mikono

Mykonos Airport (IATA: JMK, ICAO: LGMK) is the international airport of the Greek island of Mykonos, located 4 kilometers from the town of Mykonos. It serves flights to domestic and European metropolitan destinations due to the island being a popular leisure destination.

View More On Wikipedia.org
  1. N

    Nimenyoosha mikono juu Chaaaaaaaa

    Kumbe kule Misri huo usajili mpya tulioambiwa kocha mzungu hajaupenda ni Moses phri na siyo Akpan Kwa mwalimu keshaona Phiri mkali kuliko mzungu wake aliyemleta basi bora amchomeshe tu benchi na kwaweka kina kiyombo na boko ili Dejan aonekane bora zidi yao Kiuhalisia team haina namba 9 wala...
  2. M

    Taiwan iko kwenye hatari ya kuingizwa mkenge ikawa kama mikono na damu itakayotumiwa na Marekani kujaribu kuidhoofisha China Kijeshi na kiuchumi!!

    Marekani iko katika vita ya kiuchumi na kijeshi na China lakini haiko tayari kutumia mikono na damu ya Wamarekani, kama ilivyokuwa kwenye vita ya kiuchumi na kijeshi na Urusi lakini haikuwa tayari kutumia mikono na damu ya Wamarekani. Kama ambavyo Ukraine iliingizwa mkenge ikajikuta katika...
  3. B

    Nimenyoosha mikono juu

    Baada ya kupitia misukosuko mingi kwenye ndoa yangu nimeamua kuja kupumzika nyumbani. Moyo unauma sana mpaka sitamani hata kuinuka kitandani natamani kulala tu, nikilala usiku nikisikia adhana ya saa 11 asubuh moyo unauma natamani kuwe usiku tu tulale tusiamke. Sina namna siwezi kumlazimisha...
  4. Dola ya marekani inaanguka katika mikono ya Biden kama ccm ilivyotaka kuanguka 2015 katika mikono ya Kikwete

    Salama wandugu, Ikumbukwe Kwanza kwa Nini Dola ya marekani ina nguvu katika biashara ya kimataifa, Katika ajenda za muasisi wa Taifa la marekani George Washington ya Kwanza ilikuwa kuifanya Dola kuwa na nguvu duniani yaani hata Kama wewe unataka kuuza viazi mbatata katika soko la dunia utauza...
  5. Marioo kashashindikana! Unyama alioufanya kwenye Dear Ex nimemnyooshea mikono

    Nisiwe na maneno mengi hebu usikilize afu utoe maksi zako
  6. Jinsi ya kukadiria kiasi cha mlo kwa kutumia mikono yako

    Mikono yako inaweza kutumika kukadiria kiasi cha chakula unachotakiwa kula kwa mlo mmoja. Ufuatao ni muongozo wa kukadiria kiasi cha mlo kwa kutumia mikono kama kipimo: 1. Vyakula vya nafaka, mizizi na ndizi kama vile ugali, wali, viazi: Kiasi sawa na ukubwa wa ngumi moja 2. Matunda Kiasi cha...
  7. Bernard Membe kwa kuwa umerudi CCM na kujinasibu wewe una mikono safi basi rejesha bil 46 ulizokwapua kupitia ubalozi wa Libya

    Ripoti za ndani kabisa zinaonyesha kuwa hakuna kampuni yoyote ile iliyopokea mkopo wa bil 46 ili iweze kujenga kiwanda cha saruji huko Lindi. Ripoti za ndani zinaonyesha wewe ukiwa waziri wa nje ulifanya janjajanja na hizo pesa zikakwapuliwa na hata huyu muwekezaji Meis industries hakupata...
  8. M

    Haikuwa offside kuzidi bega au mikono sio offside

    Tufahamu kwa undani offside rule. Mchezaji lazima azidi mwili sio mkono au bega.
  9. Harmonize nimekunyooshea mikono juu you are talented..! Shuhudia collaboration mpya Marioo ft Harmonize..!

