mjadala

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. O

    Gachagua Aibua Mjadala Baada ya Kudai Mavazi ya Ruto Kwenye Harusi ya Binti Yake Yaligharimu KSh Milioni 100

    Aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua amezua mjadala baada ya kudai kuwa Rais William Ruto alivaa mavazi yenye thamani ya KSh milioni 100 wakati wa harusi ya binti yake, Charlene Ruto, iliyofanyika Mwanza, Tanzania, Novemba 6, 2026. Akizungumza wakati wa ibada ya kanisa katika eneo la Lari...
  2. Mjadala kuhusu hukumu ya Tundu Lissu umeahirishwa

    Wakili Peter Madeleka ameibua mjadala baada ya kueleza kuwa mdahalo kuhusu hukumu ya Tundu Lissu umeahirishwa ghafla kwa hoja kwamba Lissu tayari amekata rufaa, hivyo hukumu hiyo haiwezi tena kujadiliwa. Kwa maneno yake, ametoa pole kwa Odemba na wapigania haki. Lakini swali linabaki: Je...
  3. K

    Kama kweli hizo video za "connection" za wanafunzi ni "spinning" zimelenga kuhamisha mjadala, wahusika wanaua Taifa

    Nianze kuweka wazi kwamba si muumini wa kutazama mambo ya faragha za watu toka utoto wangu hata video pendwa za X sijawahi kuangalia, hivyo hata hizi connection naishia kusoma comments za watu na maelezo ya viongozi na kuangalia hatua wanazochukua Mitandao imefurika connection ya mwanafunzi...
  4. Sala Dua na Maombi yangu Lissu aachwe huru, huu mjadala ufungwe, tuendelee na mambo mengine

    Wakati fulani nilipanda dala dala moja wa abiria akamwambia kondakta nirudishie chenchi yangu (50) niwaze mambo mengine. Maana yake ni kwamba yule abiria alikua muda wote anaiwazi hio 50 Ni kiasi kidogo sana ila illi kuwa inampa shida ya kuzingatia muda wote kwamba konda hajanirudishia hela...
  5. K

    Za Ndaani: Mjadala Wizi pesa za kujenga Uwanja wa mpira Arusha

    Mada hii leo imewashwa kuelekea tarehe ni script Kesho litatoka tamko kuhusu wizi uo ikiwemo pangua pangu Kesho mtachapwa yaliyojiri harusini Tarehe 7 Jumamosi Duduzuri atatumika kupima upepo pia 🚶
  6. Mbeya yapata Joto la Siasa: Wasafwa na Wanyakyusa watajwa katika Mjadala wa Ukabila kuelekea Uchaguzi wa CCM 2027

    MBEYA, joto la kisiasa linaanza kupanda kuelekea uchaguzi wa ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa mwaka 2027, huku mjadala kuhusu ukabila kati ya Wasafwa na Wanyakyusa ukizidi kujitokeza katika mazungumzo ya kisiasa. Vikao na vijembe vya chini kwa chini vinaendelea, hali inayofanya suala la...
  7. I

    'Becoming A Wife' Ya Yazua Mjadala; Janet Mbugua Ahoji Wajibu wa Kanisa

    Mwimbaji wa nyimbo za injili Mercy Masika amejikuta katikati ya mjadala mkali mitandaoni baada ya kutangaza programu ya Becoming a Wife, inayolenga kuwapa wanawake mwongozo kuhusu ndoa kwa misingi ya mafundisho ya Kikristo. Programu hiyo imepangwa kufanyika kuanzia Novemba 21 hadi Desemba 12...
  8. W

    Vumbi na upepo vyatawala Nairobi Alhamisi Jioni, kulikoni?

    Wakazi wa Nairobi wamebaki na maswali baada ya vumbi na upepo kuonekana katika maeneo mbalimbali ya jiji Alhamisi jioni, huku video zinazosambaa mitandaoni zikionyesha hali iliyowashangaza wengi. Baadhi ya video hizo zinaonyesha vumbi likipeperushwa na upepo, hali iliyowafanya watumiaji wa...
  9. UTV:Mjadala Makonda kukagua miradi ya wizara zisizo za wizara yake

    Ni kimuhemuhe kuona waziri wa michezo na utamaduni kukagua vituo ya polisi huko mwanza kukagua barabara za wizara ujenzi huko mwanza je ni kijiinua au kujali maisha ya wananchi USSR
  10. Fursa Uchumi wa Bluu Yadiliwa COP12 Dar

    Naibu Waziri,Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Reuben Kwagilwa akizungumza na wanahabari mara baada ya kufungua mjadala wa Jukwaa la Biashara ulioiadili fursa za uwekezaji na biashara kwa ajili ya uchumi endelevu wa buluu katika Bahari ya Hindi ya Magharibi, ikiwa ni siku ya pili ya...
  11. Leo nimeona tuanzishe thread ambayo haina mjadala, haina mabishano ni shukrani tu.

