mkuu

Bwana Mkuu was Sultan of Pate, Kenya, 1688 to 1713. At the time Pate dominated Lamu. Bwana Mkuu set up residency at Lamu, complete with a Lamu lady as one of his wives and a private mosque.

View More On Wikipedia.org
  1. Wayahudi Waliohifadhiwa Ndani ya Msikiti Mkuu wa Paris Vita Kuu Vya Pili

    https://youtu.be/Z1r0OuKrUN8?si=vmE4Ph5dSZivJ_JO
  2. KERO Maandamano ya Wananchi wa Buza - Dar es Salaam "Tumechoka tunamhitaji mkuu wa mkoa aje tunateseka"

    https://www.youtube.com/watch?v=6bYlhfMqEWs Wananchi wa Kata ya Buza Wilaya ya Temeke wameandamana kutoka Buza Kanisani hadi Ofisi za Chama cha Mapinduzi Kata ya Buza wakiitaka Serikali kurejesha magari ya Daladala Kutoka stendi mpya iliyopo kwa Mama Kibonge hadi Stendi ya Buza kanisani...
  3. Waziri Mkuu, Wananchi wa Kipunguni wanalipwa lini pesa zao? Wezi wanavamia nyumba, kumebaki mapori tu

    Mh Waziri Mkuu, Hongera kwa Mungu kukupa nafasi uliyonayo na kazi unayoifanya. Pongezi kubwa kwako. Nianze kutoa malalamiko yangu kuhusu yanayoendelea Kipunguni. Wananchi wa Kipunguni wanakusubiri urudi waje ofisini kupiga magoti. Wanaumizwa na majambazi, wanakufa kwa presha, kisukari na...
  4. Waziri Mkuu ukimaliza ziara, usiisahau Dar na anzia Kinondoni. Ruhusu watu watoe ya moyoni

    Waziri Mkuu goodmorning Nimeona nianze kukupongeza kwa kazi nzuri ya kusikiliza malalamiko ya wananchi mkoani Waziri Mkuu nimeona niseme haya Pamoja na kazi nzuri unayofanya yale maagizo huwa mengi hayatekelezwi. Mimi nilikuwa mshabiki sana wa ziara za Majaliwa, kwa kweli kuna mambo alikutana...
  5. Tetesi: Msemaji mkuu wa kijeshi wa M23 aua na jeshi la serikali ya DRC

    Taarifa zinazotoka Kivu kaskazini,zinasema msemaji mkuu wa jeshi la M23 ameuawa katika shambulio la ndege zisizo na rubani. Inasemekana pia shambulio hilo,limemjeruhi kiongozi wa kundi hilo Gen Sultani Makenga. Wakati huo,baada ya raisi wa Angola kutoka kwenye uongozi wa African Union, ametuma...
  6. Live from Nairobi: Africa Editors Congress, Wahariri wa Africa Kujadili Changamoto za Media, Deo Balile wa TEF na Mkuu Max wa JF Ndani ya Nyumba!.

    Wanabodi, Niko hapa ukumbi wa Aga Khan University, kuwaripotia live, kinachoendelea kwenye huu mkutano ambapo Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania, Deodatus Balile, atawasilisha mada ya Media Sustainability amid Digital Era. Miongoni maw watu muhimu nimewaona hapa, ni Boss wa JF, Mkuu...
  7. A

    DOKEZO Ofisi ya Mkurugenzi wa Manispaa ya Moshi Mjini inanuka rushwa, ichunguzwe!

    Napoandika hii post leo, na siku za karibuni Waziri Mkuu amekuwa ziarani Mkoa wa Kilimanjaro, naomba na kumsihi Waziri Mkuu aifanyie uchunguzi Ofisi ya Mkurugenzi wa Manispaa ya Moshi Mjini, mipango miji na TARURA kwa kula rushwa na kuuza maneno ya wazi au kuwezesha maneno ya wazi kuuzwa kwa...
  8. CHADEMA someni katiba kwanza badala ya kudanganyana kuwa serikali inamwomba Lissu awe waziri mkuu.

    Siku hadi siku wanaCHADEMA wanazidi kuweka ujinga wao hadharani bila aibu. Huko X wanadanganyana kuwa Lissu anabembelezwa kuwa waziri mkuu huku akiwa hana vigezo. Hii KATIBA MPYA mnayodai ni ipi? Ndo maana wengi wenu kutokana na akili ndogo huwa mnakimbilia kusema TUNATAKA KATIBA YA WARIOBA bila...
  9. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu -TAMISEMI afanya kikao kazi na Menejimenti ya Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu -TAMISEMI, Prof. Riziki Shemdoe amefanya kikao kazi na Menejimenti ya Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto, kilicholenga kuweka mkakati wa utekelezaji wa maelekezo ya Mhe. Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba hususani ya utatuzi wa kero na changamoto za wananchi...
  10. A

    DOKEZO Tuhuma za Mganga Mkuu Serengeti, asimamishwe na kuchunguzwa

    kwa muda mrefu kumekuwa na tuhuma ambazo zinathibitika za mganga mkuu wa halmashauri ya wilaya ya serengeti nashangaa mamlaka zake mkoa ,Tamisemi na wizara zikikaa kimya pasipo kutusaidia watumishi. Ofisi imegeuka sehemu ya madili na kosa aonekane mtu anaenda kinyume ni anapewa uhamisho...
  11. Kaacha ofisi kaenda kwenye ziara ya Waziri Mkuu

