mkuu

Bwana Mkuu was Sultan of Pate, Kenya, 1688 to 1713. At the time Pate dominated Lamu. Bwana Mkuu set up residency at Lamu, complete with a Lamu lady as one of his wives and a private mosque.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ninavyowafahamu wateule wapya wa Rais Samia kwa historia yao ya nyuma na uhusiano wao na viongozi wa leo

    Wote walioteuliwa wanafahamika kwa sura na kwa tabia. Sababu za kuteuliwa kwao ndo vigumu kuzitambua. Hapa nitajaribu kuzitaja kadri ninavyowafahamu. Tuanze na Stergomena Tax Huyu ni mtu mwenye elimu nzuri, mwanamke ambaye ktk wengi walioko baraza, hatuna wanawake wenye uwezo. Ana matatizo yake...
  2. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mawasiliano wa Rivers Utd ashambuliwa Dar, wachezaji watano waliokutwa na corona waahidi kisasi

    Yes msemaji wao alipigwa na kitu kisichojulikana na wachezaji wao watano wa kikosi cha kwanza walikutwa na corona masaa mawili kabla ya mechi ingawa siku tatu zilizopita walipimwa mara mbili na kukutwa NEGATIVE. WAPOPO wameahidi REVENGE ya kutisha huko river state kwamba utopolo players kumi...
  3. JamiiForums Tanzania Pangua ya Baraza la Mawaziri yanukia

    Uteuzi wa Dk Stergomena Tax kuwa mbunge, unaibua hisia kama ni mwanzo wa Rais Samia Suluhu Hassan kupangua Baraza la Mawaziri. Dk Stergomena, mwanamke mwenye heshima kubwa kwenye uga wa kidiplomasia, anaingia bungeni kipindi ambacho Taifa halina Waziri wa Ulinzi kwa zaidi ya mwezi mmoja sasa...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Aliyoyasema Msemaji Mkuu wa Serikali kwenye Mkutano wake na Wanahabari leo

    YALIYOJIRI WAKATI MKURUGENZI WA IDARA YA HABARI – MAELEZO NA MSEMAJI MKUU WA SERIKALI, GERSON MSIGWA AKITOA TAARIFA YA WIKI KUHUSU MASUALA MBALIMBALI YA UTENDAJI WA SERIKALI LEO SEPTEMBA 12, 2021 DODOMA. # Kuna baadhi ya maeneo yamepata changamoto ya kukatika kwa umeme, ni kwa sababu ya kazi...
  5. JamiiForums Tanzania Fikra Pevu: Umewahi kumpima January Makamba katika Nafasi ya Uwaziri Mkuu?

    Si kila lisemwalo lazima liwe ila kila liwalo lazima lilisemwa! Unamfikiria vipi mtu senior kama Makamba kupata nafasi ya Uwaziri Mkuu? Sifa zake kuu ni zipi? Umahiri na udhaifu wake kwa Nafasi hiyo ni upi? Keep in mind ni uzi tu wa kumfikiria JM katika nafasi hiyo na ikitokea lolote...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Mbona Waziri Mkuu kaja na hii kauli?

    Najiuliza mini chanzo cha matamshi haya ya PM?
  7. JamiiForums Tanzania Nasikia Mkuu wa Majeshi huku Venezuela ameshapita umri wa kustaafu lakini bado yupo ofisini

    Hivi inakujae Mkuu wa Majeshi ana miaka 64 na bado yupo ofisini analitumikia Taifa ilhali muda wa kustaafu kisheri ni miaka 60. Hayo ndio mambo ya huku Venezuela, kweli tembea ujionee!! Sijui atastaafu lini maana nasikia Rais wa huku Venezuela ambaye ni mpya madarakani kaamua kuendelea naye...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa Shinyanga Dr. Sengati Unahujumiwa na Mwenyekiti wa Bodi ya SHIRECU (1984)

    Mh. Mkuu wa Mkoa Shinyanga Dr. Sengati juhudi zako zakuinusulu shule ya BULUBA SEKONDARY zinahujumiwa na Mwenyekiti wa Bodi ya SHIRECU (1984) Bwana KWIYOLECHA NKILIJIWA Tarehe 19.08. 2021 Mh. Mkuu wa Mkoa ulifika Shuleni BULUBA SEKONDARY ukawasikiliza wafanyakazi wote na wakakueleza matatizo yao...
  9. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Quebec na alama ya Kimasoni

    Wiki hii iliyopita waziri mkuu wa jimbo la Quebec la kanada alifanya press conference kuzungumzia masuala ya ugonjwa huu. Alionekana akitoa ishara ya kimasoni kabla ya mkutano kuanza. Nini maana yake? Hapa chini anaonekana amefumba jicho moja. Je, ana chongo? Anaumwa jicho? Hapana. Hiyo ni...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Msemaji Mkuu wa Serikali na Morning Trumpet asubuhi hii

    Kuanzia saa 2 asubuhi hii ya leo Ijumaa Septemba 10, 2021, Msemaji Mkuu wa Serikali Ndugu Gerson Msigwa atazungumza kwenye kipindi cha Morning Trumpet cha UTV pale Azam Tv. Usikose kufuatilia.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Nampongeza Rais Samia kwa kukubali kuwa Mkuu wa Machifu Tanzania

