mkuu

Bwana Mkuu was Sultan of Pate, Kenya, 1688 to 1713. At the time Pate dominated Lamu. Bwana Mkuu set up residency at Lamu, complete with a Lamu lady as one of his wives and a private mosque.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Tunisia: Mkuu wa Kamati ya Mapendekezo ya Katiba Mpya alaani Rasimu iliyochapishwa na Rais Kais Saed

    Sadok Belaid, Mtaalamu wa Katiba na Sheria na aliyekuwa Msimamizi wa Uundwaji wa Katiba mpya nchini humo amesema waraka wa mwisho wa Rasimu ya Katiba uliochapishwa na Kais Saied wiki iliyopita ni hatari Amesema kuwa baadhi ya vifungu vinaweza kufungua njia kwa utawala wa kidikteta na rasimu ya...
  2. JamiiForums Tanzania Kenani Kihongosi awasihi vijana kumuunga mkono Rais Samia Suluhu Hassan

    KENANI KIHONGOSI AWASIHI VIJANA KUMUUNA MKONO MHE RAIS SAMIA SULUHU HASSAN UVCCM HQ JULAI 03, 2022 Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM Ndugu Kenani Kihongosi amewataka Vijana kumuunga mkono Mhe Rais Samia Suluhu Hassan. Ameyasema hayo alipokua anahutubia katika Mahafali ya UVCCM Seneti ya...
  3. JamiiForums Tanzania Sheikh Mkuu amuombea dua Waziri Mkuu aoe mke wa pili

    Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum amemuombea dua Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa aoe mke wa pili ilia pate utulivu zaidi katika mizunguko yake. Ameyasema hayo wakati Waziri Mkuu alipokuwa mgeni rasmi katika kilele cha Maadhimisho ya Kitaifa ya Siku ya Kupiga Vita Dawa za...
  4. JamiiForums Tanzania Naombeni Dawa ya Kuisahau hii Kauli inayokataa kabisa kutoka Ubongoni mwangu ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa

    'Rais na Amiri Jeshi Mkuu Dk. John Pombe Joseph Magufuli yuko mzima wa Afya anachapa kabisa Kazi na nimetoka Kuzungumza nae'', Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Kassim.
  5. JamiiForums Tanzania Rais Samia amuapisha Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jacob John Mkunda na Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Ulinzi

    RAIS SAMIA KUMPANGIA MABEYO MAJUKUMU MAPYA Rais Samia Suluhu Hassan ameahidi kumpangia majukumu mengine aliyekuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (CDF), Venance Mabeyo ambaye amestaafu kulitumikia Jeshi. Amesema hayo baada ya kumuapisha Jacob John Mkunda kuwa CDF mpya, Ikulu Dar es Salaam, leo Juni...
  6. JamiiForums Tanzania Hotuba ya Waziri Mkuu Bunge la 12 Mkutano wa 7 Saba, Kikao cha 55, Juni 30, 2022

    Serikali yapiga marufuku michango shuleni Serikali imepiga marufu michango kiholela katika shule za umma katika ngazi ya Msingi na Sekondari baada ya kuripotiwa kuwepo kwa michango mingi licha ya sera ya elimu bila malipo. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema hayo Bungeni leo Juni 30, 2022...
  7. F

    JamiiForums Tanzania Katibu mkuu CWT taifa ahukumiwa

    Katibu mkuu wa Chama Cha walimu Tanzania CWT amekutwa na hatia hivyo kuhukumiwa yeye na mwenzake muweka hazina kifungo Cha miezi sita Kisha kurejesha fedha hizo baada ya kifungo. Ndugu zangu tusitumie vibaya fedha za walimu tunapopewa nafasi.
  8. W

    JamiiForums Tanzania Loliondo, Ngorongoro, Hayaruhusiwi kuendelezwa | Serikali na wananchi walikubaliana - Wakili Mkuu wa Serikali Gabriel Malata

  9. W

    JamiiForums Tanzania Wakili Mkuu Gabriel Malata wa Serikali amjibu Prof. Issa Shivji - Ardhi ya Umma

    Rais Ndiye Mkuu wa nchi, Nchi ni Ardhi na vitu vyote vilivyomo, Hakuna nchi ambayo haina Ardhi. Ibara ya 1 inazungumzia Tanzania ni nchi ya Jamhuri ya muungano, Ibara ya Pili inaelezea Eneo la Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, Rasilimali na Mali asili zote zimewekwa chini ya Mkuu wa Nchi. Ardhi...
  10. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa zamani wa Tunisia ameachiwa huru baada ya kugoma kula

    Waziri Mkuu wa zamani wa Tunisia, Hamadi Jebali aliachiliwa huru ikiwa ni siku ya nne tangu alipokamatwa kwa tuhuma za utakatishaji fedha Pamoja na hatua hiyo bado Jaji amesema Jebali ataendelea kuchunguza Wakili wa mwanasiasa huyo, Samir Dilou amesema mteja wake atalazimika kufika Mahakamani...
  11. JamiiForums Tanzania Waziri Mkenda na RC Kagera, kwanini watoto wanarudishwa majumbani kwa mzazi kushindwa kulipa mchango? Je, elimu bure ni kuhadaa wananchi?

