Waziri Mkuu mpya wa Ufaransa Gabriel Attal ambaye ni shoga amemteua mume wake Stephane Sejourne kuwa waziri wa mambo ya nje, siku chache tu baada ya yeye kuwa shoga wa kwanza aliyejinadi hadharani kushikilia wadhifa wa uwaziri mkuu wa nchi hiyo. Sejourne, ambaye pia anaongoza chama cha siasa...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Kuondolewa kwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Hifadhi ya Watumishi wa Umma (PSSSF)

    Tarehe 6/2/2024 lilitolewa tangazo la mabadiliko katika uongozi wa mashirika kadhaa likiwemo hilo lililotajwa hapo juu. Hilo shirika hapo nyuma lilikuwa na historia ya kutofanya vizuri katika majukumu yake mpaka pale ndugu HOSEA KASHIMBA alipoteuliwa kuliongoza shirika hilo. Malalamiko ya...
  6. JamiiForums Tanzania Zanzibar: Askari wa JKU auawa, mkuu wa kituo cha polisi ashambuliwa

    Unguja. Askari wa Jeshi la Kujenga Uchumi Zanzibar (JKU), Ramadhan Juma Hassan (24) ameuawa, huku mwenzake akijeruhiwa na kundi la watu wasiojulikana walipokuwa kwenye lindo katika sheli ya mafuta. Akizungumza na Mwananchi Digital kwa njia ya simu, leo Februari 6, 2024, Kaimu Kamanda wa Polisi...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Miaka ya 64 ya Rais Samia, safari ya kusisimua kutoka Karani wa Masijala hadi Mkuu wa Nchi

    Na Bwanku M Bwanku. Jumamosi Januari 27, 2024 Rais wa Awamu ya 6 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan alitimiza miaka 64 toka kuzaliwa kwake akihudumu nyadhifa ya juu kabisa nchini toka achukue mikoba hiyo Machi 19, 2021 baada ya kifo cha aliyekuwa Rais wa Awamu ya 5...
  8. JamiiForums Tanzania Senegal: Bunge lapitisha azimio la kuahirisha Uchaguzi Mkuu hadi Desemba 15, 2024 licha ya vurugu kuzuka Bungeni

    SENEGAL: Wabunge wa chama Tawala na wengine wanaounga mkono Serikali, wamepiga Kura na kupitisha ombi la Rais Macky Sall, la kuahirisha Uchaguzi Mkuu uliopangwa kufanyika Februari 25, 2024 ambapo sasa umesogezwa mbele hadi Desemba 15, 2024 . Hatua hiyo imefikiwa baada ya Wabunge wa upinzani...
  9. JamiiForums Tanzania Paulo Makonda ni Waziri Mkuu Mtarajiwa

    Wakuu JF wazima nimatumaini yangu, Nianze kwa kusema hivi, Hakuna asiyemfahamu aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam kipindi cha Awamu ya Tano kabla ya uchaguzi wa 2020 Kwa Huruka yake unyanyasaji na ukatili kwa wapinzani na hadi kufikia kuvamia vituo vya Habari wote ni Mashaidi. Akastaafu...
  10. JamiiForums Tanzania Tayari Simba wameshaanza kupata Vikombe vya mkutano mkuu ujao mwakani

    Klabu yeti pendwa imepata mafanikio makubwa ukiacha Yale ya WhatsApp channel MCHEZAJI wetu Inonga amefika nusu fainali afcon. Pia fifa wametutaja Kwenye klabu 12 ambazo zitawania club world cup ambapo Sisi makolo wizard ni WA 7 Africa wakati zinatakiwa timu nne tu. Hayo ni mafanikio yetu
  11. B

    JamiiForums Tanzania Rais 'Mfalme' Macky Sall wa Senegal ahairisha Uchaguzi Mkuu

    04 February 2024 Dakar, Senegal RAIS WA SENEGAL AFANYA MAPINDUZI YA 'KIKATIBA' KWA KUFUTA UCHAGUZI MKUU Rais wa nchi tulivu iliyokwepa Mapinduzi ya kijeshi ya Africa Magharibi ya Senegal imeigia katika mtihani mkubwa toka ipate uhuru wake. Hii ni mara ya kwanza katika historia ya nchi hiyo...
  12. JamiiForums Tanzania Rorya: Mkutano Mkuu wa Chadema Wafana, Maelfu ya Wanachama wahudhuria

    Dalili ya Chama cha siasa kinachojiandaa kutwaa madaraka ya Nchi zinajionyesha wazi kabisa , Chama ni watu siyo Chawa Hebu angalia mkutano huu Maaluma wa Wilaya ya Rorya , Mkoani Mara , Ikumbukwe kwamba Chadema haina wanachama wajinga , wote hawa ni wanachama wenye akili timamu . Hii ni leo
  13. JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa TALGWU, Mhasibu na Mkuu wa Mikopo wafikishwa Mahakamani kwa Ubadhirifu wa Tsh. Milioni 133.5

