mkubwa

Bwana Mkubwa is a constituency of the National Assembly of Zambia. It covers Bwana Mkubwa, Chichele, Itawa/Ndeke, Kantolomba, Kavu/Kan'gonga, Mushili, Munkulungwe and Twashuka/Kaloko in the Ndola District of Copperbelt Province.

View More On Wikipedia.org
  1. Uwezo mkubwa sana wa Lucid dream

    Hizo ndoto sina sababu ya kukuelezea sana , kuzihusu kwa sababu zimeongolewa mno jf na watu kama kina Rakims . Ila binafsi nimaisha yangu ya kila siku, wewe uliza chochote kuhusu lucid dream nipo hapa nitakujibu kwa ufasaha mno🤔
  2. Serikali tazameni ili kuhusu simu za mikopo zina utapeli mkubwa

    Kuna utapeli nahisi umepewa baraka na hupo tanzania umejificha kwenye mikopo ya simu na vifaa vingine. Embu angalia simu ya laki mbili unalipa laki nane. Hii riba benki kuu wana fahamau
  3. O

    CHADEMA inahitaji utulivu na mkakatti wa kidiplomasia ya mazungumzo kuvuka hapa ili kujiandaa kushiriki Maridhiano,mchakato wa Katiba kuelekea 2029/30

    Baada ya Mwenyekiti wa CHADEMA TUNDU LISSU kufungwa miaka minne jela,viongozi wa chama wanahitaji utulivu mkubwa na umakini mkubwa kuvuka hapa.Utlivu utasaidia kutafakari na kufanya mang'amuzi sahihi ya namna gani LISSU anatoka jela,wafuasi,wanachama na viongozi walioko magerezani wanatoka,chama...
  4. M

    Tatizo nini wakuu mchezaji wetu mkubwa akaona awajengee wananchi msikiti na sio mradi wa kiuchumi?

    Mtu umecheza Afrika klabu kubwa ,umeenda ulaya unacheza lakini kweli ukaona uwajengee wananchi msikiti? Kiwanda hata kidogo tu kingetosha kunyanyua maisha ya wananchi kadhaa na kukuza uchumi wa nchi kama wanavyofanya akina Sadio Mane huko kwao Senegal. Samahani kama kutakuwa na mradi wa...
  5. Shirika la Kimataifa la Nishati ya Atomiki (IAEA) limeelezea wasiwasi mkubwa kuhusu kituo cha Nuclear cha Isfahan

    Shirika la Kimataifa la Nishati ya Atomiki (IAEA) limeelezea wasiwasi mkubwa kuhusu Kiwanda cha Kuongeza Mafuta cha Isfahan cha Iran, kilichotangazwa mnamo Juni 2025 lakini hakikukaguliwa kamwe. Kulingana na ripoti ya siri, shirika hilo haliwezi kubaini eneo halisi la kituo hicho, hali ya...
  6. U

    Hivi mwana sheria mkubwa Tundu Lissu kuna kesi yeyote ya maana aliyoshinda mahakamani?

    Wadau hamjamboni nyote? Sitaki matusi au Lugha za hivyo njoo na ushahidi wa kesi aliyoisimamia na kushinda
  7. Video: Uchumi wa Kenya ni mkubwa kwa karibu 57% kuliko Tanzania. Je, ndiyo imara zaidi?

    https://youtu.be/37pkGJHxis0 Kwa makadirio ya IMF ya Oktoba 2026, thamani ya Pato la Taifa kwa bei za sasa ni takribani dola za Marekani bilioni 151.2 kwa Kenya na bilioni 96.2 kwa Tanzania. Kwa mwaka huo huo, uchumi wa Tanzania unakadiriwa kukua kwa asilimia 6.0, dhidi ya asilimia 4.5 kwa...
  8. M

    Leo tuachane na Forbes na kampuni hizi ndo zenye uwekezaji mkubwa Tanzania na nje ya Tanzania

    1. Bakhresa group of companies 2.taifa group of companies 3.oilcom group of companies 4.lake energies group 5.amsons group of companies 6.metl group of companies 7.azania group of companies 8.motisun group of companies 9.mac group of companies 10.murzah group of companies 11.gsm group...
  9. Watanzania wameonyesha ukomavu mkubwa kiakili na kisiasa. Gumzo kubwa ni hukumu ya kionevu aliyopewa Lissu wala sio harusi ya mtoto wa Ruto.

    CCM walivyo hawana akili za kisiasa walidhania watanzania watashobokea harusi ya mtoto wa rais wa Kenya huko Mwanza. Lakini kuanzia jana hadi leo hii watu wapo busy kujadili namna Lissu alivyohukumiwa kwa uonevu Huku hasira kali zikielekezwa kwa rais Samia na genge lake ambalo wananchi...
  10. O

    Msiba Wamkumba Gachagua Tena: Dada Yake Mkubwa Eunice Nyangari Afariki Akiwa na Miaka 77

    Aliyekuwa Naibu Rais wa Kenya, Rigathi Gachagua, ameomboleza kifo cha dada yake mkubwa, Eunice Nyangari Gachagua, aliyefariki Alhamisi, Novemba 5, 2026, akiwa na umri wa miaka 77 katika eneo la Naro Moru, Kaunti ya Nyeri. Katika taarifa ya familia aliyoitoa Ijumaa, Novemba 6, Gachagua alisema...
  11. TCRA inatuambia kuwa Lisu ni mkubwa kiasi hiki?