    Leo limetokea tukio la kustaajaabisha sana hapa katika shule ya msingi Tumaini iliyopo manispaa ya Bukoba, watoto wamerudishwa majumbani kwa kuwa wazazi hawajalipa mchango wa Tuition ya jioni. Kinachoumiza ni kumrudisha mtoto asubuhi nyumbani, yaani akose vipindi vya msingi vya asubuhi kisa...
  12. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Majeshi wa Uingerleza ameyataka Majeshi yake kujiandaa kuingia vitani ndani kwenye ardhi ya Urusi

    Mkuu mpya wa majeshi ya Uingeleza ameyataka majeshi yake kujiandaa kuingia vitani katika ardhi ya Urusi Ametoa ujumbe huo tarehe 16 Juni kwa wanajeshi wa vyeo na ngazi zote na kusema uvamizi wa Urusi kwa Ukrain unaashiria kuwa "kunahaja ya kuilinda UK na kuwa tayari kupigana na kushinda vita...
  13. JamiiForums Tanzania Urusi kaanza mashambulizi ndani ya mji Mkuu wa Ukraine, Kyiv

    Russia has launched fresh attacks on the Ukrainian capital Kyiv for the first time in weeks, as 14 missiles targeted residential buildings. Emergency services were seen battling flames and rescuing civilians from the blasted out windows of burning apartments after large bangs shook the city at...
  14. JamiiForums Tanzania Mkuu wa nchi yoyote anayeingilia majukumu ya Bunge kiasi cha kushawishi kiongozi wa Bunge ag'olewe, lazima ana nia ovu. Na haya ndio matokeo yake

    Ili taifa lolote listawi vyema lazima mihimili mitatu ya dola iwe huru. Lazima Bunge liweze kuisimamia serikali. Mahakama iwe huru kutafasiri sheria na kutoa haki. Lakini ukiona mkuu wa nchi anashinikiza nyuma ya pazia kumg'oa spika anayesimamia majukumu yake kwa kuhoji fyongo za serikali...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Inatosha ndugu yangu; Mshukuru Mungu kwa yote, rudisha vitabu kwa Mkuu wa shule, chukua jembe itafute njia ya Nanjilinji ukajilimie ufuta!

    Ulitoka makao makuu yetu ya wilaya kwenda huko mbali kisiwani kwa ajili ya kujitolea na umekuwa ukijitolea kuwasaidia watoto hawa eneo hili la kisiwa lenye changamoto ya elimu na linaloogopwa na kukimbiwa na watu kila siku kwa juhudi zote tangu 2018.... Ajira za 2018 zikatoka nawe...
  16. JamiiForums Tanzania Hii Video Clip ninayoiona ya Waziri Mkuu akiwa huko Ngorongoro anashangilia na kuimba pamoja na Wanajeshi wa JKT inamaanisha nini?

    Je, ndiyo 'mnatulazimisha' tuamini kuwa Safari ya 'Watanzania' kuhamia 'Msomera' ilisimamiwa 'Kijeshi' na 'Vipigo' juu au?
  17. JamiiForums Tanzania Siku 365 za Katibu Mkuu UVCCM, Kenani Kihongosi

    SIKU 365 ZA KATIBU MKUU UVCCM NDUGU KENANI KIHONGOSI SIKU 365 ZA UVCCM MIKONONI MWA KENANI KIHONGOSI. Hongera kwa kufikia mwaka mmoja wa huduma na utumishi wako kama Katibu Mkuu wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM). Hakuna wakati mzuri kuliko leo wa kukutathamini,kukupima na Kukutakia...
  18. JamiiForums Tanzania Kenani Kihongosi afungua kampeni ya uhamasishaji wananchi hususani vijana kwa ajili ya kujiandaa na ushiriki wa Sensa

    KATIBU MKUU UVCCM NDUGU KENANI KIHONGOSI AMEFUNGUA RASMI KAMPENI YA UHAMASISHAJI SENSA YA WATU NA MAKAZI VIJANA WATAKIWA KUWA 'MACHAMPION' WA SENSA KATIBU MKUU wa Jumuiya ya vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Ndugu Kenani Kihongosi amefungua rasmi kampeni ya uhamasishaji wananchi hususani...
  19. JamiiForums Tanzania Report: Iranian intelligence chief sacked over spate of assassinations

    A court in Iran on Thursday ordered the United States government to pay over $4 billion to the families of Iranian nuclear scientists who have been killed in targeted attacks in recent years, state-run media reported. The largely symbolic ruling underscores the escalating tensions between Iran...
  20. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ziarani Loliondo na Tanga, leo Juni 23, 2022

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, leo Juni 23, 2022 yupo katika ziara ya siku moja katika Mkoa wa Arusha na Tanga ambapo atashuhudia zoezi la awamu ya Pili ya wananchi takribani 117 kutoka kaya 27 wanaohama kwa hiari yao wenyewe kutoka katika eneo la hifadhi ya Ngorongoro kuelekea Kijiji cha Msomera...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…