Kisayansi inawezekana mwanamke kupata mimba nyingine akiwa tayari ana mimba, ingawa jambo hili ni adimu sana na hutokea kwa nadra mno duniani.
Hali hii ya kitabibu inajulikana kama Superfetation.
Katika historia ya kitabibu, kuna visa vichache sana (visivyozidi 15) vilivyothibitishwa duniani...