mjadala

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Je, Utaratibu wa NSSF wa Death Grant ni wa Haki? Na je, una mazuri na mapungufU gani? Mjadala Wazi

    Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) umeweka utaratibu wa kutoa "Death Grant" kwa warithi wa wastaafu waliofariki. Kulingana na sheria iliyopo, malipo haya yanatolewa kwa mke/mume wa marehemu pamoja na watoto walio chini ya umri wa miaka 18 au wale walio chini ya miaka 21 wakiwa kwenye...
  2. Tumalize mjadala: Sergio Busquets Vs Rodri

    Tumalize utata, kiungo cha chini, Sergio Busquets Vs Rodri unaenda na nani kwenye timu yako?
  3. Mjadala : Je wanufaika wa NHIF tulipie pesa ya kumuona Daktari, NHIF igharamie huduma Nyingine zote kwa ubora?

    Habari JF , Kiuhalisia matibabu ni gharama sana na tukisema pesa tunazochangia zigharamie kila kitu Changamoto zinazojitokeza katika matibabu tunayopata hazita kwisha . Kuna kitu kinaitwa pesa ya kumuona Daktari au consultation fee , hii pesa inayolipwa kwa ajili ya kumuona Daktari haijalishi...
  4. C

    Mjadala kuhusu programmers wa Kibongo na programming kiujumla

    Wakuu kwema Mimi kama software developer nimeona mjadala mkubwa huku kuhusu programmer wa kibongo kuwa bongo hakuna ma programmer hichi sio kitu cha kweli bana wapo tena. Wengi ni wewe tuu hujapata mtu sahihi Tuanzie hapa anasema programmer wengi wa kibongo wanachukua template wana edit yes...
  5. Mjadala kuhusu handsome boyz na sura personal

    Kuna mada niliipitia hapa jf siku za hivi karibuni. Pamoja na maelezo mengi ila hoja mahususi ilikua inahusu favour ambayo wanaipata handsome boyz katika masuala mbalimbali. Wenye sura personal walipandisha jazba sana na mlengo wa hoja zao ulikua ni kufungamanisha uhandsome na ushoga na...
  6. Arusha: Mjadala wa Wazi Juu ya Mabadiliko ya Katiba ya Tanzania ulioendeshwa na TLS

    Arusha: Mjadala wa Wazi Juu ya Mabadiliko ya Katiba ya Tanzania Wakili Gloria Baltazari, mwakilishi wa Mkurugenzi Mtendaji wa TLS, Bi. Mariam Othman akiwakaribisha na kutoa neno kwa washiriki wa Mjadala wa Wazi Juu ya Mabadiliko ya Katiba ya Tanzania unaofanyika jijini DArusha leo tarehe...
  7. TLS waendesha Mjadala wa Wazi Mchakato wa Upatikanaji wa Katiba Mpya Tanzania

    Fatilia mjadala wa wazi wa wadau uliyo andaliwa na chama cha wanasheria Tanzania bara (TLS) kuhusu mchakato wa upatikanaji wa katiba mpya Tanzania. Je, ni lini katiba mpya itapatikana Tanzania?. RECORED🎥 (01/06/2024)👇 https://www.youtube.com/live/1mqjtzRdvN4?si=r9LuZeIFoyzjlD-d RECORDED 🎥...
  8. Mjadala East Africa Radio: Diamond ni mkubwa YouTube kuliko Jay Z

    Mjadala ambao umechukua hisia za mashabiki katika viunga mbalimbali Africa ya mashariki ni kuhusu hoja iliyoletwa na watangazaji vijana machachari wa East Africa radio kuwa Diamond Platinumz ni mkubwa kuliko Jay Z kwenye mtandao wa YouTube. Mjadal huo uliendeshwa na vijana wenye vipaji na...
  9. Tambua kuna watu basi tu wana bahati nzuri na wengine wana bahati mbaya

    Some people are just lucky sio kwamba eti wametoka kwenye familia tajiri au yenye kusapotiana au nchi iliondelea au labda ni juhudi zao, hapana au ni wezo mkubwa wa kiakili, ni basi tu kila wanacho fanya hawakitolei machozi, jasho na damu kama wewe. Wanaokuambia eti Hardwork beats Luck ni njia...
  10. U

    Video: Mjadala wa Muungano unaendelea. Leo ni zamu ya Askofu Zachary Kakobe wa makanisa ya FGBF kutia neno. Tanganyika lazima irudi, ni urithi wetu

    Tutazuia hadi lini? Ni makala fupi kwa njia ya video kama inavyoletwa kwako na Mwandishi na Mwahabari nguli Ansbert Ngurumo aishiye uhamishoni Uingereza.. Ni kuhusu muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Safari hii amemwibua na kumleta kwetu Askofu Zachary Kakobe wa makanisa ya Full Gospel Bible...
  11. J

    KUNRADHI: Kuhairishwa kwa Mjadala XSpaces

    Habari Mwana JF, JamiiForums inautaarifu Umma kuwa kutokana na tatizo la kukosekana kwa Intaneti, Mjadala uliopangwa kufanyika leo Mei 13, 2024 kupitia X Spaces umeahirishwa hadi wakati mwingine itakapotangazwa tena. Tunaomba Radhi kwa usumbufu uliojitokeza.
  12. Hivi huu mjadala wa kishamba wa kuwatoa maana single mother ni hoja Tanzania tu au na mataifa mengine?

