milioni

Millions on the Island (Milioni na otoku) is a 1955 Croatian film directed by Branko Bauer.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Hata kama ni kuwanunua wale wa daraja la juu, A class, ndio utoe milioni kwa usiku 1 ?

    Tanzania ina mambo ya kushangaza sana wazee. Hivi unaanzaje kutoa mtonyo wa milioni moja kwa usiku mmoja tu kulala na demu kwa kisingizio ni A class? Dem anaejiuza ambaye pengine jana alikuwa na mteja mwingine, na kesho yake ana wateja wawili
  2. Kwa idadi ya waTz zaidi ya milioni 70 waliopo sasa, ikitokea hata waTz milioni 10 wakasusia jambo fulani mathalani uchaguzi hapatakua na athari zozote

    Kwasababu, idadi ya ambao hawatasusa inatosha kabisa taifa kumove on bila ya changamoto yoyote kama ilivyo sasa. In fact, Idadi hiyo ya waTanzania, inafanya taifa kufocus zaidi na mambo yajayo kuliko kubabaika na porojo au misimamo isiyo na tija ya ving'ang'anizi ambao wanajipa umuhimu na...
  3. Marekani Yatoa Zawadi ya Hadi Dola Milioni 10 kwa Taarifa za Mshukiwa wa Ujasusi wa Mtandaoni.

    Idara ya Mambo ya Nje ya Marekani (U.S. Department of State) kupitia mpango wa Rewards for Justice imetangaza zawadi ya hadi dola milioni 10 za Marekani kwa mtu yeyote atakayetoa taarifa zitakazosaidia kumpata Zhang Yu. Zhang Yu anatuhumiwa kufanya kazi kwa niaba ya Wizara ya Usalama wa Taifa ya...
  4. Brazil ina watu Milioni 125, Kura za Urais zimetangazwa kwa siku Moja. Ila Tanzania Watu Milioni 60, hadi watu Wauawe kwanza ndo Matokeo yatangazwe

    Kwanini Matokeo ya Urais wa Tanzania hayawekwi mtandaoni? Ni kwa sababu ya wizi. Hata samia hajui kura zake. Isipokuwa asilimia tu. Brazil imefanya uchaguzi jana. Baada ya Vituo kufungwa muda mfupi matokeo ya Urais yakaanza kutangazwa. Tanzania Uchaguzi wake, baadhi ya Sehemu inafika saa nne...
  5. Bandari ya Dar es Salaam yaweka rekodi kuhudumia tani milioni 54 za mizigo kutoka tani milioni 37

    Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) inalenga kuongeza uwezo wa kuhudumia mizigo hadi tani milioni 54, sambamba na maboresho ya miundombinu na huduma za bandari. Bandari ya Dar es Salaam tayari ilihudumia rekodi ya tani milioni 33.7 katika mwaka wa fedha 2025/2026, ongezeko kutoka tani...
  6. R

    Nigeria: Adeyemi ashtakiwa kwa kuanzisha Taasisi Feki ya Serikali na kutengewa Dola Milioni 1 kwenye bajeti kuu

    Septemba 30, 2026 Mwanamume mmoja nchini Nigeria anayefahamika kwa jina la Adeniyi Adeyemi alifikishwa Mahakama ya Abuja akituhumiwa kuunda kinyume cha sheria taasisi ya serikali, kujiteua kuwa mkuu wake na kufanikisha kutengewa fedha katika bajeti ya serikali. Kesi hiyo imeibua maswali kuhusu...
  7. K

    Jacqueline, Wananchi Chala, Sumbawanga wafurahia Vifaa Tiba Vya 312m vilivotolewa na Serikali

    Wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Nkansi, Manispaa ya Sumbawanga na Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Rukwa, Jacqueline Mzindakaya, wameeleza kufurahishwa na jitihada za Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan za kuimarisha huduma za afya, huduma za uchunguzi...
  8. W

    SACCOs Zimeongeza Wanachama 480,000 - Lakini Akaunti Milioni 1.69 'Zimelala'

    SACCOs nchini Kenya zilipata Wanachama wapya takriban 480,000 katika kipindi cha mwaka mmoja, huku idadi ya wanachama katika SACCO zinazodhibitiwa ikifikia milioni 7.87 mwaka 2025, kutoka milioni 7.39 mwaka 2024. Kwa mtazamo wa kwanza, hii inaonekana kama ishara ya kuongezeka kwa imani ya...
  9. W

    Koola akabidhi milioni 100 Marangu hospital

    Mbunge wa Jimbo la Vunjo, Enock Koola, amekabidhi kiasi cha shilingi milioni 100 kama mchango wake na marafiki zake kwa ajili ya ukarabati wa Kliniki ya Meno pamoja na Maabara katika Hospitali ya Marangu, akisema lengo ni kurejesha hadhi ya hospitali hiyo na kuimarisha huduma za afya kwa...
  10. M

    Usiridhike na cash au salio la Bank, Wekeza au nunua assets kulinda thamani ! miaka 30 iliyopita elfu 50 ilikuwa na thamani kuzidi milioni ya leo.

