Hii ni mada nzito inayozungumziwa sana kwa sasa, hasa kutokana na kuongezeka kwa mahubiri yanayoweka mkazo mkubwa kwenye miujiza kuliko mafundisho ya msingi ya imani au juhudi binafsi za maendeleo.
Siku hizi bila muujiza hata wa kitapeli, Ibada hasa za mitume na manabii zinaonekana...