miaka

Fushigi Yūgi (Japanese: ふしぎ遊戯, lit. "Mysterious Game"), also known as Fushigi Yûgi: The Mysterious Play or Curious Play, is a Japanese shōjo manga series written and illustrated by Yuu Watase. It tells the story of two teenaged girls, Miaka and Yui, who are pulled into The Universe of the Four Gods, a mysterious book at the National Diet Library. It is essentially based on four mythological creatures of China. Shogakukan serialized Fushigi Yûgi in Shōjo Comic from December 1991 to May 1996 and later compiled the manga into eighteen tankōbon volumes.
Studio Pierrot adapted it into a fifty-two episode anime series that aired from April 1995 to March 1996 on TV Tokyo. The anime spawned three original video animation (OVA) releases, with the first having three episodes, the second having six, and the final OVA, Fushigi Yûgi: Eikoden, spanning four episodes.
A thirteen-volume Japanese light novel series, written by Megumi Nishizaki, followed Fushigi Yûgi. Shogakukan published the novels from January 1998 to September 2003. Watase also released two prequel manga series: Fushigi Yûgi: Genbu Kaiden, which ran from March 2003 to February 2013, and Fushigi Yûgi: Byakko Senki, which began serialization in August 2017.
In North America, Viz Media licensed the manga series for an English-language release in 1999. The anime series was first licensed by Geneon Entertainment and re-licensed by Media Blasters in 2012.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Kanda ya ziwa mabinti wanaolewa na miaka 15, hii si sawa

    Nimeishi Musoma na sasa niko Geita, nilichokiona huku serikali na wazazi tuamke. Ukienda clinic ya wajawazito utashangaa kwenye foleni kuna vibinti vya muaka 15 vina ujauzito. Nilishangaa kata ya Mganza jirani kabisa na Chato binti ana miaka 20 anawatoto wawili, alishaolewa na kuachika. Unajua...
  2. HUKUMU: Levinus Kidanabi, hajamkashifu Rais Samia, Kaonewa

    Salaam Wakuu, Tusaidiane kuangazia hii kesi, tupo huru kuongea sababu Hukumu imeshatoka. Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Simiyu ilimhukumu kifungo cha miaka saba na faini ya Tsh 15 milioni, Levinus Kidanabi maarufu kama 'Chief Son's kwa makosa matatu ikiwamo kumkashifu Rais wa Jamhuri ya...
  3. P

    Miaka 60 ya uhuru bado maji shida. Huku ni kukosa maono

    Najua serikali yetu imefanya mengi sana ,Pia nimshukuru Mungu kuwa na viongozi ambao toka uhuru wamelinda amani ya nchi yetu na kutetea umoja na mshikamano wetu. Kiukweli, zipo nyanja tumepiga hatua kwakiasi na zipo nyanja ambazo bado sana. Swala la maji:Hasa kwa mkoa au jiji linalochangia...
  4. Singapore: Daktari feki wa wanawake Facebook, jela miaka 4

    Mtuhumiwa huyo Ooi Chuen Wei, 37, ni Mwanaume ambaye alikuwa na utambulisho wa bandia katika mtandao huo amekutwa na hatia ya kuwadanganya wanawake na kuwashawishi wamtumie taarifa zao ikiwemo picha za sehemu zao za siri. Ooi Chuen alikuwa akiwasiliana na Wanawake na kuwatumia fomu ya ujaza...
  5. Maisha yangu baada ya miaka 37!

    Habari. Nina miaka 37. Sifurahii maisha katika umri huu. Kama kuna mtu anaweza kutoa ushauri wa kunikomboa asisite, Mshana Jr n.k. Mtiririko wa matukio ni kama ufuatavyo; 1. Ninafanya kazi Serikalini mshahara take home ni 1.3 m, hapo nina mkopo wa miaka 5 NMB. 2. Kazi nimeanza tangu 2012...
  6. Iran: Aliyeishi miaka 54 bila kuoga afariki dunia

    Mwanaume wa Iran ambaye ameishi zaidi ya miaka 50 bila kuoga, hatimaye ameaga dunia akiwa na umri wa miaka 94, ila huko huko Iran, mwanamke aliuawa kisa kipande cha nywele kilijichomoza kwenye ushungi.... An Iranian man nicknamed the "dirtiest man in the world" for not taking a shower for...
  7. K

    Maono yangu kwa Tanzania baada ya miaka 3 (2019 mpaka 2022)

    Nimekuja Tanzania kwa likizo baada ya miaka 3 na mpaka sasa nipo hapa na haya ndiyo maono yangu tangu 2019 mpaka leo Sehemu ambazo zina mabadiliko mazuri 1. Ujenzi kwa ujimla umeongeka hasa airport terminal ya Dar ambayo imepunguza usumbufu sana 2. Urafiki kwa wageni umeongezeka airport sana...
  8. Rais Samia mfute kazi Waziri Mkenda; anakuchafua nje ndani

    Naingia kwenye mada moja kwa moja na kwa ufupi bila kumchosha mtu yeyote. Nawapongeza Baraza la Mitihani (NECTA) kwa kufanya kazi nzuri ya kufichua uovu uliofanywa na Shule ya Chalinze Islamic Modern School kuwabadilishia wanafunzi 7 namba za mitihani kwa sababu wanazozijua wao wenyewe. Lakini...
  9. Binadamu ambaye hajaoga kwa miaka 50 afariki akiwa na miaka 94

    Amou Haji aliyetajwa na vyombo vya habari kuwa "mtu mchafu zaidi duniani" amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 94, ikiwa ni miezi michache tu baada ya kunawa kwa mara ya kwanza katika miongo kadhaa. Amou alikuwa amekataa kutumia sabuni na maji kwa zaidi ya nusu karne, akihofia ingemfanya...
  10. Baada ya mashambulizi: Tumerejea hewani, Tupo imara zaidi!

