mdau

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    Mdau Huwa unasalimia mtu unayekaa naye siti moja kwenye daladala au unakaushaga

    Habari wakuu Binafsi mimi huwa na mikausho mikali sana ili kutojipa stress maana wengi kwenye dala dala wanakuwa kama wamevurugwa hivi, unaweza kusalimia mtu halafu akakunyamzia. Vipi Wewe unatabia gani kwenye daladala ? #Oktoba_tunatoka
  2. Mdau amchana vibaya Julius Nyerere

    Katika pita pita zangu kwenye mitaa ya YouTube, nimekutana na video ya Rais Julius Nyerere akiwa New Delhi, India, akipokea tuzo. Ilikuwa mwaka 1982. https://youtu.be/aGHLfV4S3CM?si=y1MsBA83j5P1y4p0 Kwenye ukurasa wa mabandiko wa chaneli ya mwanahistoria Adeyinka Makinde, kuna mdau katema...
  3. SI KWELI Mdau kwa kutumia ujuzi ulionao bainisha dosari zinazoonekana katika video hii

    Wakuu, Kumekuwa na hiki kipande cha video huku ikielezwa kuwa hakuna kinachowashinda Bodaboda kubeba. Kwa kutumia ujuzi wako wa kubaini iwapo maudhui ni halisi au lah! Tuambie dosari zinazoonekana katika video hii
  4. GE2025 Mdau wa Twitter aahirisha kujinyonga hadi tarehe 29/10/2025

    Kutoka Twitter anasema alitaka kujinyonga kutokana na depression za maisha, lakini ameahirisha hadi siku ya maandamano ya Mange Kimambi tarehe 29/ 10/ 2025.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…