    Usiweke tu pesa zako kwenye savings, hakikisha unawekeza, Nunua kiwanja, nunua Bonds, assets, n.k. Enzi hizo miaka 30 iliyopita ukiwa na elf 50 ni zaidi hata ya milioni ya sasa, leo hii kama kuna mfungwa aliefungwa miaka hio katoka jela na aliacha elf 50 hawezi kupata basi Dar kwenda Mwanza...
  11. Idadi ya watanzania kufika Milioni 120 ifikapo 2050

    Ongezeko la idadi ya watu nchini Tanzania linatarajiwa kufikia takribani milioni 120 ifikapo mwaka 2050, hali inayotarajiwa kuongeza mahitaji ya miundombinu na huduma muhimu. Fursa kubwa zinaonekana katika ujenzi wa nyumba, barabara, hospitali, mifumo ya maji na miundombinu ya mijini, huku sekta...
  12. DED ashinda kesi ya fumanizi/Ugoni Dhidi ya Mfanyabiashara na kupewa Fidia ya Milioni 10

    My Take Nilikuwa sijui kama Ugoni na fumanizi unaweza peleka kesi mahakamani na kudai fidia. =============== Mahakama ya Rufani imethibitisha hukumu ya fidia ya Sh milioni 10 kwa Mkurugenzi wa Manispaa baada ya mfanyabiashara kukutwa na hatia ya kufanya uzinzi na mke wake. Mkurugenzi huyo...
  13. Mnyama aliyeishi miaka milioni 240 iliyopita agundulika Tanzania

    NB: Translation ya baadhi ya maneno ya Kiswahili yaliyotumika Dinosaria- Dinasours 🦕 Visukuku- Fossils 🦴 Wanasayansi wamegundua spishi mpya ya mnyama wa kale aliyeishi takribani miaka milioni 240 iliyopita. Kiumbe huyo aliyekula mimea, aliyepewa jina la Dinodontosaurus isiyavamanda...
  14. Ubarikio wa Mtoto: Bajeti Milioni 25!

    NIMESHANGAZWA NA HILI UBARIKIO WA MTOTO BAJETI MILIONI 25 KAUNDA NA KAMATI Sema wa Tz kuna namna sijui ni kulogwa au tunachukuliana poa Kuna mshua mmoja jana alinialika ana kikao cha maandalizi ya sherehe ya ibarikio wa binti yake Mwezi Decemba bahati mbaya sikwenda leo ananipigia kuwa kikao...
  15. R

    Marekani yarudisha Dola Milioni 2.5 kwa Gambia ubadhirifu uliofanywa na Rais wa zamani Yahya Jammeh

    Idara ya Sheria ya Marekani inarejesha takribani dola milioni 2.5, kwa Serikali ya Gambia zilizopatikana kutokana na vitendo vya rushwa wakati wa utawala wa Yahya Jammeh, ambapo fedha hizo zitatumika kulipa fidia kwa waathirika wa utawala huo. Yahya Jammeh, aliyekuwa Rais wa Gambia, pamoja na...
  16. Mbunge Hawa Mwaifunga akataa Madawati 48, asema “Mwalimu Nataka Milioni 3 Zangu”

    Mbunge wa Tabora Mjini, Hawa Mwaifunga amekataa kupokea madawati 48 yaliyotengenezwa kwa ajili ya shule tatu katika jimbo hilo baada ya kuyakagua na kutoridhishwa na ubora wake, Septemba 18, 2026. Madawati hayo yaligharimu kiasi cha Shilingi milioni tatu, fedha zilizotolewa kupitia Mfuko wa...
  17. R

    Responded DC Mpogolo: Atakaye tupa taka Ganda la Ndizi na Pipi faini Milioni 1, Dar

    MPOGOLO: ATAYETUPA UCHAFU JIJINI DAR FAINI LAKI 3 HADI MILIONI 1 AU KIFUNGO CHA MIEZI 12–24 Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Mhe. Edward Mpogolo, amesema mtu atakayebainika kutupa taka hovyo jijini Dar es Salaam atatozwa faini ya shilingi 300,000 hadi milioni moja au kuhukumiwa kifungo cha miezi 12...
  18. Burkinafaso wamejenga kiwanda cha kuzalisha sare za jeshi cha dola milioni 30

    Wameamua kuzalisha sare zao wenyewe kutoka kwenye pamba wanayolima wenyewe. Wanatarajia kuzalisha sare za majeshi na nguo za kiraia. Sasa hivi tutaona wanauza nje sare za kijeshi. Wanapunguza import na kuongeza ajira nchini mwao. Kila la kheri kwao.
  19. Niffer, Amefanikiwa Kukusanya Shilingi Milioni 111 Ndani ya Siku Mbili Kuokoa Maisha ya Mwanafunzi wa CBE, Najath Ibrahim

    Jitihada za kibinadamu zimeleta matokeo makubwa baada ya mfanyabiashara na mshawishi wa mitandao ya kijamii, Niffer, kufanikisha ukusanyaji wa Shilingi milioni 111 kwa ajili ya matibabu ya mwanafunzi wa Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE), Najath Ibrahim, anayesumbuliwa na tatizo la figo. Najath...
  20. Shamba Ekari 2 liko Kibaha Misugusugu Saeni linauzwa milioni 40

    Wakuu salaam. Kuna shamba ekari 2 linauzwa. Shamba liko Kibaha eneo la Misugusugu umbali wa kilomita 2.5 kutoka barabara kuu ya Dar Moro. Shamba linafaa kwa ajili ya kilimo, mifugo, makazi au uwekezaji wa viwanda maana wachina wanaendelea kujenga viwanda maeneo hayo. Njoo DM tuongee naamini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…