mizigo

  1. Mi naombi kwa madereva wanaosafirisha mizigo nchi za nje hapa Tanzania

    Hakuna watu wanapitia changamoto kama madereva wanaosafirisha mizigo kutoka bandarini dar kwenda nchi zinazozunguka tanzania. Kiufupi unageuka muhanga sababu sio nchi yako,unyanyasaji wa serikali unapopita nchi hiyo,wizi wakutisha Hakuna kuthaminiwa na bosi wala kampuni. Kwa nini msiombe...
  2. G

    Nimenunua gari ndogo ya mizigo mjini. Napigaje pesa?

    Habari wana jamii. Naombeni kufunzwa namna biashara ya kubeba mizigo kwa gari ndogo kama hizi pick up za tani 2 inavyoendeshwa (Mfumo wake). Naanzaje? Napataje wateja? Gari ipo dar lakini mimi ni mgeni wa hii biashara. Msaada wenu🙏
  3. D

    Naomba kujua jina la kampuni ya usafirishaji mizigo toka Dar es laam kwenda Songea

    Ndugu wapendwa! Nataka kusafirisha mizigo yangu toka Dar kuja songea lakini sijui ni kampuni zipi za usafirishaji zinahusika. Mzigo ninaotaka kusafirisha ni freezer na sofa. Hivyo naomba mwenye kujua jina la kampuni inayotoa huduma hiyo pia na sehemu inapopatikana hiyo kampuni. Nawasilisha...
  4. O

    Madereva Wasitisha Usafirishaji wa Mizigo kuelekea DRC Baada ya Wenzao 12 Kuripotiwa Kuuawa

    Madereva wa malori ya masafa marefu wamesitisha usafirishaji wa mizigo kuelekea Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), kufuatia taarifa za kuuawa kwa madereva 12, akiwemo Mkenya Mohamed Tahlil, kutokana na kuongezeka kwa ukosefu wa usalama nchini humo. Chama cha Madereva na Makondakta wa...
  5. Tanzania kuna boom kwa sasa bandari imejaa pomoni, real estate iko juu ila hakuna TRICKLE DOWN kwenye uchumi

    Ukiangalia uchumi wa Tanzania kwa sasa ni upo kwenye boom Uchumi unakua vizuri Bandari inaingiza mizigo mingi sana na moja kielelezo ni kuongezeka maradufu kwa bandari kavu Real estate iko juu sana sahivi watu wanajenga sana Mapato ya TRA yanaongezeka Ila hakuna Trickle down economics...
  6. Nimemiss mikutano ya ccm! Ile ya kusomba watu kwa magari ya mizigo

    Picha mbalimbali zikionesha matukio katika mkutano wa hadhara uliofanyika leo tarehe 04, Oktoba 2026 Serengeti, mkoani Mara. Mgeni rasmi alikuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, Mhe. John Heche
  7. Bandari ya Dar es Salaam yaweka rekodi kuhudumia tani milioni 54 za mizigo kutoka tani milioni 37

    Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) inalenga kuongeza uwezo wa kuhudumia mizigo hadi tani milioni 54, sambamba na maboresho ya miundombinu na huduma za bandari. Bandari ya Dar es Salaam tayari ilihudumia rekodi ya tani milioni 33.7 katika mwaka wa fedha 2025/2026, ongezeko kutoka tani...
  8. A

    KERO Uondoshaji wa mizigo bandarini ni shida kubwa, TBS inatuumiza Waingizaji wa Shehena (importer) nchini

    Kwa sasa TBS imekuwa ni mzigo na imekuwa ikizalisha vilio vikubwa sana kwa Waingizaji wa Shehena au Bidhaa nchini (IMPORTER). Mfumo wao wa utendaji umekuwa mbovu sana na kila siku katika ofisi zao zilizopo TPA ONE STOP [BANDARINI] utakuta misururu mikubwa ya MAWAKALA WA FORODHA wakipambana...
  9. M

    Twaha Mwaipaya: Tazama mgambo wakichukua nguo za machinga Kariakoo, hapo machinga akienda kuchukua mzigo wake faini laki 3

    Mimi ni mama wa watoto wawili najishugulisha na biashara ya nguo Kariakoo yaani machinga Jana nimepokonywa mzigo wangu na MGAMBO wa jiji kwenda kukomboa wanataka faini ya elfu 50 Mpaka LAKI 3.Kiukweli inakatisha tamaa wakati Mwingine unaweza hata kujiua mateso tunayopitia machinga ni mengi...
  10. O

    Mizigo ya harusi bila uwezo mzuri hainaga maana

    Inasikitisha sana kuona kijana hujiwezi kiuchumi, lakini unalazimisha sherehe ya harusi na kuanza kusumbua watu na kadi za michango. Kibaya zaidi, wengine tayari mmeshajenga familia, mmeshazalisnana maisha yanaendelea sasa hiyo sherehe kubwa ya gharama kwa wakati huo ni ya kazi gani? vijana...
  11. Mv Liemba yarudi kazini, uwezo wa usafirishaji wa abiria na mizigo waongezeka

