mipango

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mh. Rais Dr. Samia Suluhu Hassan ametufundisha kuwa uongozi ni Sayansi na mipango

    1. Uongozi ni Sayansi maana yake ni kubaini mahitaji ya watu na changamoto zao na kuzitatua bila kuleta taharuki. Wote tunaona vile wavunjaji wa Sheria wanavyoshughulikiwa kwa ustadi mkubwa huku wakiacha somo kuwa hakuna aliyejuu ya Sheria (Rule of Law) 2. Uongozi ni mipango maana yake ni...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Je, ni lazima mtu awe na mipango maishani, au tunaweza kufanikiwa hata bila mipango?

    Wakuu, kuna jambo nimekuwa nikilifikiria sana mwishonimwa mwaka huu. Kama tunavyojua mwaka ndio huo unaelekea ukingoni, tupo Oktoba sasa, lakini naamini kuna watu walioweka mipango yao Januari ambayo mpaka sasa bado haijatekelezeka. Wengine walipanga kuanzisha biashara, kujiendeleza kielimu...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Je, ni lazima mtu awe na mipango maishani, au tunaweza kufanikiwa hata bila mipango?

    Wakuu, kuna jambo nimekuwa nikilifikiria sana mwishonimwa mwaka huu. Kama tunavyojua mwaka ndio huo unaelekea ukingoni, tupo Oktoba sasa, lakini naamini kuna watu walioweka mipango yao Januari ambayo mpaka sasa bado haijatekelezeka. Wengine walipanga kuanzisha biashara, kujiendeleza kielimu...
  4. C

    JamiiForums Tanzania John Heche ametangaza wazi kuwa yuko tayari kwa lolote hata kifo na hatokimbia nchi ,atabaki kupigania demokrasia

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Heche amesema hatakimbia nchi licha ya madai ya kuwepo kwa mipango ya kufunguliwa kesi, akisisitiza kuwa yuko tayari kufa akipigania demokrasia na mabadiliko ya nchi. Heche ameyasema hayo leo Ijumaa Oktoba 16, 2026 mjini...
  5. JamiiForums Tanzania Tujikumbushe baadhi ya mipango ya Mungu

    Wakuu wote tunafahamu kwa imani yangu ya kikristo kila kinachotokea huwa ni mipango ya Mungu. Liwe jambo zuri au lenye maafa huwa ni mpango wake. Ikitokea ajali watu wakafa ni mpango wake. Wakipona pia ni mpango wake. Sasa mimi leo nimeona niwakumbushe mipango yake ambayo kibinadamu ni ngumu...
  6. JamiiForums Tanzania Nikiwa Rais ntaanzisha jeshi la mipango miji

    Sehemu napokaa kuna mtu kanunua nyumba ya kawaida ila cha ajbau ameanza kuongeza gorofa kwenye nyumba ambayo haina msingi wa gorofa anajenga na hakuna anayemhoji kajiamulia binafsi hili ni moja ya jambo linanikera sana nikiona watu wameweka lenta ya gorofa na sasa wanakoroga zege waendelee...
  7. JamiiForums Tanzania Maombi yana nafasi yake, lakini usitumie maombi kama mbadala wa mipango, kazi, maarifa na hatua za kiuchumi

    Chochote unachofanya katika maisha haya, usisahau jambo moja: umaskini hauondoki kwa moto. Unaweza kutumia siku saba usiku kucha ukipiga kelele ukitazama dari, ukitokwa na jasho chini ya madhabahu, ukifunga na kujaribu “kumfunga” shetani wa kufikirika lakini mwenye nyumba bado atafika tarehe...
  8. JamiiForums Tanzania Kifo chako kitakuja siku ya kawaida, katikati ya mipango ambayo haijakamilika na dunia itaendelea bila wewe. Hivyo basi achana na kushindana na maisha

    Usijalaumu kwa kuchelewa Usijalaumu kwa kusemwa Usijalaumu kwa kupitwa Usiogope kushindwa Sio lazima uwe tajiri kwa njia yoyote ile. Sio lazima uwa lidhishe watu kwa namna yoyote ile. ishi na asili, usiishi ya watu
  9. JamiiForums Tanzania Vipi watu wangu wa nguvu mipango yenu ya 2026 inaendaeleaje😁

  10. 3

    JamiiForums Tanzania Hofu ya Talaka: Titi Brown Asitisha Mipango ya Ndoa

    Mcheza densi na msanii maarufu kutoka Rwanda, Thierry Ishimwe (Titi Brown), ameweka wazi kusitisha kwa muda mipango yake ya kuanzisha familia, akitaja kuongezeka kwa migogoro ya ndoa na changamoto za kisaikolojia zinazowakabili wanandoa wengi katika jamii ya sasa kuwa chanzo kikuu cha uamuzi...
  11. JamiiForums Tanzania Masoko kuungua moto ni mipango mibovu za kulaghai vijana

    Vijana ni waelewa sana, maana ni walewale walioambiwa hapa ni chooni, hapa ni jikoni, huu ni moto na haya ni maji wakatii hadi leo kuwa hapa ni chooni, hapa ni jikoni na pale ni chumba cha baba na mama tusiingie bila kubisha hodi. Vijana hawahawa kama kungekuwa na viongozi ambao wangewaambia...
  12. JamiiForums Tanzania Tuunge mkono Uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan, mipango na vipaumbele

    Tukiacha Mihemko, Ukiangalia Tanzania ya leo, kuna mambo mengi yanaendelea. Kuna miradi inajengwa, huduma zinaendelea kuboreshwa na mipango ya maendeleo inaendelea kuwekwa kwa ajili ya miaka ijayo. Hakuna mradi uliosinama Tukumbuke pia maendeleo ya nchi si jukumu la Serikali pekee. Sisi...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kwa Mara nyingine tena Dada wa Taifa Mange Kimambi ametibua mipango ya waharibifu.

