meli ya mafuta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Meli ya mafuta ya Iran "line-breaker' imeanza safari kupita kizuizi cha jeshi la marekani

    Iran imetangaza kuwa hii ndo itakuwa "the last confrontation against imperialism " . Meli ya Iran VLCC iliyobeba mafuta imeanza safari kupita mlango bahari wa hormoz na kutumia nguvu kupita katika kizuizi Cha jeshi la marekani . Iran imetangaza endapo meli hiyo itashambuliwa na jeshi la marekani...
  2. Iran yashambulia meli ya Mafuta huko Khasab,Oman

    Iran ilishambulia meli ya mafuta karibu na pwani ya Khasab, Oman, karibu na Mlango-Bahari wa Hormuz. Lakini Mzee wa Uharo Ritz yeye atasema imepogwa huko Hormuz wakati anajitoa ufahamu kuwa huko Hormuz kuna Naval-Bloackade ya Marekani!!
  3. C

    Meli ya mafuta yashika moto baada ya kugonga mabomu mlango bahari wa Hormuz

    Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran (IRGC) limesema meli kubwa ya mafuta iliyokuwa imebeba zaidi ya mapipa milioni mbili ya mafuta ghafi imezama baada ya kugonga bomu la baharini na kushika moto katika Mlango wa Hormuz. Kwa mujibu wa IRGC, meli hiyo ilikuwa moja kati ya meli...
  4. Meli ya mafuta ya Thailand yashambuliwa na Iran

    Meli ya mizigo ya Thailand, Mayuree Naree, imeshambuliwa Jumatano ilipokuwa ikipita katika Strait of Hormuz baada ya kuondoka katika Khalifa Port nchini United Arab Emirates. Kwa mujibu wa Royal Thai Navy, wanamaji 20 wameokolewa na jeshi la wanamaji la Oman huku juhudi zikiendelea kuwatafuta...
  5. US wameiteka meli ya mafuta ya Urusi

    Habari kubwa ya leo duniani imekuwa ni jeshi la US kuiteka Meli ya mafuta iliyotoka Venezuela na kudhaniwa ikielekea Russia. Meli hiyo ilikuwa na bendera ya Russia imedakwa huko Bahari ya Kaskazini. Russia walijaribu kutuma Nyambizi na manowari kwenda kuilinda lakini hawakufanikiwa. US wanadai...
  6. US ameanza uharamia. Amevamia, ameteka meli ya mafuta huko Venezuela.

    Majeshi ya Marekani yamekamata meli ya mafuta katika pwani ya Venezuela, ikiwa ni mpango wa Marekani kuwekeza shinikizo kwa Serikali ya Venezuela Akizungumza Ikulu ya White House siku ya Jumatano, Rais Donald Trump alisema meli hiyo ni kubwa kuliko zote zilizowahi kukamatwa. Video iliyotolewa...
  7. Serikali inaendelea na ukarabati wa meli ya mafuta ya MT Sangara mkoani Kigoma kwa gharama ya Dola za Marekani milioni 3.60

    Serikali inaendelea na ukarabati wa meli ya mafuta ya MT Sangara mkoani Kigoma kwa gharama ya Dola za Marekani milioni 3.60 ambao umefikia asilimia 98. Mradi huu utakapokamilika utawezesha kubeba shehena ya mafuta kiasi cha lita 410,000.
  8. Meli ya mafuta ya Ugiriki yakiuka marufuku ya kusafiri kwa bandari za Israel yalipuliwa.

    Wanaukumbi. Ansar Allah ya Yemen AILIPUA meli ya mafuta ya Ugiriki katika Bahari Nyekundu kwa kukiuka marufuku ya kusafiri kwenda bandari za Israel. Yemen wamesema wazii kabisa hawataki kuona Meli yeyote ikipita red sea kupeleka bidhaa zozote Israel kwa wauaji wa Watoto wa Gazza...
  9. Komandoo wa Iran wateka meli ya UAE iliyokuwa inapeleka Mafuta Israel

    Komandoo wa Iran wameikamata meli ya Falme za Kiarabu iliyokua inapeleka Mafuta na gas kwenye meli za Kivita za Israel. Wakati huo huo Yemen wamesema watakilipua kisima Cha mafuta Cha Israel kilichopo baharini ⚡️BREAKING Iranian commandos seized a UAE-run vessel carrying marine gas oil for...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…