Mtangazaji na mcheshi maarufu Francis Munyao, anayejulikana kama MCA Tricky, ameondoka rasmi katika kituo cha redio cha Milele FM baada ya kuhudumu kwa takriban miaka sita.
MCA Tricky alitangaza kuondoka kwake kupitia taarifa iliyotolewa Julai 22, 2026, akisema uamuzi huo ulifuatia kutofikiwa...