Ee bwana weee..leo usiku wa kuamkia tarehe 23 niliona PT imenipita sehemu speed around 2355
Kufika sa 0000 nasikia milio risasi si risasi mabomu so mabomu Niko mwenyewe sijui nikimbilie wapi nikawa nasubiri nione wanapokimbilia badae nikasema wacha nitoke nione ndo kushangaa anga linameremeta...