mkuu

Bwana Mkuu was Sultan of Pate, Kenya, 1688 to 1713. At the time Pate dominated Lamu. Bwana Mkuu set up residency at Lamu, complete with a Lamu lady as one of his wives and a private mosque.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Bashungwa acha kumdanganya mkuu wa nchi, umeona deamenor yake. Kanda ya ziwa wana kitu moyoni

    Nimekucheki unaongea pumba mbele ya mkuu wa nchi. Wewe ni unajifanya hujui kusema kweli? Kwa nini usikae kimya. Unaona kabisa deamenor ya mkuu wa kaya hapo Bukoba hainyonyeshi kuwa anakubalika kanda ya ziwa alafu unaweka uongo wa kumpamba.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Wakuu wa wilaya kujazia mafuta bodaboda ili wakampokee mkuu wa nchi ni kumhadaa kuwa anakubalika wakati si kweli

    Hii ni janja au akili mbovu? Yaani mnawapa boda boda lita tatu za mafuta kila anapopita rais Samia na kuwaambia boda wabebe raia ili kuonekana kuna nyomi linalomkubali mama? Ukweli ni kuwa hii ni hadaa ya kufa mtu. Boda boda wanajipatia mafuya ya bure tu. Hii imetokea kila mahala. Msilete...
  3. JamiiForums Tanzania Zoezi la 'Beacons' Loliondo lamuibua Mkuu wa Mkoa John Mongella

  4. M

    JamiiForums Tanzania Mapokezi ya Rais Samia Kanda ya Ziwa yameanza kutoa picha namna uchaguzi 2025 utakavyokuwa

    Nimeona kwa macho yangu Bwanga amepokelewa na watoto wa shule, wanaCCM kiduchu. Kuna hasira ya kuwa sasa amefeli kudhibiti ugumu wa maisha kwa wananchi wa kawaida. Kuna kisasi kitachomuandama kwenye uchaguzi mkuu wa 2025.
  5. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Kenya: Mtandao wa Tiktok washutumiwa kwa uchochezi kuelekea Uchaguzi Mkuu

    Katika utafiti uliofanywa na Odanga Madung, mtafiti kutoka Taasisi ya Mozilla, ulibaini kuwa watumiaji wa TikTok nchini Kenya wanaonyeshwa video ambazo ni za matusi, zinazochochea vurugu au habari za uwongo za kisiasa Inaelezwa kuwa zaidi ya video 130 zilizohusishwa na akaunti 33 zilitazamwa...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma azindua tamasha la majimaji selebuka 2022

    Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Mh Balozi Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge, ameagiza ushiriki wa wilaya na halmashauri zote za Mkoa Wa Ruvuma kwenye tamasha la Majimaji Selebuka litakalofanyika kuanzia tarehe 23 hadi 30 July 2022 mjini Songea. Tamasha hili limekua jukwaa kuu la biashara, kutangaza...
  7. JamiiForums Tanzania Antony Mtaka Mkuu wa Mkoa wa Dodoma na ya Nebukadneza Mfalme wa Babel

    Jana nilifatilia kongamano la usalama la mkuu wa mkoa wa Dodoma maeneo ya s/m kisasa, mkutano huu ulikuwa mbashara TBC TAIFA, kilichoniskitisha ni kupigwa marufuku kwa mapambio ya kumsifu Mungu wakati wa mikesha usiku, nimeskitika Sana , niseme huo ni ushetani, Mungu wetu hana mipaka katika...
  8. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Uingereza Boris Johnson matatani, kupigiwa kura ya kutokuwa na imani

    Leo jioni wabunge wa chama cha wahafidhina watapiga kura ya kutokuwa na imani na kiongozi wa chama hicho na waziri mkuu bwana Boris Johnson. Hatua hiyo yafuatia barua za wabunge wa chama hicho kwa kamati maalum iitwayo 1922 committee ambazo zilipaswa kufikia asilimia 15 yaani sawa na barua 54...
  9. JamiiForums Tanzania Dodoma: Rais Samia Afungua Mkutano wa Tisa wa Chama cha Makatibu Mahsusi (TAPSEA). Ahimiza Utunzaji Siri za Serikali, Maslahi na Fursa Kuzingatiwa

    Rais Samia akifungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Makatibu Mahsusi Jijini Dodoma. ENG. ZENA AHMED SAID, KATIBU MKUU KIONGOZI – ZANZIBAR Tunatambua umuhimu wa Makatibu Mahsusi, kwakweli wanafanya kazi za viongozi wao kuwa rahisi kwa jinsi wanavyowasaidia kazi. Sasa, ili waweze kufanya...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Vyama vya upinzani vimekufa, vimelala au vinasubiri Uchaguzi Mkuu?

