mikoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hivi ni kweli hii kuwa ma-RAS wote, Wakuuu Mikoa, ni Usalama wa Taifa?

    Jamani nimeshangaaa sana baada ya kuabiwa kuwa asilimia 90 ya marasi ,wakuu wa mikoa, ni usalama wa taifa. Either ni usalama wa CCM, au usalama wa Rais au usalama wa Taifa. Nimeumia sana , nimeishiwa power. Kwa maana hiyo chadema au upinza kuitoa CCM bila nguvu kubwa ya umma, tusahau kabisa...
  2. B

    Ujenzi Jangwani unaleta umasikini mikoa ya Pwani

    Watu Sasa wanashindwa kujua wafanye Nini, si mvua kama ilivyotabiriwa Bali ni jua Kali sana naw joto la tanuru. Na tunakoelekea kutakuwa na milipuko mikubwa sana ya magonjwa, hii itasumbua sana uchumi wa wakazi wa maeneo haya maana watu wazima na watoto watakuja sana kutokana na hari hii...
  3. Kambi ya wakimbizi Nyarugusu ni kiwanda cha nyota wakubwa

    Humo kambini nyarugusu kuna vipaji vya kutisha , kwanzia muziki , mpira na hata uchekeshaji. Hawa vijana wa kambini hawana uhuru kamili ila ukiwatazama , wana vipaji vikubwa na ujasiri mara kumi ya vijana wetu. Kuna vijana wakibembe unaona kabisa wangepewa sapoti na serikali yetu...
  4. Ziara ya Makamu wa Rais Mhe. Deogratius Ndejembi, katika Mikoa ya Ruvuma, Mtwara, Lindi na Pwani.

  5. Mikoa yote kutumia mfumo wa e-Ardhi ifikapo Juni 2027

    Na Mwandishi Wetu Serikali imepanga kuhakikisha mikoa yote nchini inatumia mfumo wa kidijitali wa usimamizi na umilikishaji wa ardhi, e-Ardhi, ifikapo Juni 2027. Hatua hiyo inayolenga kurahisisha upatikanaji wa hati za ardhi na kuboresha utoaji wa huduma kwa wananchi. Katibu Mkuu wa Wizara...
  6. Hizi ni picha ya magari ambayo yamekuwa kama utambulisho wa mikoa ya Kilimanjaro na Arusha

    Picha
  7. Watu wanashangaa vitendo vya uozo wa maadili mikoa ya pwani wanadhania ni kutokana na usasa kuzidi. Haya mambo yalikuwepo mitandao ndio ime-expose

    Kukithiri kwa vijana wengi mashoga ni kutokana na influence ilioletwa na waarabu kipindi cha utawala wao na haswa wakati wa utumwa. Waarabu waliwalawiti wavulana na kubaka kinyume na maumbile wanawake. Matendo haya yaliacha alama kwenye jamii na yakarithiwa kama ya kawaida Ukiangalia upande wa...
  8. K

    Mikoa inayoongoza kwa mimba za wasichana wadogo kwa mujibu wa shirika la UN

    Taarifa kwa mujibu shirika la umoja wa mataifa la idadi ya watu UNFPA limefanya utafiti kutambua mikoa ya Tanzania inayoongoza kwa mimba za wasichana wadogo kuanzia miaka 15 mpaka miaka 19 Na haya ndio matokeo kulingana na mikoa ya Tanzania Na pia imetoa utafiti wa mikoa ilikuwa na viwango vya...
  9. Mikoa 10 maskini chanzo Kutozingatia Uzazi wa mpango

    NBS imetoa takwimu mikoa 10 maskini zaidi kwa kigezo cha Gdp Mimi kama mwanauchumi sababu number 1 nikiwa mikoa tajwa hapo juu haina uwiano mzuri kati ya nguvu kazi iliyopo na kizazi tegemezi elimu ya uzazi wa mpango inapaswa kutolewa kwa nguvu zote
  10. M

    Mara walianzisha vuguvugu la Mo29, This time ni Mbeya, hakika sijawai kuona mikoa yenye watu wasio na uoga kama Mara na Mbeya. Mikoa mingine mjifunze

    Kinachoendelea huko Mbeya kimeonyesha hii ni version nyingine kabisa ya vijana waliojivua gamba la uoga Gari za polisi zinaonekana kama ambulence, zinawasogelea wakidhani watakimbia ila hawana hofu kama tuliyozoea Mikoa mingine kama Kigoma, Kagera, Rukwa, Singida, Iringa, Ruvuma, Tanga...
  11. U

    Mshangao, Dodoma Nje ya Kumi bora mikoa mikubwa kiuchumi (GDP) Licha ya Mbwembwe za SGR, Magorofa, V8, Ring Road, DAR , MBEYA Kinara, Nini Shida??