    Kila mmoja wetu amepitia jambo fulani ambalo kwa wakati ule aliona kabisa, “hapa sijui nitavukaje.” Kuna waliopitia magumu ya kifedha, afya, familia, kazi, mahusiano, misiba, madeni, au changamoto ambazo hawakuwahi hata kuwaambia wengine. Lakini cha ajabu ni kwamba tulipenya na kuvuka...
  12. MJADALA: Kwa Nini Fally Ipupa Anashindana Na Yeye Mwenyewe Na Si Wasanii Wengine?

    Poleni na majukumu ya kujenga taifa. Kwa muda sasa nimekuwa nikifuatilia kwa karibu sana mwenendo wa kimuziki wa Fally Ipupa "El Maravilloso". Tangu alipotoa "Maria PM"—wimbo uliokuwa hit kubwa sana barani Afrika na duniani kote—na baadaye kuja na mradi mwingine mkubwa wa "Mayday", kumekuwa na...
  13. Vyombo vya Dola kuwa mali ya CCM: Kauli zinazofungua mjadala wa chama na dola

    Kauli ya Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) anayeshughulikia Oganaizesheni, Paul Chacha, kwamba vyombo vya ulinzi na usalama ni “mali ya CCM”, imeibua mjadala mpana kuhusu uhusiano kati ya chama tawala, Serikali na vyombo vinavyotakiwa kulinda Jamhuri na wananchi wote...
  14. VIDEO: Mjadala wa Uwepo wa Mungu.

    Cc Kiranga
  15. tumalize mjadala leo...mafanikio ni kumiliki gari na nyumba?😊😊

    kwamba nina miaka 40 sina gari wala nyumba lakini leo chuo kikuu cha mzumbe nimehitimu shahada yangu ya tatu na kutunukiwa PHD....je haya sio mafanikio?.... nina umri wa miaka 40 nimeowa na nina watoto watatu wa kwanza kamaliza shahada ya udaktari kcmc...
  16. A

    HOJA Ni hatua gani zinapaswa kutumika kurejesha usalama Wilayani Tunduru ambapo Wafugaji na Wakulima wanapingana?

    Ndugu zangu, Tumepokea taarifa nzito kutoka Kijiji cha Chikomo, ambapo mtu mmoja ameripotiwa kupoteza maisha, watu wanane wako katika hali mbaya kiafya, huku nyumba saba zikiripotiwa kuteketea kwa moto. Kwa mujibu wa taarifa zilizopo, hali katika Kijiji cha Chikomo ni ya wasiwasi baada ya...
  17. O

    HABARI: “NI NINI KINAWASUMBUA WAUMINI KANISANI?” — UJUMBE WA SADAKA WAIBUA MJADALA

    Video yaibua mjadala kuhusu namna baadhi ya waumini wanavyotoa sadaka kanisani, huku kikapu cha sadaka kikionekana kuwa na kiasi kidogo cha fedha. Mhubiri anaonekana kuzungumzia changamoto zinazowakabili waumini na mtazamo wao kuhusu utoaji, jambo linalogusa maisha ya mwananchi wa kawaida ambaye...
  18. Suala la Mabasi bado linahitaji mjadala tusipelekeshane kama misukule, kuna hoja zinahitaji majibu.

    Kwakuwa ni mambo ambayo yako wazi sina sababu ya kutumia energy nyingi kuelezea vitu ambavyo havihitaji rocket science kuvielewa. Kwanza nitaanza na kero mbili za mabasi wamiliki wa mabasi wafanyiekazi. 1. Huduma zinazotangazwa za mabasi ya luxury coach hazipatikani kwa ukamilifu hasa Wi-Fi...
  19. Post ya Lionel Messi instagram yazua gumzo akidai kuwa mjadala wa GOAT umetamatika

    Ni siku moja baada ya kutangaza kustaafu kuitumikia timu yake ya Taifa katika soka la kimataifa. Look what humble Messi posted on his IG page. Now imagine kama hii ingepostiwa na Ronaldo.
  20. Niffer Aibua Mjadala Mitandaoni: Asema Hawezi Kuwa na Urafiki wa Karibu na Wanawake Wenzake

    Mfanyabiashara na mwanamitandao maarufu nchini, Jennifer Bilikwija ‘Niffer’, amewasha moto wa mjadala kwenye mitandao ya kijamii baada ya kuweka wazi mtazamo wake kuhusu ushikaji na wanawake wenzake. Niffer amebainisha kuwa ingawa anawapenda na kuwaheshimu wanawake, hana mpango wala uwezo wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…