mkuu

Bwana Mkuu was Sultan of Pate, Kenya, 1688 to 1713. At the time Pate dominated Lamu. Bwana Mkuu set up residency at Lamu, complete with a Lamu lady as one of his wives and a private mosque.

View More On Wikipedia.org
  1. P

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu Kiongozi mstaafu, Dkt. Bashiru Ally unasumbuka sana. Rais Samia tarehe 30, Aprili atashinda kwa asilimia 100%

    Dr. Bashiru juhudi zako unazofanya za chuki na hasira dhidi ya Rais wetu mpemdwa tukwambie tu unasumbuka sana. CCM ni chama chetu, Tumekulia ndani ya CCM, tunazijua tamaduni zetu, tunazijua saisa za rough na nzuri za CCM. Tunakuhakikishia tu kuwa Rais Mama Samia Suluhu tunaenda kumpa Uenyekiti...
  2. JamiiForums Tanzania DC na Mkuu wa Takukuru Wilaya ya Tanganyika matatani kwa Rushwa

    Wadau hongereni kwa kazi hii kitu imevuma Sana Leo kwa wahusika hao kuvuta 60 mil toka kwa makarani wa pamba huko Wilaya ya Tanganyika hebu wajuvi mtupe nyama inakuwaje hii kitu maana Hawa jamaa inaonekana watu wa dili na kutakuwa na chain ndefu tu ya Kula mlungula najua humu great thinker...
  3. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu: Miradi yote ya awamu iliyopita itatekelezwa

    Baada ya hoja kadhaa wiki hii kuibuka za kumuacha Rais Samia Suluhu aidha Kuandika kitabu chake au aendelee na kilichopo, waziri mkuu wakati akihitimisha hoja yake ya bajeti, amesema serikali ya awamu ya sita itaendelea kukamilisha ahadi zikizotolewa wakati wa kampeni zilizopo kwenye ilani ya...
  4. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu: Dodoma itaendelea kuwa Makao Makuu ya Nchi. Ujenzi utaendelea

    Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amewatoa hofu Watanzania waliofikiri mkakati wa Dodoma kuwa Makao Makuu ya Nchi hautoendelea. Akiwa Bungeni Dodoma, "Serikali imeweka mfumo mzuri wa kuhakikisha Makao Makuu ya Nchi yanaendelezwa kwa kujenga na kuendelea na mipango ya maendeleo ya Jiji la...
  5. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Haiti ajiuzulu katika wadhifa wake huku maandamano ya ghasia yakiendelea

    Waziri Mkuu wa Haiti Joseph Jouthe alijiuzulu kutoka wadhifa wake ambapo maandamano ya ghasia yamekuwa yakiendelea kwa kipindi cha miezi 6 iliyopita. Kulingana na ripoti ya Sputnik, wakati Jouthe hakuelezea sababu yoyote ya kuacha wadhifa wake, aliandika ujumbe kwenye akaunti yake ya Twitter...
  6. JamiiForums Tanzania Heshima yako Mkuu

    Wadau habari. Kuna hizo salamu kutoka kwa vijana wa siku hizi ambao kwao kusalimia kwa kusema Shikamoo ni shida. Utawasikia wanakuambia Heshima yako Mkuu, kwa kweli mimi nashindwa niwajibu nini. Je, wewe imeshawahi kukutokea? Je, unajibu vipi?
  7. L

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa TLS Dkt. Edward Hosea na mwenzake wamwaga fulana kwa wajumbe

    Uchaguzi wa rais chama cha wanasheria Tanzania (TLS) unaofanyika jijini Arusha umeshika kasi kukiwa na wagombea watano ila nimeona watu kadhaa wakiwa wamevaa t-shirt nyeupe zikiwa na picha za wagombea tofauti mmojawapo akiwa ni Dr. Hosea na Shehzad Wall. Sijajua kwa nini wagombea hawa wawili...
  8. U

    JamiiForums Tanzania Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi kufanyika Aprili 30, 2021

    Tafadhali soma maelezo hapo chini
  9. J

    JamiiForums Tanzania CCM tunaenda mbele au tunarudi nyuma? Hii ya Kibajaji kuwa mchangiaji wa kwanza Bajeti nyeti ya Waziri mkuu ni kama " babeli"

    Mchangiaji wa kwanza wa hotuba muhimu ya ofisi ya waziri mkuu mh Lusinde aliyepewa dakika za kipekee (15) kutumia muda mwingi kuwasimanga wasomi na wapinzani hasa CHADEMA halina afya kabisa kwa sasa. Ofisi ya Waziri Mkuu ndio mlezi wa vyama vya siasa sasa kuipandikiza mbegu za chuki na husuda...
  10. JamiiForums Tanzania MKEMIA kutoka ofisi ya Mkemia mkuu wa Serikali, Faustin Malamula atoa Ushahidi kesi ya Madawa(Bangi) inayomkabiri Paul Ikumbi

    MKEMIA kutoka ofisi ya Mkemia mkuu wa Serikali, Faustin Malamula, amedai baada ya kufanya uchunguzi wa kete 43, zizaniwazo kuwa ni bhangi alibaini kwamba ni bhangi ambazo zilikuwa na kemikali ya Tetrahydrocannabinol(THC), ambayo husababisha ulevi usiopoonyeka kirahisi. Malamula ambaye ni...
  11. JamiiForums Tanzania Tumpongeze Waziri Mkuu Kassim Majaliwa anatupa matumaini