    DAR: Watumishi 4 wa akiwemo Mkurugenzi Mtendaji wa Chama cha wafanyakazi wa Serikali za Mitaa Tanzania (TALGWU) akiwemo Mkurugenzi Mtendaji, Jackson M. Ngalama, Emmanuel G. Mdoe (Mhasibu), Pamela M. Sellemia (Mkuu wa Idara ya Mikopo), Timothy P. Mashishanga (Dereva) wamefikishwa Mahakamani kwa...
  14. JamiiForums Tanzania Mkuu wa zamani wa Shirika la Ujasusi la Ujerumani awekwa chini ya uangalizi kwa kujihusisha na Siasa za mrengo wa kulia

    Shirika la ujasusi la Ujerumani limemweka bosi wake wa zamani Hans-Georg Masen, ambaye sasa ni mwanasiasa wa mrengo wa kulia, chini ya uangalizi kwa ajili ya maoni yenye itikadi kali. Masen leo ametoa barua kutoka kwa shirika la ujasusi la BfV kwa wakili wake baada ya vyombo vya habari vya...
  15. JamiiForums Tanzania Maadhimisho ya siku ya sheria: wakati Jaji Mkuu akijigamba mbele ya Rais Samia, Wakili Mpale Mpoki hajapata nakala ya hukumu miezi miwili sasa

    Wakili Mpale Mpoki alisimamishwa uwakili miezi miwili iliyopita na Jaji Ntemi Kilekamajenga. Mpale Mpoki akaomba nakala ya hukumu, Jaji hajaitoa nakala hiyo mpaka sasa miezi miwili imepita. Na anayefanyiwa hivi ni wakili mkubwa kabisa, vipi kuhusu wananchi wa kawaida? Jaji Kilekamajenga...
  16. JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa TUICO afikishwa Mahakamani kwa Uhujumu Uchumi

    Shauri la Uhujumu Uchumi namba 2015/2024- Jamhuri dhidi ya Bw. BONIFACE YOHANA NKAKATISI- Katibu Mkuu Taifa wa CHAMA CHA WAFANYAKAZI WA VIWANDA, BIASHARA-TAASISI ZA FEDHA, HUDUMA NA USHAURI (TUICO) imefunguliwa leo Januari 31, 2024 mbele ya Mh. Bittony Mwakisu (SRM) katika Mahakama ya wilaya...
  17. JamiiForums Tanzania TANZIA Aliyekuwa mlinzi mkuu wa Rais Kikwete, Hamis Lukindo afariki Dunia

    Aliyekuwa mlinzi mkuu wa Rais Kikwete, Hamis Lukindo amefariki leo Januari 29, 2024 katika Hospitali ya Mloganzila, Dar es Salaam, maziko yanatarajiwa kufanyika Januari 31, 2024, Same.
  18. JamiiForums Tanzania Mganga Mkuu wa Serikali apiga Marufuku Watoa Huduma za Afya kuongea na Simu Binafsi Kazini

    Mganga Mkuu wa Serikali, Profesa Tumaini Nagu, ametoa agizo la kupiga marufuku matumizi ya simu na mazungumzo ya kibinafsi kwa watumishi wa afya wakati wa kazi katika vituo vya kutolea huduma za afya nchini. Agizo hilo limekuja baada ya ongezeko la malalamiko kutoka kwa wananchi kuhusu udumavu...
  19. JamiiForums Tanzania Kauli Tata ya Mkuu wa Majeshi kwa Wakimbizi

    Kauli ya CDF, mkuu wa majeshi Gen Jacob John Mkunda, kwamba kuna wakimbizi wamepewa nafasi nyeti serikalini naona ni kauli dhaifu na inawachafua zaidi wao kama walinzi namba moja wa mipaka ya nchi. Inamaana jeshi limeshindwa kazi ya kulinda mipaka ya nchi? Wakimbizi wakishakua raia by...
  20. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya Kinondon ruhusun mchanga utoke Mto Kawe. Vinginevyo tujiandae na rambirambi

    Mkuu wangu kwanza nakupongeza kwa unavyokuwa karibu na watu wako Pili nisisahau niombe tu najua umefika Mto Kawe maeneo ya makazi mapya umeona yale mateso ya Watuu na maafa yake Mkuu wangu wa wilaya mchanga umejaa maji yanasimama yanasomba nyumba za watu Maji yanahitaji njia, tukuombe watu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…