Bwana Mkuu was Sultan of Pate, Kenya, 1688 to 1713. At the time Pate dominated Lamu. Bwana Mkuu set up residency at Lamu, complete with a Lamu lady as one of his wives and a private mosque.
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) hufanya ukaguzi wa matumizi ya fedha za umma ili kuthibitisha matumizi yamefanywa kwa mujibu wa sheria na kanuni husika na kuna uwazi katika matumizi ya fedha hizo.
Ufuatiliaji wa uwasilishwaji wa ripoti hizi ni muhimu kwa wananchi ili...
Wanasiasa wenye mvuto na ushawishi kwa jamii chukueni tahadhari. Wapo watu wameletwa Duniani kuongozwa ila wanatamani kuongoza.
Kipindi hiki hali ya tamaa uwaka sana mioyoni mwa wanasiasa. Malipo mengi utolewa kwa vijana wavuta bangi na wasio na kazi waende kudhulumu nafsi za wale...
Rais wangu nakusalim kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni mimi raia wako Rashidi Jumaa kutokea Tanga wilaya ya Kilindi ni mzawa wa huku
Sauti ya mnyonge huwa haisikiki kwa urahisi, nimeona nilitoe dukuduku langu humu kwenye mitandao ya kijamii kutokana na kero tuliyokuwa nayo na huyu...
Wanaukumbi.
Mkuu wa Huduma ya Usalama ya Shirikisho la Urusi alisema leo, "Marekani, Uingereza, na Ukraine, ndizo zilizohusika na shambulio la ukumbi wa tamasha la Moscow".
Hayo ni madai mazito ... yenye athari za ulimwengu ...
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wanawake Tanzania (UWT) Ndugu. Jokate Mwegelo amesema kuwa Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kipindi cha miaka 3 ya Uongozi wake kwakuwa amefanya makubwa katika sekta mbalimbali za Afya, Elimu, Miundombinu, Maji...
Mkuu wa dunia hii ni MUNGU wa mbinguni, ila asilimia kubwa ya watu wanamuabidu shetani na Mungu anepewa kisogo.
Ngoja nikueleze kitu. Kuna vitu vya kwanza kabisa ni lazima uviwahi ili uiteke hii dunia. Shetani kapiga bao kubwa kwa sababu vitu vyote katika dunia hii, vile vikubwa amevishikilia...
Sonko, Faye na wengi wengine wametokea magerezani vitani dhidi ya watawala:
Vita dhidi ya watawala haviwezi kuwa vya maelewano.
CCM yupi ataridhiana na nani ili kwamba atoke madarakani?
Labda tu ili ajisimike madarakani kisawa sawa!
----
Opposition leader Bassirou Diomaye Faye has emerged...
chawa
kijana
kuelekea
kujifunza
mgombea
mgombea urais
mkuu
nchini
rais
senegal
tanzania
uchaguzi
uchaguzi mkuu
uchaguzi mkuu 2025
upinzani
urais
ushindi
vijana
Mtandao wa e-Wakili ukiingiza namba 4002 utakurudishia jina la Dr Boniface Luhende. Utakuambia pia kuwa haruhusiwi kusimama Mahakamani.
Hii ni aibu kwa Serikali ya Rais Samia na ni aibu pia kwa Mhimili wa Mahakama kuacha mtu asiye na sifa aingie Mahakamani na kujiita Wakili
No wonder nchi hii...
SHALLOM WANABODI
Ajira imekuwa changamoto sana kupatikana bila kuwa na Connection au Bahati kama ilivyo kwa wengi.
Niliamua kufanya kazi ya udalali ambayo naona kwa kiasi kikubwa inalipa Japo unaweza kukaa mwezi mzima hujapiga dili la maana zaidi ya kupata dili ndogo ndogo za Elfu kumi...
Katibju mkuu wa umoja wa mataifa, Antonio Guterres kwa mara nyengine amewaambia viongozi wa jumuiya ya Ulaya wazitumie sheria za kimataifa kwa hali ya usawa. Yale wanayoona ni sawa au kuyapinga kwa Ukraine na sehemu tofauti iwe hivyo hivyo kwa Gaza.
==========
BRUSSELS (AP) — European Union...
Rais wa Uganda, Yoweri Museveni amemteua Mtoto wake Jenerali Muhoozi Kainerugaba kuwa Mkuu mpya wa Majeshi (CDF) Nchini Uganda akichukua nafasi ya Jenerali Wilson Mbasu Mbadi ambaye ameteuliwa kuwa Waziri anayehusika na masuala ya biashara kwenye mabadiliko mapya aliyofanya katika Baraza la...
WAZIRI MHAGAMA AWATAKA WATUMISHI WA OFISI YA WAZIRI MKUU KUENDELEA KUTEKELEZA MAJUKUMU KWA UBUNIFU
Waziri Wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera ,Bunge na Uratibu) Mhe. Jenista Mhagama ametoa wito kwa Baraza la Wafanyakazi wa Ofisi hiyo,kupitia taarifa ya utekelezaji wa bajeti ya mwaka 2023/24 na...
Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Queen Sengida amejibu hoja ya Member wa JamiiForums.com aliyedai Wilaya ya Babati, Kata ya Magugu, Kijiji cha Kisangaji kuna Ugonjwa wa Mlipuko wa Kipindupindu lakini Serikali haisemi.
Kusoma hoja ya member ipo hapa - Serikali iweke wazi Ugonjwa uliopo Kijiji cha...
Yamebainika mengi sana leo, kwenye kumbukumbu ya kifo cha Rais wa Tanzania awamu ya 5.
Tusirudie yaliyosemwa, bali ninataka kujua asili ya Neno Amirati na labda na aliyelipendekeza kwamba ndio litumike badala ya Amiri Jeshi Mkuu.
"Kauli Mbiu ya Wekeza kwa Mwanamke Kuharakisha Maendeleo ya Taifa na Ustawi wa Jamii. Huwezi kutoa usichokuwanacho. Wanawake ndiyo watoaji wakubwa wa mambo mengi kuanzia watoto wanavyozaliwa" - Katibu Mkuu Kiongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Mhe. Mhandisi Zena Ahmed Said
"Kama tutakuwa...
Mfanyabiashara Ramadhani Ntuzwe ‘Babu Rama’ aliyekuwa akipaza sauti katika vyombo mbalimbali vya habari kwa takriba miaka saba kwamba anaida fidia ya Sh 986 milioni Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), anadaiwa kujiua kwa risasi leo Jumatano Machi 6, 2024 nyumbani kwake Urambo mkoani Tabora...
Dar ni mjini, na eti kuzaliwa mjini ni sawa na kuhitimu form six? Basi wana Darisalama watakuwa na masters kutokana na hotuba za kisomi za Chalamila.
Kwa siku za karibuni nimekuwa nikifuatilia hotuba za RC Chalamila, kwa kweli zina kiwango cha juu sana mpaka najiuliza nini kilimkuta miaka...
Kipindi Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC) kinamuunga mkono na kumuita Mgombea wake wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Queen Cuthbert Sendiga akitambulika pia kwa jina la ‘Mama wa Taifa’, kuna baadhi ya Watanzania hawakuelewa dhana ya chama hicho.
Moja kati ya...