    Mimi nimeona nisiwe mnafki huyu mmakonde akitulia huwa anafanya unyama Sana, tangu asubuhi wimbo naurudia rudia tu. Japo marioo naye hajapoa lakini nachelea kusema harmonize kamfunika marioo Sana mule. Hii ni moja ya collabo bora Sana maana imejumuisha vichwa viwili na wala sio vilaza.. Kwa...
  10. Njombe: Avunjwa mikono na miguu baada ya kukutwa na msichana

    Kijana anayefahamika kwa jina Benard Mkolwe mkazi wa kata ya Madilu, wilaya ya Ludewa mkoani Njombe, amepigwa na kuvunjwa mikono na miguu baada ya kukutwa na msichana Sara Mgohole anayedaiwa kukutana naye nyumbani kwao kwa lengo la tendo la ndoa ikiwa ni siku ya kwanza tangu waanze mahusiano...
  11. Baba arudi nyumbani mikono mitupu baada ya kupotea kwa miaka 42

    Hiltan Kalugho mwenye umri wa miaka 94, amerejea nyumbani kwao nchini Kenya mikono mitupu baada ya kupambana Tanzania kutafuta maisha kwa miaka 42 bila mafanikio. Kalugho aliondoka Kenya mwaka 1980 na kumuacha mkewe na watoto saba na kuingia nchini Tanzania kutafuta maisha. ======== A...
  12. Kipanya leo: mikono inayosaidia watu ni mitakatifu kuliko midomo inayosali.

  13. L

    China na Afrika zinaungana mikono kuonesha moyo wa mshikamano na kujiendeleza

    Rais Xi Jinping wa China hivi karibuni aliutumia barua mkutano wa 35 wa wakuu wa Umoja wa Afrika, akipongeza moyo wa mshikamano na kujiendeleza ulioonyeshwa na nchi za Afrika chini ya uongozi wa Umoja wa Afrika, pamoja na juhudi zao zisizo na ukomo za kujitafutia njia za maendeleo zinazolingana...
  14. Benki ya Kilimo Tanzania haina faida yoyote kwa Mkulima

    Wadau wenzangu wakilimo hiki kinachoitwa benki ya kilimo naona Kama hakina tija yoyote kwa mkulima halisi,najua mkulima yupo kijijini Lyazumbi, Katonto,Muze,Mtowisa,Chikumbulu huku au Ngulugulu huko Ileje ndani na vijiji vyote vinavyohusika na kilimo hawana taarifa na namna ya kunufaika na benki...
  15. Nawa mikono ukitoka chooni

    Acha uchafu. Watu sehemu za bata hawanawi mikono kila watokapo maliwato. Anakuja mezani anataka mgonge mikono ukiongea point. Mi ntakwambia gonga meza. Mazafantaz. Enjoy your sunday.
  16. Aliyewahi kumuona Lil Ommy na shati au tisheti ya mikono mifupi, kuna milioni moja yake aje achukue

    Kama kuna yoyote aliyewahi kumuona Lil Ommy akiwa na nguo ya mikono mifupi. Anicheki nna zawadi yake ya sh million moja.
  17. M

    BASATA huu Wimbo mpya wa Dully Sykes uitwao 'Bigi' mmeubariki kwa Mikono miwili kabisa?

    Napenda sana Mashairi yake yasemayo... Bigi yangu Nene Bigi yangu Pana Bigi yangu Kubwa Bigi yangu Tamu Naona hata Watoto nao wameupenda.
  18. B

    Tuungane mkono dhidi ya Kunyamazishwa

    Haki ya maoni ni haki ya kikatiba. Anayedai katiba kuheshimiwa anastahili kuungwa mkono kikamilifu kwa mukthadha huo. Polepole kupinga kunyamazishwa ni dai halali kwa mujibu wa katiba. Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Pamoja na mapungufu yake kwa kutoa maoni yake, hili la watu...
  19. Kurudisha mabinti waliopata mimba shuleni ni kunyoosha mikono juu na kulikabidhi taifa letu kwa wakoloni mambo leo kwa ajili ya mkopo wa bil 600

    Fikiria binti asiyekuwa na maadili na alipata malezi mabaya akaanza uhuni akiwa na miaka kumi na nne akapata mimba akiwa la sita. Alafu akajifungua kisha akirudi shule akawa anasoma na mabinti ambao hawajawahi kubikiriwa, hatakuwa na ushawishi mbovu kwao ili waonje utamu wa ngono? Tumejustify...
  20. Washindi wa tuzo za MTV EMA 2021 hawa hapa. Diamond atoka mikono mitupu

    The 2021 MTV EMAs are here! The awards show kicked off on Sunday with a ceremony hosted by Saweetie! Some of the biggest global superstars came together for a celebration of music held at Papp László Budapest Sportaréna in Hungary on Sunday, for a night of big performances and exciting wins...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…