Mahakama ya Milimani imemuamuru aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Music Copyright Society of Kenya (MCSK), Ezekiel Mutua, kumlipa mwanamuziki maarufu Hubert Nakitare, anayefahamika kama Nonini, fidia ya KSh3 milioni kutokana na matamshi yaliyopatikana kuwa ya kumkashifu.
Katika uamuzi uliotolewa...