1.KUOLEWA KWA MDOGO WETU WA MWISHO.
Kaka yetu kwa sasa ni mzee anakaribia miaka 90 na anaishi nje ya nchi kwa sasa.
Ni mtu ambae sijawahi kuona jinsi alivyo na heshima,adabu,nidhamu,utulivu na utu wa ajabu kabisa.Kila siku namuombea kwa Mola ampe maisha marefu.
Kaka alivyoondoka,mimi tayari...