mkutano mkuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    Uchambuzi: Nini Maana ya Kamati Kuu, Halmashauri Kuu, Sekretarieti, Mkutano Mkuu?

    Haya maneno yamekuwa yakisikika sana midomoni mwa Wanasiasa wakubwa na wadogo. Kuna mahali watu wanayachanganya wengine kwa kujua na kutokujua. Wadau wa siasa za Tanzani tujitokeze hapa angalau kwa kundi Mhhimu la.Wanajamii forums na wasomaji wake tuweze kuelewa mambo haya kwa kiasi cha...
  2. F

    Leo wajumbe wa mkutano mkuu CHADEMA msifanye kosa la kukirudisha chama kwenye siku za uanaharakati

    Lissu hajaweza na hataweza kutoka kwenye hulka yake ya uanaharakati (activism). Hii ni hali ya chini kisiasa au utoto wa kisiasa. CHADEMA chini ya Mbowe kilishavuka hatua hiyo kitambo sana. Lissu ataivuruga CDM kwa mambo mengi ikiwa ni pamoja na kukosa uzoefu na uvumilivu kwa wanachama...
  3. P

    WIMBOMPYA: Hili ni Bonge la Wimbo wa Kuwanadi Lissu na Heche kwa wajumbe wa Mkutano Mkuu, sikiliza hiki kipaji TOT wakasome

    https://youtu.be/mPmjrS_HcYk?si=9ZuRb3PSprgMakCN Wajumbe sikilizeni huu Wimbo kwa makini sana hakika Watanzania wanataka mabadiliko 2025
  4. M

    PreGE2025 Lema amtaka Lissu atoke katika vikao vya Baraza Kuu aende Makao Makuu ya Chama

    Kaka , toka hapo Baraza Kuu. Nenda Makao Makuu ya Chama , kuna malalamiko ya watu wengi wanaweza kukosa vitambulisho ! Mod hii ipo account yake ya twitter katembeeleni. Swali. Kama Lissu anaendeshwa hivi na Lema. Mwenyekiti ataumudu?
  5. Tetesi: Wajumbe mkutano mkuu CHADEMA wapokea bahasha nono, Mbowe mitano tena

    Wasalaam, Kuna taarifa za uhakika kutoka kwa mjumbe mmoja wa kamati kuu kwamba CCM wameingilia kati uchaguzi kwa lengo la kuhakikisha Mbowe anashinda na wajumbe wengi wametumiwa miamala kwa simu zao ili wamchague Mbowe. Inasemekana kutokana na njaa kali ya January hii wajumbe wengi wameamua...
  6. B

    PreGE2025 Kwa rafu nilizoziona za Chama cha Mapinduzi kwenye mkutano mkuu itoshe kusema Lissu ni tishio kwa chama kile hivyo hawezi kushinda uchaguzi

    Utaratibu wa kawaida wa chama kile ni mgombea wa urais ni kujaza fomu ya kuomba apate ridhaa ya kukiwakilisha chama kwa kuzunguka mikoani kutafuta wadhamini ili athibitishwe kuwa mgombea wa urais kwa tiketi ya chama hicho. Lakini hilo suala jana limetupwa kampuni na hatimaye wajumbe...
  7. P

    PWANI: Hatimaye wajumbe wa Mkutano Mkuu CHADEMA wamkataa rasmi Mbowe wasema bila Lissu CHADEMA ni kama CUF ya Lipumba

    https://www.youtube.com/live/FqER78na70U?si=fdkhYBIEbHCPvXlP Huenda kweli safari ya Mbowe imewadia wimbi la mabadiliko ni kubwa sana ndani ya CHADEMA lazima tusikilize sauti za watu. Ukipewa rushwa kula ila kamwe usiuuze chama kwa vipande vya pesa.
  8. Masahihisho: Historia ya African Association Kama Ilivyoelezwa Katika Mkutano Mkuu wa CCM Dodoma

    https://youtu.be/X8aFsrqOgUQ?si=_R7PLruw4fYbQTWK Historia ya African Association imekosewa kidogo. African Association inachanganywa na Tanganyika African Association (TAA). African Association ilibadili jina na kuwa Tanganyika African Association (TAA) mwaka wa 1948 kujitofautisha na African...
  9. C

    Walichokifanya CCM Mkutano Mkuu ni uchaguzi, Uteuzi au kuthibitisha Uteuzi? Hivi hiki kilichofanyika

    Hivi hiki kilichofanyika Mkutano mkuu wa ccm Dodoma leo ni uchaguzi , uteuzi au kuthibitisha jina la mteuliwa ? Uchaguzi ni kuchagua mtu au vitu zaidi ya kimoja sasa mtu yupo mmoja hapo unakuwa umechagua nini? Wapiga kura wamepiga kumchagua mzee Wasirsa na nani alikuwa mpinzani wake? Kura za...
  10. Pamoja na kuhangaika kuimbia CHADEMA, Ney wa Mitego hajawahi kualikwa katika mkutano mkuu wa CHADEMA

    Fadhila mfadhili mbuzi. Huyu jamaa angekuwa moja kati ya wasanii mabilionea, kaingizwa chaka akaingia CHADEMA. Yuko karibu kufilisika, na CHADEMA hawamualiki katika mikutano yao walau apate chochote
  11. MKUTANO MKUU MAALUM WA CCM 2025

    #TunazimaZoteTunawashaKijani #TunayeTunatambaNae #HilindioChamaKubwa
  12. Mkutano Mkuu wa CCM mwaka 1997, unamkumbuka nani pichani?