    Baba wa taifa mwalimu Julius Kambalage Nyerere yeye baada ya kupata uhuru alifuta uchifu hapa Tanganyika na Zanzibar lakini leo mama anarudisa historia ya utawala wa kiasili wa babu zetu. Chifudom na kingdom ndiyo walikuwa viongozi wa siasa hapa Tanganyika na Afrika kwa tendo hili mimi nampa...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa CCM akutana na Balozi wa Angola nchini

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Daniel Chongolo amefanya mazungumzo na Balozi wa Angola nchini Tanzania Mhe. Sandro de Oliveira Mazungumzo hayo yamefanyika leo tarehe 09 Septemba, 2021 Makao Makuu ya CCM Dodoma, ambapo Balozi aliambatana na mwakilishi wa Chama Tawala cha Angola...
  13. JamiiForums Tanzania Majaliwa: Anzeni kutoa huduma kupitia vituo vya huduma pamoja

    WAZIRI MKUU MHE. KASSIM MAJALIWA: ANZENI KUTOA HUDUMA KUPITIA VITUO VYA HUDUMA PAMOJA WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameziagiza taasisi za Serikali ambazo haziajaanza kutoa huduma kupitia vituo vya huduma pamoja vya Shirika la Posta Tanzania zijipange na zihakikishe zinaanza kutoa huduma katika...
  14. JamiiForums Tanzania Cheo kimoja kati ya Waziri Mkuu au Makamu wa Rais kifutwe

    Habari wandugu. Ukifuatilia nchi nyingi utaona kuwa zina mmoja, Waziri Mkuu au Makamu wa Rais na si wote. Na nchi nyingi zenye mawaziri wakuu ni zile za kifalme, wakati Jamhuri nyingi zina Makamu wa Rais. Na zingine zikiongozwa na waziri mkuu pekee, Rais akiwa ni ceremonial tu. Na hata...
  15. JamiiForums Tanzania Aliyoyazungumza msemaji mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa wakati akizungumza na wanahabari leo jumamosi septemba 04, 2021

    ALIYOYAZUNGUMZA MSEMAJI MKUU WA SERIKALI NDUGU GERSON MSIGWA WAKATI AKIZUNGUMZA NA WANAHABARI LEO JUMAMOSI SEPTEMBA 04, 2021. 1. BEI YA MAFUTA. Palitokea taarifa mbili, EWURA walitoa taarifa ya kupanda kwa bei ya mafuta na baadae kusitisha bei hizo. Ufafanuzi wa Serikali ni kwamba baada ya bei...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Msemaji mkuu wa Serikali kuzungumza na Wanahabari

    Leo Jumamosi Septemba 04, 2021 Msemaji Mkuu wa Serikali Mhe Gerson Msigwa atazungumza na Wanahabari na kutoa taarifa ya wiki kwa Watanzania kupitia vyombo vya habari kuanzia saa 5 asubuhi. Wananchi watapata fursa pia ya kuuliza maswali kwa kupiga simu kupitia Simu no: 0733111111 Usikose...
  17. JamiiForums Tanzania Bavicha kushiriki Kampeni ya usafi iliyoandaliwa na Mkuu wa Mkoa wa Mara tarehe 4/9/2021

    Baada ya kusikia Bavicha wanafanya kongamano la Katiba mpya mkoani Mara , Mkuu wa Mkoa huo ameleta siasa za kishamba za kutangaza kuwa kesho ni siku ya usafi mkoani humo , na kwamba usafi huo utafanywa na vyombo vya ulinzi na usalama . Hata hivyo Bavicha imetangaza kuunga mkono juhudi za usafi...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Kassim Majaliwa: Serikali imetoaTsh. bilioni 15 kwa Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) kununua mahindi toka kwa wakulima

    Kupitia kwa WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali imeshatoa sh. bilioni 15 kwa Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) ili kununua mahindi kutoka kwa wakulima. “Uzalishaji wa mahindi ni mkubwa lakini na sisi pia tumeimarisha hifadhi yetu ya Taifa ya chakula. NFRA tumeipa fedha za...
  19. U

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa chuo DIT unatambua huu unyanyasaji?

    Pamekuwepo kilio cha mda mrefu sana ambacho hakijawahi tafutiwa ufumbuzi juu ya waalimu wa part-time kunyanyaswa kwenye malipo na si mara moja au mbili malamalamiko yalisharipotiwa. Tunasema ni manyanyaso kwa sababu kila semester yanajirudia. Licha ya kujaza claim kila mwezi lakini bado malipo...
  20. JamiiForums Tanzania Huyu ndio Askofu Gwajima eti Stocholm ni mji mkuu wa Denmark! Hayo mengine hachapii kweli?

    Askofu Gwajima mwenye 'upako wa kutosha' aka 'Jasusi wa mbinguni' anawaambia waamini wake kuwa Stocholm ni mji mkuu wa Denmark! Mimi nijuwavyo, Stocholm ni mji mkuu wa Sweden, halafu Copenhagen ndio mji mkuu wa Denmark.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…