    Bado sijaelewa
  12. Hadi leo mshahara wa katibu mkuu wa wizara ni mkubwa kuliko wa waziri?

    Baada ya uhuru ilikuwa hivyo. Anaandika hivi Nyerere katika kitabu TANU na raia mwaka 1962. "Nimetaja Mawaziri kama mfano tu. Lakini maneno haya yanawahusu Waafrika wote wenye hali nzuri. Leo Permanent Secretary Mwafrika mshahara wake ni Shs. 4,000/- kwa mwezi. Hatujali Permanent Secretary...
  13. Baada ya kumsikiliza Lema, itoshe kusema kuna uporaji mkubwa wa haki za watu CHADEMA, wanatenda tofauti na maneno yao

    Kwa mliokuja Inbox kutaka maoni yangu kuhusu press conference ya Lema tafadhali someni huu uzi kwa makini. Nitaandika kwa ufupi sana. Kwa ufupi ni kuwa Lema kakivua nguo chama chake na uongozi uliopo sasa. Haya ni mambo kadhaa niliyoona; 1. CHADEMA inahubiri kutaka haki ila inatenda tofauti...
  14. Katika mapambano ya kisiasa, uwepo wa wanaharakati au "radicals" ni msaada mkubwa kwa "moderates"

    Ukiona mtu anadai anataka mabadiliko halafu wakati huo huo anawapinga "radicals" au wanaharakati, huyo mtu ni ama hajui umuhimu wao au ni kibaraka wa upande wa pili. Uwepo wa radicals au wanaharakati unawasaidia moderates hata katika meza ya maridhiano au majadiliano maana upande wa pili utaona...
  15. H

    Muhimu kwetu sote kwa pamoja ni mustakabali wa vijana wetu kutokana na uwezo mkubwa walionao. Afrika inasimama kama bara - Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba

    Muhimu kwetu sote kwa pamoja ni mustakabali wa vijana wetu kutokana na uwezo mkubwa walionao. Afrika inasimama kama bara changa zaidi duniani; hata hivyo, kila mwaka, mamilioni ya vijana wa kike na wa kiume huingia kwenye soko la ajira kutafuta fursa ambazo hazipo, - Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck...
  16. Waafrika/ Ngozi Nyeusi Hatujalaaniwa, Shida Ipo Hapa, Soma Kwa Umakini Mkubwa

    Kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikitafiti kwanini ngozi nyeusi lawama zote tunazopewa/tunazojipa katika kufeli kwenye maswala ya kiuongozi/kiuchumi na kujisimamia. Wengi wanasema tumelaaniwa, wengine wanasema hatupo serious, wengine(wazungu na waarabu) wanasema bado tupo kwenye evolution n.k...
  17. O

    Hali ya Kusikitisha ya Misitu ya Aberdare Yazua Hofu na Mshangao Mkubwa Miongoni mwa Wakenya

    Wakenya wengi wameachwa na mshangao mkubwa baada ya video kuibuka ikionesha hali halisi na ya kusikitisha ya uharibifu wa misitu katika eneo la Aberdare. Picha na video kutoka eneo la tukio zinasambaa kwa kasi mtandaoni, zikionyesha eneo kubwa lililokatwa miti vibaya na kuacha nyufa tupu zenye...
  18. Nani mkubwa kati ya binadamu na malaika?

    Nani mkubwa na wa hadhi ya juu kati ya binadamu na Malaika ? Nani ana maisha mazuri zaidi kati ya binadamu na malaika?
  19. Kwanini Wakatoliki waliamua kumpa Maria umuhimu mkubwa zaidi tofauti na mitume wengine wa Biblia?

    Maria mama wa Yesu na mke wa Joseph ameandikwa katika vitabu vinne tu vya injili story yake ikiunganishwa na ya Yesu Kristo labda na mara moja au mbili tu zaidi katika katika kitabu cha matendo ya mitume. Katika vitabu vingine vyote vya Biblia agano jipya Maria hatajwi kabisa na wala sio...
  20. Nchi ya pili kwa uchumi mkubwa africa inashindwa kupambana na wanajihad wanaojificha vichakani na kuua wananchi wake kila siku. Uafrika ni laana!

    Haya mambo yapo connected huko nigeria na deep state inacheza mchezo wa draft na maisha ya watu huku wakitembelea ma range rover na kuishi nyumba zenye fensi ndefu za ukuta na watoto wao wakiwasomesha nje ya nchi.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…