    Hapa ni Dodoma, katika mkutano mkuu wa ccm mwaka 1997. Umemtambua mjumbe gani pichani?
  13. U

    Dkt Samia Aongoza Kikao Maalum cha Kamati Kuu ya CCM Jijini Dodoma

    Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, kinachoketi leo tarehe 17 Januari 2025, Dodoma, ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya Mkutano Mkuu Maalum wa CCM utakaofanyika...
  14. DAR: Mkutano Mkuu wa Jimbo la Ukonga Watangaza kumkataa Mbowe na kumuunga mkono Lissu

    Kuna haja washauri wa Mwenyekiti Mbowe kumshauri upya. ====== Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Jimbo la Ukonga jijini Dar Es Salaam, Gaston Makweta pamoja na Katibu wa Jimbo hilo Robert Nyambuya wametangaza kumuunga mkono Makamu Mwenyekiti Bara wa chama hicho Tundu Lissu katika...
  15. PreGE2025 Dodoma imejaa ikatapika: Kuna mtu kabaki Dar?! CCM yafunika, ni shangwe kila mahali kuelekea mkutano mkuu wa CCM

    Uko Dar? au mikoani? Unafanya nini? Mpaka Bozi Boziana yuko Dodoma! Ni mkutano mkuu wa chama kongwe kuliko vyote Afrika. Ni mkutano ambao unaenda kupanga sera za nchi kwa ajili ya vizazi vingi vijavyo. Baada ya kukaa na wana CHADEMA wenzangu tukitukanana kwa karibu wiki nne, twende kwenye...
  16. Wasanii mbalimbali watua Dodoma kwenye Mkutano Mkuu wa CCM: Hivi, Wanaenda kwa lengo la Maendeleo au Wanatumika kwa Agenda za Kisiasa?

    Wakuu Kama mnavyoona picha hapo chini, Ingawa ni haki yao kushiriki, ni muhimu kujiuliza: Je, wasanii hawa wanapochangia katika majukwaa ya kisiasa wanachangia kwa lengo la kuleta mabadiliko ya Kimaendeleo au Wanatumika kama vifaa vya kuendeleza agenda za kisiasa za CCM? === Wasanii...
  17. S

    Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CHADEMA wanaotarajiwa kumchagua Mwenyekiti wa chama Taifa, ni wenye sifa gani au ni kina nani hasa?

    Habari wadau! Ni vizuri watu wakaelewa ni kina nani hasa kwa mujibu wa katiba ya CHADEMA wana sifa za kushiriki kwenye huo mkutano wenye wajumbe wapatao 1,200(nilivyosikia). Binafsi nafahamu baadhi ya wajumbe ni kama vile wenyeviti na makatibu ngazi ya wilaya, mkoa na kanda pamoja na...
  18. Kuelekea Mkutano Mkuu maalum wa CCM, Dodoma yageuka kuwa kijani tupu

    Hali ya Dodoma ni kama inavyoonekana kwenye picha.
  19. Mkutano mkuu wa Chama Cha Mapinduzi ndio habari ya nchi kwa sasa, na ndio maana kila pande ya Tanzania inausubirikwa hamu mkutano huu

    Mkutano mkuu wa Chama Cha Mapinduzi ndio habari ya nchi kwa sasa, na ndio maana kila pande ya Tanzania inausubirikwa hamu mkutano huu. Kila pande ya Tanzania macho na masikio yao yatakuwa jijini Dodoma, Ukumbi wa mikutano wa Jakaya Kikwete. #kaziiendelee #tunaendeleanamama #MkutanowaCCM2025
  20. Ruvuma: wajumbe wa mkutano mkuu watangaza kumuunga mkono Tundu Lissu, wanakuwa ni mkoa wa 18 kati ya mikoa 31

    https://youtu.be/f1iGQkhTgC8?si=_WO3Xc6_s9UbYlff Huu Uchaguzi tayari umekwisha, Tundu Lissu ni mshindi kwa zaidi ya 80% huu ndio Ukweli, Kwa idadi ya wajumbe wanaomuunga Mkono Lissu ni wazi atashinda Uchaguzi huu kwa margin kubwa, Mjumbe usipotoshwe njia sahihi ni Tundu Lissu,
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…