    Dodoma imeleta mshituko mkubwa, kwa kukosekana kwake kwenye kumi bora ya mikoa yenye uzalishaji mkubwa (GDP) licha ya mbwembwe za SGR, magorofa na mikwara ya v8 za serikali. Dar es Salaam imeendelea kushika namba moja kwa mbali. Nadhani wachumi mtatusaidia, inaonekana Dodoma ni spenders/...
  12. Kuna Mikoa, Kumiliki gari ni anasa

  13. Hii Ndio Mikoa 10 Tajiri na Maskini wa kipato Tanzania kwa mwaka 2025

    Kwa mujibu wa Takwimu kutoka NBS ,imeonesha wastani wa kipato Cha mtu mmja mmja kitaifa ni Shilingi Milioni 3,544,000 Kwa mwaka sawa na Dola $ 1,390 lakini Kuna Mikoa ambayo Iko juu ya huo wastani wa kitaifa na Mikoa ambayo Iko chini ya wastani wa kitaifa au fukara zaidi. Mikoa yenye watu walio...
  14. WALEZI WA MIKOA NI KITU GANI ? Nani anakishauri CCM ?

    Nasikia walikaa NEC wakakubaliana waanzishe kitu kinaitwa walezi wa Mikoa , mshauri wao sijui hua ni nani unaweza fikiri hakuna wasomi kule
  15. Kuna ukweli gani mikoa imekabidhiwa mawaziri walezi ?

    Kuna maneno kwamba mikoa imegaiwa mawaziri kuwa kama walezi wa hiyo mikoa ndio maana Bashite anatamba Mwanza kama Waziri mkuu au waziri wa wizara zote akikagua vivuko, hospital, n.k huku akitioa maagizo. Kama ni kweli huu utakuwa ubunifu mpya wa CCM ambao haijawahi kutokea duniani 🤣
  16. Wakuu wa Mikoa wana Majukumu gani mpaka Mawaziri wagawiwe Mikoa?

    Leo nimeona yule Kiranja wa mambo ya "Viburudisho" yupo kwenye Sato na Sangara akitoa maagizo lukuki kuhusu maendeleo ya eneo hilo. Nimepata shida sana kuelewa job descriptions za Mawaziri na Wakuu wa Mikoa. Ina maana kuwa Wakuu wa Mikoa wameshindwa kusomamia maeneo yao mpaka Mawaziri wagawiwe...
  17. Huenda viongozi wengi zaidi wa CHADEMA wa kanda, mikoa na wilaya mbalimbali nchini wakajuzulu kabla na mara tu baada ya hukumu ya Mwenyekiti wao Taifa

    My friends, ladies and gentleman, Kuna gharika ya viongozi wa chadema kuachia ngazi inaendelea... In fact, sote ni mashahidi wa wimbi hilo la viongozi wa chadema wa kanda mbalimbali, mikoa na wilaya mbalimbali nchini, wakistaafu siasa, kuomba kupumzika uongozi wa chadema na wengine wakijiuzulu...
  18. Sababu gani zinapelekea wanaume wa mikoa ya bara kuongoza mauaji ya visa vya mapenzi.

    Kesi nyingi za mauaji ya wapenzi au wake ni wanaume wa bara wakifanya mauaji. Tatizo ni nini ? Kuna namna fulani vijana wa Pwani wanalelewa kikike ( ki feminine) zaidi kuliko vijana wa bara, hii utaiona katika namna wanavyohusiana kilaini laini na wepesi na mama, dada, shangazi zao na hata...
  19. Baada ya Nchimbi, CCM yapanga upya safu ya makatibu wa mikoa

    Chama cha Mapinduzi (CCM) kimefanya mabadiliko makubwa katika safu ya watendaji wake wa mikoa, hatua ambayo imeacha maswali kuhusu sababu ya kubadilishwa kwa karibu makatibu wote wa mikoa ya kichama wakati chama kikijiandaa kuingia katika mchakato wa uchaguzi wa ndani. Katika mabadiliko hayo...
  20. Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimefanya mabadiliko ya kiutendaji katika ngazi ya Makatibu wa CCM wa mikoa.

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…