    Kama kawaida yake, katika nyakati usizomtegemea, huku akiwa amefungiwa mitandao yake ya jamii, lakini sauti yake iliyao nyikani imeweza kupenya na kuwafikia watanzania juu ya uhuni wa kisiasa unaoendelea nchini. Dada wa Taifa kama kawaida yake amelinusuru taifa dhidi ya wahuni wa kisiasa nchini...
  14. A

    JamiiForums Tanzania KERO Chuo cha Mipango Mwanza hawaja-submit matokeo yangu ya Diploma One

    Mimi ni mwanfunzi wa chuo cha mipango cumpus ya mwanza nimemaliza diploma two mwaka huu nimeshindwa kuendelea na maombi ya mkopo wa elimu ya juu kwa ajili ya kujiunga na degree sababu NACTVET hawaoni matokeo yangu ya diploma one. Hali hiyo imefanya nimekosa AVN na mpka sasa sijui hatma yangu ya...
  15. JamiiForums Tanzania Innovation Week Tanzania 2026: Baada ya Uzinduzi wa Jana JNICC, Je Tunavuka kutoka Mipango (Dira 2050) kwenda Utekelezaji?

    Wana-Jamii, Jana tarehe 31 Agosti 2026, Innovation Week Tanzania (IWTz2026) ilifunguliwa rasmi pale JNICC Dar es Salaam chini ya kaulimbiu: "From Aspirations to Transformation: Innovating Tanzania's Path to Inclusive Prosperity." Uzinduzi wa jana umeonyesha nia kubwa ya kuunganisha ubunifu wa...
  16. JamiiForums Tanzania Wanawake mnapaswa muelewe hili kwa nia njema kabisa: muda wa kazi simu zinazongatiwa ni za mipango tuu

    Happy Sunday JF Members. Wanawake tunawaheshimu na kuwapenda sana, ila kuna jambo moja mnapaswa kulielewa kwa nia njema kabisa. Muda wa kazi, simu na SMS za mara kwa mara za kusalimiana tuu hazimaanishi kwamba mapenzi yanaongezeka. Kuna muda zinageuka kuwa kero. Ukimtafuta mpenzi wako mara...
  17. JamiiForums Tanzania Mipango ya siri ya Walokole na WAKRISTO kumuua Civilian-Coin kisa hamwamini Yesu Kama Mungu wao imevuja.

    Taarifa ambazo zimetufikia mchana huu ni kuwa makundi makundi ya Walokole yamesukwa kufanya mauaji kwa Siri au hadharani ya kumuua Bw. Civilian-Coin Nalimi Kisandu almaarufu CIVILIAN-COIN taarifa nyeti tumezipata. Aidha wamejipanga kuua au kumbambika kesi yoyote ile Bw. Civilian-Coin. Hata...
  18. JamiiForums Tanzania Endelea tu kuwaambia ndugu na rafiki zako mipango yako ya maisha. Utakapozeeka maskini ndipo utawafunza watoto wako kutunza siri

    Ndugu na rafiki zako wanachopaswa ni kuona tu au kuambiwa tu Juzi nimeshahamia nyumbani kwangu. Niko Marekani wiki ya pili sasa Karibu kwenye mahafali yangu next week napata masters. Namshukuru Mungu ile nafasi ilikuwa ngumu lakini nimeipata . Ndugu waone tu umepark gari nyumbani kwako au...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Misheni iliwekwa sawa mipango ikaparanganyika sasa tunakwenda nayo kwa namna yeyote

    Mipango ilipangwa kwa umakini wa hali ya juu kwanza kabisa ndani ya chama tuliweza kuwadhibiti makada wakorofi ambao wangeweza kuvuruga tukachapisha fomu moja kelele zilivuma lkn hazikuwa na madhara yeyote Mpango wa pili ulikuwa dhidi ya upinzani hawa nso tungewacha tuu bila uthibiti...
  20. JamiiForums Tanzania Kwanini vilabu vya Tanzania haviingizi sokoni jezi zenye majina ya mastaa wao? Je, ni ukosefu wa mipango ya kibiashara?

    Mauzo ya jezi ni miongoni mwa vyanzo vya mapato ya vilabu vya soka duniani, ingawa fedha zote zinazolipwa na mashabiki haziendi moja kwa moja kwa klabu. Kwa kawaida, mapato hayo hugawanywa kati ya mtengenezaji wa jezi, wauzaji wa rejareja na klabu kulingana na makubaliano ya kibiashara. Hivyo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…