Bado ninaamini Profesa kwamba unaweza kabisa kugeuza msimamo wako na kurudi kwenye ukweli, kwa sababu malezi ya kikristo yaliyokufikisha hapo, msingi wake ni kweli sio hila..kwa sasa ni km kazi pekee uliyo nayo ni kushughulika na samia scholarship tu..mambo mengine yoote ndani ya wizara yako...