mkuu

Bwana Mkuu was Sultan of Pate, Kenya, 1688 to 1713. At the time Pate dominated Lamu. Bwana Mkuu set up residency at Lamu, complete with a Lamu lady as one of his wives and a private mosque.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Naibu katibu mkuu bara chadema ninawasiwasi nae

    Harakati zote hizo yeye hata hajaguswa na vyombo vya dola. Mpinzani kweli huyu? Haendi KISUTU huyu? Waliobaki wote naona wanampigania lissu badala yeye
  2. S

    JamiiForums Tanzania Napenda Chadema ishinde Uchaguzi Mkuu.

    Vipi iwapo Chama chetu cha Chadema kitashinda uchaguzi wataruhusu au tuseme kukubaliana na nchi wanazozitegemea kuwapa sapoti, yaani Chadema itaruhusu uvutaji wa bangi na mambo mengine. Kila kitu huria mladi usivuke mipaka.
  3. Q

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Katibu Mkuu TEC, Rev Dkt. Charles Kitima: Wasitupangie cha Kusema

    Majibu ya Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC) Rev Dkt. Charles Kitima baada ya kuulizwa kuhusu sakata la viongozi wa Dini kuonekana wanachanganya Dini na Siasa pale ambapo wanatoa matamko kuhusu mambo mbalimbali ya kiutawala yanayoendelea nchini. Amesema; Kupata...
  4. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Shin Bet Ronen Bar anatangaza kujiuzulu wadhifa wake

    Mkuu wa Shin Bet Ronen Bar anatangaza kwamba atajiuzulu kutoka wadhifa wake mnamo Juni 15, akitaja jukumu la kibinafsi kwa shirika hilo kushindwa kuzuia shambulio la Oktoba 7 la Hamas. Ikizungumza katika hafla ya ukumbusho wa wafanyikazi waliokufa wa Shin Bet, Bar inasema kwamba baada ya...
  5. JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 CHADEMA Yaomba Tume ya Uchaguzi Kuwaruhusu Kushiriki Uchaguzi Mkuu 2025

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, John Heche, amesema kuwa chama hicho kiko tayari kushiriki Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, endapo Tume ya Uchaguzi itawapa nafasi hiyo.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Maombi ya uchunguzi kuhusu uchangishaji fedha kinyume na taratibu kwa ajili ya ukarabati wa nyumba ya mkuu wa wilaya ya Maswa

    Kwa Waziri,Mh Mohamed Mchengerwa,Waziri wa TAMISEMI. Sisi wafanyabiashara wa mji wa Maswa kunapenda kuwasilisha malalamiko yetu kuhusu utaratibu unaoendelea wa kuchangishwa fedha na Katibu Tawala wa wilaya ya Maswa,Athuman Kalaghe kwa ajili ya ukarabati wa nyumba ya Mkuu wa Wilaya. Taarifa...
  7. JamiiForums Tanzania Nabii aliyetabiri kifo cha JPM ametabiri haya Uchaguzi Mkuu 2025

    https://youtu.be/ZRtV1GTdV3c?si=FZ-HmvFAe2Ezv5Tr Nabii Rolinga alitoa unabii wa kifo cha JPM miezi 3 kabla na ikatokea to the dot. Msikilize unabii wake tena kuhusu Chaguzi Mkuu wa 2025 na kitakacho tokea. Bado Mungu anatumia watu wake. Tatizo ni kibri cha Watawala wa CCM...
  8. JamiiForums Tanzania Unashauri ndoto za vijana wa chadema zilizozimwa kwa makusudi na ghafla kwa ubinafsi wa uongozi wao mpya wakazitimizie kwenye chama gani cha siasa?

    Maana uongozi mpya wa chadema umewakatisha ndoto, matamanio na matarajio yao ya kiasia waliojiandaa na kuvumilia kuyatimiza kwa muda mrefu sana ndani ya chadema. Leo hii ghafla, na kwa makusudi, chama chao Chadema kimewakosesha haki na fursa hiyo muhimu ya kutimiza ndoto zao za uongozi, lakini...
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia Awaahidi Wananchi Uchaguzi Mkuu Utakuwa Wa Amani, Huru, na Wa Haki, Kama Ulivyokuwa wa Serikali za Mitaa 2024

    Hotuba ya Rais Samia, jana usiku, pamoja na mambo mengine, aliongelea kuhusu uchaguzi mkuu wa 2025, akisema kuwa Serikali yake itahakikisha uchaguzi mkuu wa 2025 utakuwa wa amani, huru na wa haki. Maneno haya pia Rais Samia aliyatamka mwaka 2024 wakati akiwahamasisha wananchi kujitokeza kwenye...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya rais Samia: Mkuu wa nchi akitoa hotuba mjitahidi kusikiliza na kutoa ushauri, sio matusi

    Ni bora sisi raia wema tukajikita katika kusikiliza vyema hotuba na baadaye tukashauri. Sio vyema kutoa mwitikio mbaya kwenye mitandao ya kijamii. Hapa ni maoni ya watu kwenye mtandao wa Facebook au Meta. Sina hakika kama hawa ni wanachama wa
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Naibu katibu mkuu CHADEMA Zanzibar: Polisi wanavyotufanyia sio kama wanatuvunja moyo, bali wanatutia ujasiri wa kupambana