    Unaweza ukapoteza single mother wa kukusaidia maishani kwa sababu ya uchoyo na ubinafsi na chuki na kiburi.huijui kesho yako wape watu nafasi waishi.unaweza kukuta huyo unayemuona hajazaa amewahi kutoa mimba mbili na ashafanya mapenzi zaidi ya mara 500 Ila single mothers ukakuta amefanywa mara...
  13. Tabasamu achangia mjadala bajeti Wizara ya Uchukuzi kuhusu bandari kuwa rafiki kufanya biashara na Congo

    Mbunge wa Jimbo la Sengerema Mhe. Tabasamu Hamis, akichangia mjadala wa bajeti ya Wizara ya Uchukuzi Mei 6, 2024 Bungeni Dodoma. " Uwanja wa Dodoma ni mdogo lakini haujaufanya kuwa bize kwa ajiri ya biashara" Alisema Tabasamu. Pia alizingumizia swala zima ya safari kufika mikoa mingine kuja...
  14. Mjadala: Mwenye Honorary Doctorate ni Doctor au Hapana?

    Kuna mjadala mkali umeibuka South Africa kuhusu honorary doctorate degrees zinazogawanywa kama njugu hata na vyuo ambavyo havina accreditation yoyote. Ninachofahamu kwa uzoefu wangu wa system ya kimarekani ni kuwa Honrary doctorate siyo Ph.D. na ni lazima ie specific kuwa ni honorary doctorate...
  15. J

    MJADALA: Umuhimu wa Chanzo Dhidi ya Saratani ya Mlango wa Kizazi kwa Wasichana (Miaka 9-14)

    JE, WAJUA msichana anayeanza kushiriki ngono katika umri mdogo anakuwa katika hatari zaidi ya kupata Saratani ya Mlango wa Kizazi endapo atakuwa hajapata Chanjo ya HPV? Takwimu za Wizara ya Afya Tanzania zinaonesha aina 4 ya Saratani zina idadi kubwa ya Wagonjwa nchini kulinganisha na Saratani...
  16. K

    Huyu Mwanajeshi aliyekuwa akihutubia leo si ndiyo yule muuza madafu wa Ikulu, au?

    Nafikiri wengi wanakumbuka mwezi uliopita pale tulipoona wauza madafu wapo Ikulu kwa ajili ya "kuuza madafu" kwa waalikwa. Walipiga picha na kurasa za mbele za magazeti wakatamalaki. Wapo waliohoji maigizo yale yalikuwa na haja gani, basi tukaona wanafanyiwa interviews clouds etc na mmoja...
  17. Mjadala wa Wachangiaji M1 JF Jukwaa la Historia 2013

    MJADALA WA WACHANGIAJI M1 JF Jukwaa la Historia 2013 Yericko Nyerere (pichani) miaka 11 iliyopita alifungua uzi JF kwa nia ya kupinga historia ya uhuru wa Tanganyika kama nilivyoieleza katika kitabu cha Abdul Sykes. Huu ukawa mjadala mkali, mrefu uliokwenda kwa miezi sita mfululizo bila ya...
  18. Yesu alitoa muongozo na majibu ya maswali ya taratibu za talaka kwenye ndoa, kwa nini watawa wa kanisa katoliki hawaoi?

    Kwenye Suala la kutoa talaka: Yesu aliwajibu wafarisayo walipomjaribu; Wakamuuliza: “Basi, kwa nini Musa aliagiza kutoa cheti cha kumfukuza na kumtaliki?” 8 Akawajibu: “Musa aliwaruhusu kuwataliki wake zenu kwa sababu ya ugumu wa mioyo yenu, lakini haikuwa hivyo tangu mwanzo. Ninawaambia...
  19. Mjadala: Ni jambo gani kwenye Maisha yako lilichelewa sana? Ila sasa unaona kawaida sana

    Wakuu, Kwenye haya maisha tuna mambo mengi sana ambayo ni matamanio, na kila mtu nafikiri wanayo. Sasa ni vitu gani ambavyo ulivitamani sana kuwa navyo, yaani ile tu unajiambia I wish, I wish... Ila sasa unavyo au unavifanya na unaona ni kawaida kabisa yani!! Kuna watu walitamani kuwa na...
  20. K

    Mjadala Alioanzisha Diamond Plutinum Kuwa Rais Samia Atambuliwe kama Mama wa Taifa la Tanzania ni Mhimu ukatiliwa Maanani

    Nimesikiliza kwa umakini juu ya maoni ya Mwanamziki wetu nguli Diamond Plutinum Kuwa Mama Samia Atambuliwe kama Mama wa Taifa la Tanzania. Baadhi ya Sababu alizotoa ni hizi zifuatazo; 1. Ni mwanamke wa kwanza kuwa kiongozi wa Taifa la Tanzania, 2. Pamoja na kuwa ni mwanamke,amefanya kazi bora...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…