mke wako

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mwanaume uliyepo ndani ya ndoa kama huchezi mechi za nje eti kisa heshima kwa mkeo jitafakari mara mbili

    Kiukweli wanawake waliopo ndani ya ndoa ni tatizo sana. Kiufupi wale wanawake wanao jiuza ni wagumu kuwapata lakini sio wake za watu. Kumpata anae jiuza itakutaka ufanye kazi upate pesa za kwenda kumnunua lkn mke wa mtu unatakiwa kunionesha usijari na usiri tu basi unajilia kitumbua cha watu...
  2. Ni mambo gani muhimu ya kujiandaa baada ya mke wako kujifungua?

    Ndugu zangu najianda kuitwa baba kijacho siku si nyingi sasa nimeanza safari ya kulea ujauzito nimeshatia mimba mtoto wa mtu baada ya miezi tisa nakaribia kuitwa baba hivyo basi naombeni mwongozo mtu mzima majukumu ndo haya. So nisaidie maswala muhimu kipindi kajifungua.
  3. Kwa wale mlio kwenye mahusiano ya muda mrefu mnafanya nini kuhuisha penzi pale linapokuwa limepoa?

    Habari za wakati huu wanajamvi pendwa la MMU. Ni siku ya tarehe 05/05/2021 kwa wale ambao siku ya jana 04/05/2021 ilikuwa siku ndefu poleni na wale ilikuwa kinyume chake hongera kwenu. Acha niende kwenye hoja moja kwa moja. Nimekuwa kwenye mahusiano na binti wa mtu kwa mwaka na kitu sasa...
  4. Mke wangu kukuta meseji ya mchepuko nifanye nini kumtuliza?

    Mke wangu kakuta sms za mgegedo na mchepuko kwenye simu yangu. Hapa naona vita ya tatu ya dunia inaanza. Nipeni tips huwa mnafanyaje kusolve case kama hizi? pia soma: Kwanini mke wako akikuta meseji ya mchepuko ukiomba msamaha na kufanya nae mapenzi anakusamehe...
  5. Mliooa bikra tunaomba ushahidi kuwa mke wako kweli ametulia siku zote hajawahi kuliwa? Je, una amani?

    Tuambie ikiwa wewe umeoa bikra je kweli bado mna amani ametulia miaka yote maana yake wanawake na shetani ni kama mahusiano ya chatu na mbwa. Mimi kuna kahaba nataka kuoa sijali bikra hizo nitapokamilisha taratibu nitaomba michango yenu karibu mezani. ==== Mchnago wa Mdau
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…