    Kwa ushujaa wa hali ya juu Mh.Kassim Majaliwa ameturudisha katika Imani yetu juu ya serikali yetu.Imani ambayo ilikuwa ishaanza kupotea baada ya baadhi ya viongozi wa ngazi za juu kuanza kubadilika kifikra na matamshi kipindi kifupi tu baada ya kuondoka mpendwa wetu. Wengi wetu tulianza kuamini...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Bado miaka michache Uchaguzi Mkuu; Upinzani tunalolitaka ni madai ya Tume Huru ya Uchaguzi

    Kama hamtaanza sasa hadi mnahakikisha Tume Huru Ya Uchaguzi imepatikana, msije mkahamasisha watu kuingi kwenye uchaguzi, fanyeni juhudi za wazi zionekane ziwaridhishe wapiga kura, sasa hata kama imebadilishwa au haikubadilishwa wananchi watawaelewa kuwa mlipigania kiume kudai Tume hio. Haya...
  13. JamiiForums Tanzania CAG Kichere alikuwa mkuu TRA, anayajua vizuri madudu yote ya TRA

    Huyu huyu CAG Kichere alikuwa Commisioner General TRA. Haya madudu tunayoyaona vile vile anahusika nayo. Ubambikaji kodi Kunyang'anya fedha za wafanya biashara benki. Kufungia biashara. Hawezi leo kuwa benchmark ya ukweli. (NB alikuwa mhasibu TANROADS)
  14. JamiiForums Tanzania CCM haina Mwenyekiti wala Katibu Mkuu, hivi sasa inaendeshwa na Dola

    Baada ya kifo cha Magufuli aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM na Bashiru kuwa Katibu Mkuu Kiongozi na baadaye kutenguliwa na kuteuliwa kuwa Mbunge, CCM haina uongozi wa juu na hivi sasa inategemea Dola kuendeshwa katika shughuli zake za kila siku. Jambo hili si la afya kwa mustakabali wa siasa za nchi...
  15. JamiiForums Tanzania Ni nani aliyeruhusu Mbowe na Zito kabwe kuongea na taifa wakati mkuu wa nchi akiwa nje ya nchi

    Ama kweli mambo yamebadilika sana mpaka watu wamesahau majukumu yao. Leo viongozi wa vyama vya upinzani wataongea na watanzania kupitia vyombo vya habari. Jambo linalonitatiza ni pamoja na kwamba hii itakuwa mara ya kwanza kwa wapinzani hawa kuzungumzia mambo ya kitaifa tangu Rais Samia aingie...
  16. JamiiForums Tanzania Maoni: Je, ni wakati sahihi wa kuanzishwa ofisi ya mamlaka ya mkaguzi mkuu wa hesabu ya serikali (Controller and Audit General Authority)?

    Ndugu Abbas Mwalimu , anafikiri sasa kuna haja ya kuipandisha hadhi Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kuwa Mamlaka kamili yaani Controller and Audit General Authority (CAGA). Kwa nini anasema hivi? Kwa sababu kwa mtazamo wake, anaamini ikiwa mamlaka kamili...
  17. Q

    JamiiForums Tanzania Kufuatia ripoti ya CAG, Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB), Devotha Mdachi asimamishwa kazi

    Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Damas Ndumbaro amemsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB), Devotha Mdachi kupisha uchunguzi wa tuhuma za matumizi mabaya ya fedha na rasilimali za serikali. =============== DEVOTHA MDACHI =============== "Mimi naweza kuwekwa Pembeni...
  18. P

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu, kuwa Makini sana na Waziri Mwambe

    WAZIRI MKUU MAJALIWA, KUWA MAKINI ZAIDI NA WAZIRI MWAMBE. AMEJAA KIBURI, CHUKI, NA MPENDA RUSHWA Katika mabadiliko madogo aliyoyafanya Rais wa JMT Mh. Samia Suluhu Hassan alimtoa Mwambe kwenye wizara ya Viwanda na Biashara na kumbadilisha na Prof. Kitila Mkumbo, ambapo Mwambe akahamishiwa...
  19. JamiiForums Tanzania Hivi huyu ni Kiongozi au tapeli? Kwanini Mamlaka zinamlea kiasi hiki?

    Kama ilifikia mahali kiongozi anatoka eneo la himaya yake yake ya kazi anakwenda kuvamia maduka ya watu, kwanini kiongozi kama huyu asiitwe jambazi? Huu unyang'anyi au uporaji wa mali za watu usiku unatumwa na nani? Halafu mpuuzi moja akitoka hapo anamtaja hadi Mungu. Kwa mujibu wa gazeti...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa: Maombolezo yamekwisha leo, kuanzia kesho wananchi wote nendeni mkachape kazi

    Waziri mkuu mh Majaliwa ametangaza hitimisho la maombolezo ya msiba wa hayati Magufuli na kwamba kuanzia kesho wananchi warejee katika shughuli za kawaida na kuchapa kazi. Chanzo: ITV habari Ukinizingua Nakuzingua!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…