    Wakuu, Tunafarijika kuwafahamisha kuwa tumerejea hewani baada ya kupata mashambulizi ya makusudi yenye kulenga kuzuia upatikanaji wa huduma kwa watumiaji wa JamiiForums (DDOS Attack) kwa takribani masaa 7, kuanzia saa 7 mchana hadi saa 2 usiku. Mashambulizi haya yaliyolenga kuidhoofisha...
  11. ACT Wazalendo kuzindua Ofisi Mpya ya kisasa huku CHADEMA wakiwa wamepanga uswahilini zaidi ya miaka 20

    Penye njia pana njia Act Wazalendo wana nia thabiti ya kuwa ruling political party. Chadema imejaa waswahili na wajanja ambao hawana nia njema kabisa.
  12. Moshi: Mzee wa miaka 70 akatwa uume

    Katika hali ya kustaajabisha mzee wa miaka 70, mkazi wa kijiji cha Uru Shimbwe, mkoani Kilimanjaro, Uruban Paul amevamiwa nyumbani kwake usiku na watu wasiojulikana na kisha kumkata sehemu zake za siri. Akielezea tukio hilo lililotokea Oktoba 16, mzee huyo alisema kuwa alikuwa akitoka kwenda...
  13. Musoma: Ahukumiwa miaka 30 kwa kumbaka mara kwa mara binti yake wa kufikia

    Mahakama mkoani Mara imemhukumu Paschal Anatory mkazi wa Musoma miaka 30 gerezani baada kutiwa hatiani kwa kosa la kubaka mara kwa mara binti yake wa kufikia anayesoma shule ya msingi. Akitoa jumuisho, hakimu wa Serikali aliomba mahakama itoe adhabu kali ili iwe fundisho kwa wengine.
  14. K

    Soccer Academy kwa watoto kuanzia miaka 3 na kuendelea

    Habari wana Jamii Forums. Sisi ni Shining Sports Organization wamiliki wa Shining Sports Academy. Ni Academy ya michezo mbali mbali ila kwa sasa tumeanza na mchezo wa soka. Mazoezi yanafanyika viwanja vya Masaki Sports Park, Karume Road, Masaki. Tunafanya session za watoto kwa ratiba...
  15. K

    Soccer Academy kwa watoto kuanzia miaka 3 na kuendelea

    Habari wana Jamii Forum. Sisi ni Shining Sports Organization wamiliki wa Shining Sports Academy. Ni Academy ya michezo mbali mbali ila kwa sasa tumeanza na mchezo wa soka. Mazoezi yanafanyika viwanja vya Masaki Sports Park, Karume Road, Masaki. Tunafanya session za watoto kwa ratiba ifuatayo...
  16. Saa tumepata Rais baada ya miaka mitano iliyopita kutokuwa na Rais

    Jamani Nani ambaye haoni how strong, stable minded and good visionary Rais Samia anavyoonesha? Kwa sasa nchi Ina mikakati, sera nzuri za kuwavutia wawekezaji, sera ambazo haziwakimbizi wawekezaji Bali kuwavutia. Utalii ndonusiseme. Vijana waliosoma tourism wanapata ajira daily Mana mahoteli...
  17. SIMIYU: Levinus Kidanabi Jela miaka saba na faini mil 15 kwa kumkashifu Rais Samia

    VIjana wawe makini na mgroup ya Watsapp === Bariadi. Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Simiyu imemhukumu kifungo cha miaka saba na faini ya Sh15 milioni, Levinus Kidanabi maarufu kama 'Chief Son's kwa makosa matatu ikiwamo kumkashifu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan...
  18. B

    Elimu ya Msingi kwa miaka sita: Je, tumejiuliza mambo haya?

    Kwanza kabisa nimshukuru Mungu kuniwezesha kupata elimu bora kabla siasa za nchi yetu hazijashika hatamu katika ELIMU. Tunaposema tunataka elimu ya MSINGI iwe miaka sita, kusiwe na mtihani darasa la sita, wanafunzi wote wanaomaliza darasa la sita waende sekondari. je tumejiuliza mambo...
  19. Nkasi: Jela maisha kwa kumbaka mtoto wa miaka saba

    Mahakama ya wilaya Nkasi mkoani Rukwa imemhukumu kifungo cha maisha jela mfanyabiashara wa mjini Namanyere, Athanas Exavery (32) baada ya kumtia hatiani kwa kosa la kumbaka mtoto wa kike wa miaka saba. Akitoa hukumu hiyo leo Alhamisi Oktoba 20, 2022 Hakimu Mkazi Mwandamizi Mfawidhi wa mahakama...
  20. Rais Samia ashiriki Maadhimisho ya Miaka 25 ya Shirika la Wanawake katika Sheria na Maendeleo Barani Africa - WiLDAF

    Haya ni baadhi ya mambo yaliyogusiwa kwenye Maadhimisho haya ya Miaka 25 ya Shirika la Wanawake katika Sheria na Maendeleo Barani Afrika (WiLDAF); Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi WiLDAF - Monica Mhoja Sheria ni nyenzo muhimu katika kuleta mabadiliko hasa ikitumiwa vizuri. Maombi ya Monica...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…