    Vyama vya upinzani vimekufa au vimelala au vinasubiri uchaguzi mkuu utangazwe? Ndio wazuke na kudai tume huru na Katiba mpya, ile kasi imeenda wapi? Mwisho wa siku mtaambiwa siku hazitoshi kwani uchaguzi unakaribia. Tunahitaji muamko sio mgawanyiko katika madai husika ya Tume huru ya uchaguzi...
  11. JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu Wizara ya Afya ataka Mganga Mkuu Wilaya ya Kigoma aondolewe kwa kutokuwa muwajibikaji

    Mganga Mkuu wa Wilaya ya Kigoma amelalamikiwa kushindwa kutekeleza maagizo ya kuboresha huduma ya afya na kukosa uwajibikaji pamoja na kuonesha utovu wa nidhamu Hayo yamesemwa na Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Profesa Abel Makubi akiwa katika ziara Mkoani Kigoma ambapo pia inadaiwa mganga huyo...
  12. JamiiForums Tanzania Rais, Idara ya Afya OR-TAMISEMI ihamishie Wizara ya Afya chini ya Mganga Mkuu wa Serikali ili kuongeza Uwajibikaji, utakuja nishukuru baadae

    Lengo la Serikali kufanya ugatuaji wa Madaraka lilikuwa bora sana na kila mtu analipongeza. Kwa sasa mambo yanavyokwenda SEKTA ya Afya ni kama kuna Wizara Mbili tofauti za Afya, yaani WIZARA MAMA YA AFYA (MOH) na WIZARA NDOGO YA AFYA (Idara ya Afya OR-TAMISEMI). Ukienda Halmashauri na Mikoani...
  13. JamiiForums Tanzania Wanasema Hayati Magufuli Alikuwa Anakubalika sana: Kwanini basi aliiba Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2019 na Uchaguzi Mkuu 2020?

    Watetezi wa legacy ya Magufuli wanasema kuwa Jiwe Alikuwa anakubalika sana na "Wanyonge" kuliko Rais Samia aliyekumbatia matajiri. Swali; Kama alikuwa anakubalika kwa nini aliiba Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Vitongoji wa 2019 na Uchaguzi Mkuu wa 2020? Kama alikuwa anakubalika kwannini...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Waziri Mkuu kuhusu Sensa ni vyema ingefanyiwa kazi

    Nakumbuka kuna siku Waziri mkuu alisema wazi kwamba vijana ambao hawana ajira ndio wapewe kipaumbele katika kupata ajira za Sensa Kwasasa ukipitia mitandaoni utaona kila mtu ni sawa na muamba ngoma ambae huvutia kamba upande wake . Kuna watumishi wa umma ambao wanajiona wao ni bora sana kiasi...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa China asisitiza utekelezaji wa sera za kutuliza uchumi

    Waziri mkuu wa China Bw. Li Keqiang jana alisisitiza umuhimu wa kutekeleza sera za kutuliza uchumi na kuunga mkono masoko, ajira na maisha ya watu. Bw. Li Keqiang aliyasema hayo kwenye mkutano wa baraza la serikali la China, na kuhimiza juhudi za kuhakikisha uchumi wa taifa unaendeshwa kwa...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa UNICEF ataka kuchukuliwa hatua za kuwalinda watoto baada ya shambulio la risasi katika shule ya Texas Marekani

    Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Kuwahudumia Watoto la Umoja wa Mataifa (UNICEF) Bi. Catherine Russell amehoji kuwa ni watoto wangapi wanapaswa kufa kabla ya viongozi kuchukua hatua ya kuwaweka salama watoto pamoja na shule. Akitolea mfano wa vifo vilivyotokea katika shambulizi la risasi...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Hongera sana kwa Waziri Mkuu wa India kwa kudumisha na kujivunia utamaduni wa India katika mavazi

    Kwa kweli huyu waziri mkuu wa India anafurahisha sana!! Anajivunia uvaaji wa kihindi kwa kujiamini kabisa!! Waarabu pia nawapongeza sana na wanigeria!! Anaitangaza nchi yake sawasawa!! Ana msimamo, ndio maana hawezi kuyumbishwa propaganda za nchi za magharibi!!
  18. JamiiForums Tanzania Gambo kumshutumu Katibu Mkuu UVCCM haijakaa sawa

    Mbunge wa Mbeleko aliyepita katika uchaguzi mkuu wa 2020 bwana Mrisho Gambo amemtuhumu katibu mkuu UVCCM taifa bwana Kenani Kihongosi kwamba siku ya wanawake aliingiziwa kiasi cha milioni mbili kwenye account yake pesa zilizotafsiriwa kuwa rushwa. Mbunge huyo aliyefeli kabla ya muda wake...
  19. JamiiForums Tanzania Bingwa Wa msimu huu anapata kiasi Gani Kutoka Mdhamini mkuu Wa Ligi ya NBC?

    Wakuu Habari ya Jumapili. . Naomba Kujua kwamba ni Kiasi Gani Bingwa Wa Msimu Huu atakipata Kutoka Kwa Mdhamini Mkuu Wa Ligi. . Nimeamgalia Hivi orodha ya fedha atakayoipta Yanga kama Atakuwa Bingwa Wa Msimu Huu sioni fedha atakayoipta Kutoka NBC.
  20. JamiiForums Tanzania Ni mfarakano gani uliopo kati ya CHADEMA na Serikali mpaka Rais aitishe Maridhiano?

    Tunasikia tu maridhiano lakini hatuambiwi juu ya mfarakano uliopo? Huyu mwanasheria mkuu wa Serikali anahusika vipi?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…