    "Hivi ambavyo wanatufanyia vitatengeneza visasi vya muda mrefu sana lakini mimi naamini wametufanyia sisi lakini vizazi vyao vitakuja kufanyiwa haya ambayo tumefanyiwa na sisi. Nataka nimwambie Rais Samia kwamba anachokifanya kutunyamazisha ni kosa kubwa sana kwa sababu binadamu yeyote anapitia...
  12. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu kwenye Siku ya Kumbukumbu ya Holocaust:

    "Ikiwa Iran itatushinda - nchi za Magharibi ndizo zitafuatia. Baada ya Oct 07,20203 Israeli haitaruhusu tena madhara kwa Wayahudi na wala Hatutasamehe kwa yeyote aakayejaribu kutushambulia. Hatutasahau utawala wa Ayatollah lazima uanguke siyo baadaye bali ni Sasa!!.
  13. JamiiForums Tanzania Tanzania ya kisasa: Haki, teknolojia, na siasa za amani—tunapokwenda kwenye uchaguzi mkuu

    TANZANIA YA KISASA: HAKI, TEKNOLOJIA, NA SIASA ZA AMANI—TUNAPOKWENDA KWENYE UCHAGUZI MKUU Leo tarehe 24 Aprili 2025, Tanzania - Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeendesha shauri la jinai namba 202504102000008606 dhidi ya Mheshimiwa Tundu Antiphas Lissu kwa njia ya mtandao, kupitia tovuti rasmi...
  14. JamiiForums Tanzania Bunge Live Asubuhi ya Leo, Maswali ya Papo kwa Papo na Waziri Mkuu

    Wanabodi Naangalia Bunge Live kupitia TBC Asubuhi ya Leo, Maswali ya Papo kwa Papo na Waziri Mkuu- Watch https://www.youtube.com/live/Q2K-fa_9lmQ?si=Y9V-RXLXorXsgR5P Paskali
  15. D

    JamiiForums Tanzania Ukikutana na mwanamke wa kichagga anaitwa MANKA kimbiaaaa mkuu wangu.

    Usioe mwanamke wa kichagga anaitwa MANKA. Usifanye biashara na mwanamke wa kichagga anaitwa MANKA. Usipange nyumba moja na mwanamke wa kichagga anaitwa MANKA. Fanya yoooote na wanawake wa kichagga wa majina mengine, lakini ukisikia tu MANKA, kimbiaaaa mkuu wangu. I'm done..
  16. H

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Uchaguzi Mkuu, Viongozi wa Dini Wasiishie Kuionya Tu Serikali, Bali Wawashauri Pia Waumini Kutohatarisha Maisha Yao, Kama Hakuna Reforms.

    Viongozi wa dini, kwa dini zote, huchukuliwa kama wazazi na walezi wa waumini wao. Ni kwa sababu hiyo, viongozi wa dinni kwa kutambua wajibu wao, wametoa ujumbe kwa Serikali juu ya umuhimu wa kuwa na marekebisho ya sheria, kanuni na mifumo yetu ya uchaguzi, ili uchaguzi mkuu kuwa wa haki na...
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Muda uliobaki kabla ya uchaguzi mkuu unawatosha G55 kuanzisha chama chao kipya kushiriki uchaguzi?

    Kwa kuwa lengo la G55 ni kushiriki uchaguzi tu katika hali yoyote ile na mazingira yoyote kama ilivyo ACT, je muda unaruhusu wao kuanzisha chama kipya, kupata usajili na kuweza kusimamisha wagombea wao kushiriki uchaguzi?
  18. JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa Usalama wa Ndani Marekani aibiwa pochi nene!

    Katibu Mkuu wa Usalama wa Ndani nchini Marekani, Kristi Noem ameonja adha wa wananchi wa kawaida nchini humo Kaibiwa pochi nene kabisa. Ndani ya pochi mlikuwemo bulungutu la kushiba mtu, $3,000(dola elfu tatu na ushee) Kwa hela hiyo mimi ningeagiza Subaru Forester. Mkuu huyo wa Usalama...
  19. JamiiForums Tanzania Hii nchi aisee!! Yaani Mkuu wa Machinery ya kusimamia uchaguzi ni mama mkwe wa Rais

    Ila Bongo inasikitisha sana kwenye suala la haki. Ndiyo maana ukizungumzia haki inakuwa kama umetangaza duka la bangi. Inajiuliza sisi tupo dunia ya ngapi. Tofauti ya chaguzi za enzi za mkoloni na leo ni majina tu, lakini michakato ni ile ile. PO-RALG ndio inasimamia uchaguzi kupitia...
  20. K

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mkuu wa wilaya Uyui analazimisha watumishi wote kuchangia pesa Tsh 20,000 kwa ajili ya mbio za mwenge

    Heri ya pasaka wanajamvi. Habari za usiku huu. Mkuu wa wilaya amezidi ubabe. Anawafanyia ubabae watumishi wa umma na anajidai hakuna wa kumgusa hata akifanya lolote. Kwani analazimisha watumishi wote kuchangia pesa sh 20,000 kwa ajili ya mbio za mwenge ambapo watakaochangia lazima waandikwe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…