mkuu

Bwana Mkuu was Sultan of Pate, Kenya, 1688 to 1713. At the time Pate dominated Lamu. Bwana Mkuu set up residency at Lamu, complete with a Lamu lady as one of his wives and a private mosque.

View More On Wikipedia.org
  1. J

    JamiiForums Tanzania Jokate: UWT imekagua utekelezaji wa ilani katika mikoa 17, wilaya 185 na kata 883 Tanzania Bara

    UWT CHINI YA MWENYEKITI MAMA MARY CHATANDA IMEKAGUA UTEKELEZAJI WA ILANI KATIKA MIKOA 17, WILAYA 185 NA KATA 883 TANZANIA BARA - KATIBU MKUU JOKATE Kamati ya Utekelezaji ya Baraza Kuu chini ya Mwenyekiti wetu Mama Mary Chatanda (MCC) wamefanya ziara za kukagua utekelezaji wa ilani ndani ya...
  2. JamiiForums Tanzania Hongera sana Mkuu mpya wa shule ya sekondari Nyiendo halmashauri ya mji wa Bunda kwa uchapakazi uliotukuka

    Ukweli ni lazima usemwe tu hata kama watu wengi hawataupenda. Shule ilikuwa imepoteza mwelekeo kabisa.Kila siku ilipokuwa inapita unatamani heri ya Jana. Makundi baina ya walimu, morali ndogo kwa walimu wasio wanamtandao, kiwango kidogo cha nidhamu kwa wanafunzi yalikuwa baadhi ya mambo...
  3. JamiiForums Tanzania Kushika sana dini kunaweza kukupeleka kubaya. Rafiki yangu aliacha kazi ya Ualimu baada ya Mkuu wa Shule kumtaka anyoe ndevu

    Ni jirani yetu huko nyumbani kwetu, pia kuna kaurafiki kwa mbali baina yetu. Likizo sometimes tulikuwa tunajisomea pamoja kwakuwa tulikuwa darasa moja. Jamaa akawa teacher wa Serikali baadaye. Sasa nasikia walimu wana miiko mingi kutokana na mazingira yao ya kazi, sometimes wanakuwa walezi...
  4. JamiiForums Tanzania Peru: Waziri Mkuu ajiuzulu baada ya mazungumzo yake ya faragha kuvuja

    PERU: Waziri Mkuu, Alberto Otárola, (57) amejiuzulu baada ya tuhuma za kuwa alijaribu kutumia Ushawishi wake kumsaidia Mwanamke kupata Mikataba ya Serikali yenye faida baada ya mazungumzo yake na Mwanamke huyo kuvuja Kulingana na kipindi cha Panorama ambacho kilirusha Mazungumzo hayo, Mwanamke...
  5. JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu Netiboli Ajiuzulu.

    Katibu Mkuu wa Chama cha Netiboli Tanzania ‘CHANETA’ Bi Rose Mkisi amejiuzulu nafasi yake baada ya sakata la kuishutumu Serikali kwa upendeleo. Mkisi alinukuliwa na Redio moja akisema Serikali inapendelea sana mpira wa miguu na kwamba wameisahau michezo mingine ikiwemo Netiboli. Mkisi mbali...
  6. JamiiForums Tanzania Profesa Mgaya ateuliwa kuwa Mkuu wa chuo cha Usafirishaji (NIT)

  7. JamiiForums Tanzania Fitna za Ndumbaro zamuondoa Katibu Mkuu wa CHANETA

    Katibu Mkuu wa Chama cha Netball nchini Tanzania , Rose Mkisi amejiuzulu wadhifa huo kwa madai kwamba serikali imekitelekeza Chama hicho na Timu zake , hawaungwi mkono wala hawasaidiwi chochote . Timu za Netball haziwezi kuendeshwa kwa hela za mfukoni za viongozi wake wakati Wizara ya michezo...
  8. JamiiForums Tanzania Clouds Media yamteua DJ Fetty kuwa Msimamizi Mkuu Mzaidizi wa Maudhui

  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Abdulrahman Kinana: Chaguzi za 2019 na 2020 zilileta hofu, Mwaka 2024 na 2025 zitakuwa za Huru na Haki

    "Uchaguzi mwaka huu na mwaka ujao utakuwa wa huru na wa haki, wakati nazungumza hivi nina hakika wapo ambao wana mashaka na kauli hii, na hao wenye mashaka wanazo sababu, na sababu zao zinatokana na 2019 na 2020 huo ndio ukweli" "Sheria tuliyokuwa nayo ya uchaguzi ambayo ilitupeleka kwenye...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu mstaafu wa Israel aelezea jinsi Israel inavyoitegemea Marekani katika vita yake huko Gaza

    Haya yamesemwa na Waziri mkuu mstaafu Ehud Barak: 1. Kumbe mabomu ya vifaru Waisrael wanapewa na Mmarekani. 2. Mabomu ya ndege, Jamaa wanapewa na Mmarekani 3. Mabomu ya iron dome jamaa wanapewa na mmarekani. 4. Kulindwa kwenye maamuzi ya kimataifa ya UN 5. Na pia kumbe wanategemea walindwe...
  11. JamiiForums Tanzania LGE2024 Ziara ya Waziri Mkuu Musoma Vijijini: Serikali kuendelea kujenga Kiwango cha Lami Barabara ya Musoma-Makojo-Busekera (KM 92)