    Meli ya MV LIEMBA, inayotoa huduma ya usafirishaji wa abiria na mizigo katika Ziwa Tanganyika, inatarajiwa kurejea katika huduma hivi karibuni baada ya kukamilika kwa ukarabati mkubwa ulioanza Julai 2024. Ukarabati huo umehusisha mabadiliko makubwa ya mifumo na miundombinu ya meli, ikiwemo...
  12. A

    KERO Waingizaji wa mizigo walalamikia TBS kwa kuchelewa kutolewa kwa Control Number na gharama kubwa za storage

    Waingizaji wa mizigo kutoka nje ya nchi tunaendelea kukabiliwa na changamoto kubwa kutokana na kuchelewa kwa mfumo wa TBS kutoa Control Number. Kwa mfano, ombi langu liliwasilishwa tangu Jumatano iliyopita, lakini hadi sasa sijapatiwa Control Number, hali ambayo imenilazimisha kuanza kulipa...
  13. Hivi nani alimshauri Hayati Magufuli ndege za mizigo zikawa mpya wakati wenzetu hugeuza zilizotumika kuwa za mizigo?

    Mungu na shetani ni samehee maana nchi niliyopo nashindwa kuelewa. Baada ya raisi trump kukataa ndege yake na kupewa ile ndenge na qatar kaona kurudia yake ya zamani. Tuje kwenye mada kuhusu mashirika ya ndege na nchi zao. Kuna mashirika makubwa na yenye uwezo mkubwa ila ubadilisha matumizi...
  14. A

    HOJA Gari zilizosajiliwa “transit” ni sahihi kubeba mizigo ya local?

    Gari zilizosajiliwa “transit” ni sahihi kubeba mizigo ya local? Tunaomba mamlaka ziingilie kati sisi wamiliki wa malori ya local tunapitia wakati mgumu wa biashara kwani gari za transit zimekuwa zikitoka mfano DR Congo zinarudi bila mzigo zikifika Tanzania zikiwa zinarudi Dar zinapakia mzigo wa...
  15. DOKEZO Bandari wanazuia mizigo ya watu kama bidhaa ulizoleta zinafanana na za tajiri fulani

    Kumekuwa na tetesi kwamba baadhi ya matajiri wanazuia mizigo ya watu kupitia maafisa wa bandari wasio waaminifu. Iko hivi kama unaleta kontena ya viatu basi tajiri alieshika viatu hapa bongo anawaelekeza bandari wasitoe mzigo wako. Unawekewa ushuru mkubwa ambao hata ukiulipa hutaweza kuuza huo...
  16. Kuna presha nyingi ambazo jamii huziona kwa Wasichana na kusahau Wavulana wanabeba mizigo mizito moyoni

    PRESHA WAVULANA WENGI WANAPAMBANA KIMYA KIMYA. Kuna presha nyingi ambazo jamii huziona kwa wasichana… lakini mara nyingi husahau kwamba hata wavulana wanabeba mizigo mizito moyoni. Tofauti ni kwamba wavulana wengi wamefundishwa kuficha maumivu yao. Wamefundishwa: “vumilia.” “kuwa mwanaume.”...
  17. Mizigo yako unampa nani?

    MZIGO MZITO UNAMPA MPAGAZI, JE WA NDANI UNAMPA NANI? mzigo mzito mpe Mnyamwezi, Kwa sababu ana uwezo wa nguvu za mwili. Mzigo wa akili hakuna wa kukubebea Na huo ndio mzigo unaochosha kuliko anaoubeba Mnyamwezi. Huu hauonekani… lakini unakula nguvu kila sekunde. Chuki. Maumivu ya...
  18. M

    Kuna ukweli biashara ya kubeba mizigo kwa kirikuu imeyumbishwa na maguta ya Kichina

    Hapo zamani biashara hasa za hardware walikuwa wanatumia sana kirikuu kubeba cement, mabati, nono, n.k. lakini sikuhizi tunazidi kuona kasi ya maguta yakichukua nafasi hii wafanyabiashara wanaoenda kununua vitu kama maduka makubwa nao hawachezi mbali wameanza kuyaelewa maguta Pia kirikuu...
  19. Kukamilika kwa Meli nne za mizigo, fursa Ziwa Tanganyika

    KUKAMILIKA kwa mradi wa ujenzi wa meli nne kubwa za mizigo katika Bandari ya Karema ni fursa kwa wananchi wa mikoa inayopitiwa na Ziwa Tanganyika ya Rukwa, Katavi, Kigoma na kuongeza kipato cha kaya na Taifa. Ujenzi wa meli hizo ulianza Aprili 2025 na ukitarajiwa kukamilika Julai 2026. Mpaka...
  20. A

    KERO Air Tanzania mnachelewesha mizigo ya wasafiri wenu wa Comoro hadi kero, jirekebisheni, mnatukwaza

    Nalalamikia ndege za Air Tanzania hususan zinazoenda Comoro, kuna wakati wa rush za biashara kama za mwezi wa ramadhan au likizo Air Tanzania inatabia ya kubeba abiria na kuacha mizigo mpaka baada ya siku mbili. Wacomoro huja kwetu Tanzania kwa matibabu na kuchukua bidhaa za biashara, leo mtu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…