    Huyu boss kaacha ofisi anazunguka na waziri mkuu, hajataka kumwachia mtu majukumu kwa mda, anataka kote awe yeye Huko alipo hafanyi kazi yoyote zaidi kukaa kwenye V8 na kutumia mafuta kwa kodi za Wananchi, Hawezi kupitisha kitu chochote kwenye mfumo kinachomhitaji apitishe so mambo yamesimama...
  12. R. Kelly achunguzwa akidaiwa kumiliki Namba ya zamani ya Mkuu wa Gereza ndani ya jela

    R. Kelly anachunguzwa na mamlaka za shirikisho baada ya nambari ya simu ya mkuu wa gereza aliyestaafu kupatikana katika daftari lake katika gereza la North Carolina. Mwimbaji huyo wa R&B aliyeporomoka sifa anatumikia vifungo virefu vya shirikisho baada ya kutiwa hatiani kwa makosa ya uhalifu wa...
  13. Mwenyekiti wa Kitongoji (CCM), amweleza Waziri Mkuu Anahofia Kutekwa-Kuuwawa. Amtaja Mkuu wa Wilaya

    Mwenyekiti wa Kitongoji (CCM), Amweleza Waziri Mkuu Anahofia Kutekwa-Kuuwawa. Adai ameanza kusakamwa baada ya kuzuia miti kukatwa kinyemela huko Machemba, Muheza. Mwenyekiti huyo ameeleza yote hayo Katika ziara ilifanyika leo Februari 16, 2026, na Waziri Mkuu- Mwigulu Nchemba huko Muheza Tanga.
  14. Waziri Mkuu anusa wizi mwingine Muheza – Tanga, ni wa vifaa vya ujenzi jengo la Halmashauri ya Wilaya

    WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba ameagiza wajumbe wa Kamati Mapokezi na Kamati za Ujenzi za mradi wa ujenzi wa ofisi ya Halmashauri ya Wilaya ya Muheza wakamatwe na kuhojiwa mara moja ili watoe taarifa juu ya upotevu wa vifaa vya mradi huo. “Kuna nondo 700, Marine boards 500 na matofali...
  15. Dr Hussein Bashe MP (PhD) Waziri Mkuu ajae

    Mheshimiwa Dr Hussein Bashe MP PhD anasubiria kuapishwa baada ya mabadiliko ya Baraza la mawaziri hivi karibuni.
  16. H

    Ndani ya wiki mbili vifaa viwe vimefungwa - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba

    Ndani ya wiki mbili vifaa viwe vimefungwa - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba ———————————- Amesema hayo leo Februari 13, 2026 alipokagua na kufungua jengo la wagonjwa mahututi (ICU) katika Hospitali ya Halmashauri ya Mji wa Handeni mkoani Tanga ambalo ujenzi wake umegharimu sh. milioni 426.
  17. Barua ya wazi kwa Waziri Mkuu akiwa Kilindi Tanga

    Hongereni kwa majukumu ya kazi za kila siku. Barua hii kwa jina la Jamhuri ya muungano wa Tanzania imfikie mh Mwigulu Nchemba waziri mkuu wa Tanzania akiwa kilindi Tanga Leo tarehe 13.02.2026. Kwakuwa kumuona mh.ana kwa ana ni ngumu tunaomba asome barua ya walimu wa kilindi Tanga inayohusu pesa...
  18. A

    DOKEZO Mkuu wa Wilaya ya Bariadi, Simon Simalenga azuia uwanja wa mpira wa Halmashauri kutumika kwa mazoezi ili achungie mifugo yake

    Umepita mwezi sasa uwanja wa mpira wa Halmashauri ya mji umezuiliwa kutumika. Hii ni mara ya pili, mwanzo ilizuiliwa Mkurugenzi akaruhusu mazoezi kufanyika na ukafunguliwa. Ghafla tu umefungwa kila watu wakifuatilia hakuna sababu zinazoeleweka kuhusu kuzuilia watu kutofanya mazoezi hali ambayo...
  19. Kero kwa Airtel money pind unapotuma pesa wakala kwenda kwa wakala mkuu.

    Habar ndugu zangu.... Kunachangamoto na hatari kwa sisi ma wakala wakati wakutuma pesa Airtel kwenda kwa wakala mkuu, hawaonyesh jina mpaka pesa iende ndio jina linakuja, kwa utaratibu huu mliounzisha Airtel n hatari sana kwa sisi mawakala kupoteza pesa.
  20. S

    PostGE2025 Ushauri wangu kwa Rais Samia na CCM kuhusu ushindi wao wa kidemokrasia katika Uchanguzi Mkuu 2025

    Napenda kuwakumbusha Raisi Samia na CCM wote kwamba neno demokrasia halina maana sawa na haki, na wala demokrasia haihalalishi haki, na pia inaweza kupindisha haki au hata kuhalalisha ukosefu wa haki. Hata siku moja msikate shauri kwamba mtu aliechaguliwa kidemokrasia na wengi ndio mwenye haki...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…