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa amewaeleza wana-Musoma Vijijini kuhusu uamuzi wa Serikali kuendelea kutoa fedha nyingi za utekelezaji wa miradi ya maendeleo vijijini mwao. Waziri Mkuu aliyasema hayo kwenye mkutano wake wa hadhara uliofanyika...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Hamse Abdi Barre: Waziri Mkuu asiyepeana mikono na wanawake

    Waziri Mkuu asiyepeana mikono na wanawake Waziri Mkuu wa Shirikisho la Jamhuri ya Somalia, Hamse Abdi Barre, alitoa taarifa kwenye mtandao wa kijamii, baada ya kuchapishwa video akisalimiana na mjumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Somalia, Catriona Laing bila kumpa mkono. Baadhi ya watu wanaamini...
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wana-Ruangwa Wamshukuru Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa (Mb)

    Wana-Ruangwa Wamshukuru Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa (Mb) "Kwa muungwana ukweli kwake ni ibada. Ni ukweli Usiopingika kwamba, kwetu Wana Ruangwa hatukudai. Karibu matatizo yote umeyamaliza, tulizobakiwanazo ni changamoto" - Wananchi Ruangwa "Waziri...
  14. JamiiForums Tanzania Serikali ya Guinea yamteua Kiongozi wa upinzani kuwa Waziri Mkuu mpya

    Jeshi linaloongoza Serikali ya Guinea limemteua Mamadou Oury Bah aliyekuwa kiongozi Mkuu wa Upinzani kuwa Waziri Mkuu siku chache baada ya Watu wawili kuuawa (Februari 26, 2024) baada ya Polisi kukabiliana na Waandamanaji wakati wa mgomo wa Wafanyakazi Nchini kote wakidai kupunguzwa kwa bei ya...
  15. W

    JamiiForums Tanzania Wagombea Urais katika Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2015 ambao wameshafariki

    Wafahamu Wagombea Urais katika Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2015 ambao wameshafariki Maalim Seif Sharif Hamad ambaye alikuwa Mgombea Urais kupitia Chama cha Civic United Front (CUF) alifariki Februari 17, 2021 akiwa na umri wa Miaka 77 baada ya kupata Maambukizi ya Ugonjwa wa Corona. Dkt. John...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Jaji mkuu Prof. Ibrahim Juma: Majaji mzingatie mizani ya haki, msiyumbishwe na mitazamo ya watu baada ya hukumu kusomwa

    26 February 2024 PROF. JUMA - HAKI SIO USHINDI, BALI NI USHAHIDI ULIOLETWA MAHAKAMANI UKAWEKWA KATIKA MIZANI https://m.youtube.com/watch?v=STdxA1gIJ7c Video courtesy of millard ayo Na Mary Gwera, Mahakama-Arusha Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma amewataka Majaji Wafawidhi wa...
  17. JamiiForums Tanzania Waziri mkuu Palestina awasilisha Barua ya kujiuzulu. Ataja sababu ni vifo ukanda wa Gaza na vita visivyoisha

    Upepo kuhusiana na Palestina unazidi kushika kasi dunia nzima. Leo Waziri Mkuu wa Palestina, Mohammed Shtieh amewasilisha barua kwa Rais Mahmoud Abbas akiomba kujiuzulu. Sababu alizozitaja kuhusu uamuzi wake huo ni yale anayoyashuhudia kwenye ukanda wa Gaza na maeneo yote ya ukingo wa...
  18. JamiiForums Tanzania Bashungwa Atoa Miezi Miwili kwa Mkandarasi Kukamilisha Daraja la Mtoa Ruaha Mkuu - Kilombero

    BASHUNGWA ATOA MIEZI MIWILI KWA MKANDARASI KUKAMILISHA DARAJA LA MTO RUAHA MKUU - KILOMBERO Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ametoa miezi miwili kwa Mkandarasi wa Kampuni ya M/s Reynolds Construction Company kukamilisha ujenzi wa Barabara ya Mikumi-Kidatu-Ifakara, sehemu ya Kidatu-Ifakara...
  19. JamiiForums Tanzania Shajara Yangu Mpambano wa Maalim na Komando Uchaguzi Mkuu Zanzibar 1995

    SHAJARA YANGU UCHAGUZI MKUU ZANZIBAR MPAMBANO WA MAALIM NA KOMANDO 1995 Miaka 29 sasa imetimu toka uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi mwaka 1995 baada ya mapinduzi na muungano mwaka wa 1964. Niko Zanzibar na fikra zangu zimerejea nyuma juma la mwisho mwezi October 1995 kuelekea siku ya kupiga...
  20. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Programu JamiiForums: Taasisi za serikali zinapaswa kutambua JamiiForums ni mtandao wa ndani, tuuthamini

    Mkuu wa Programu JamiiForums, Ziada Seukindo amesema taasisi za serikali zinaruhusiwa kutumia mtandao wa JamiiForums kwa sababu ni Jukwaa la mtandao kama majukwaa ya mitandao ya kijamii mengine duniani. “Taasisi za serikali zinapaswa kutambua JamiiForums ni mtandao wa ndani tuuthamini, baadhi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…