mchongo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Inatia hasira kubwa, masikini Lisu na makabrasha yote kujitetea kumbe hukumu ni ya mchongo! Preditermined!

    Nimelifikiria, nikatokwa na machozi! Masikini alibeba makabrasha, mabooks na madictionary kumbe hukumu ni predetermined! Mungu anawaona na atamlipia
  2. K

    Je mafuasi na machawa ya samia kwa uelewa wenu kisaikolojia yana hali gani baada ya kuhumu ya mchongo kwa lissu jana?

    Sote tunafahamu kuwa lissu alishtakiwa kwa uhaini ambapo mafuas na machawa ya samia humu jf na kwingineko yakaanza kuimba wimbo mhaini dawa yake ni kunyongwa tu, "of course machawa haya wakati yalipokuwa yakiimba wimbo kuwa dawa ya lissu ni kunyongwa tu mimi binafsi niliyaona mehu maana nikiwa...
  3. Tundu Lisu kuamua kujidhuru na kujiangamiza mwenyewe kwa njaa kabla ya hukumu yake, ni kutafuata umaarufu na public sympathy isiyo na tija

    Kwasababu kwa kawaida, mtu mwenye changamoto ya afya ya akili ndie pekee huwaza, huamua na kutenda mambo au vitu vinavyo mdhuru, vinavyo muumiza, vinavyo muathiri na pengine vyenye uwezekano mkubwa wa kumuangamiza yeye mwenyewe. Je, mtetezi huyo wa haki za binadamu wa mchongo, anakusudia...
  4. Yohanna Mbatizaji (John The Baptist) ndie aliekuwa nabii wa mwisho na hakuna alietokea tena kuwa nabii. Kuwa makini wewe Mkristo na manabii wa mchongo

    Usiwaite watu nabii kisa wengine wanawaita. Usijiunganishe na mdhabahu yao maana hujui ni manabii wa miungu ipi. Siku njema
  5. F

    Kwasasa mchongo ninaouskilizia ni kifo tu,uteuzi nimekosa,kazi za afya ni kuutafuta umasikini tu

    Kitu ambacho sitaki ambacho sitaki mtoto wangu aje afanye au aje kusomea ni hizi takataka zinazoitwa kozi za afya udakitari,Uuguzi,famasi,maabara na takataka zingine za afya ni ujinga hizi kozi yaani inshort hazikufikishi popote pale ni zaidi kuukimbilia au kuushika umasikini ukisomea hizi...
  6. Putin super power wa mchongo

    Vladimir Putin, yaani miaka ya nyuma ulikuwa ukisikia hili jina unatetemeka, Wakati anaivamia Ukraine ilionekana ndani ya muda mfupi tu ataiteka Ukraine, piga nikupige baina yake na kanchi kadogo, huku akichezea kichapo heavy, kisha kukimbilia africa kushawishi vijana kwenda kupigana na Ukraine...
  7. M

    Naomba kazi au mchongo wowote ili niweze kujihudumia Mimi na wanaonitegemea

    Habari za wakati wakubwa kwa wadogo! Ni Furaha yangu kuwa hapa kwa muda na wakati kama huu kwa leo la kuwaomba kazi au mchongo wowote utakaonisaidia. Mimi ni kijana wa miaka 27 na nipo Dar es salaam kwa sasa, Nina skills zifuatazo: 1. Ni Mwalimu wa mathematics na chemistry kwa Taaluma 2. Ni...
  8. Yaliyojiri Leo mahakamani kwenye kesi ya mchongo ya TUNDU LISSU..soma hapa

    #UPDATES_KESI_YA_UHAINI Leo Agosti 13, 2026 Jana tuliishia part 236 so leo tunaendelea na -; Part 237 Hatimaye, mida hii ya saa. 11:07 Asubuhi, Mahakama inaanza. Wanaingia Mawakili wa Serikali, Anaingia Mhe. Lissu na kundi la askari magereza, leo akiwa na vibe la kutosha kama kawaida...
  9. Nahitaji 260,000k Tarehe 18 mwezi huu naombeni kazi au mchongo mpaka tarehe hiyo niwe nimepata hiyo hela

    JF Jeshi kubwa Niko hapa sihitaji mnipe Hela naombeni kazi au shughuli ya kufanya Ili mpaka kufikia tarehe tajwa hapo (Laki mbili na elfu stini za kitanzania) niwe na kiasi hicho Cha Pesa. Nipo Pugu Kinyamwezi hapa msaada wenu ni WA muhimu Sana. Thanks in advance
  10. Mchongo Kamili wa Kupata Wateja wa Utalii wa Nje Bila Madalali

    Wadau wa utalii na watafutaji wote, ukweli mchungu ni kwamba kuwa na gari zuri la safari au kampuni iliyosajiliwa haikuhakikishii wateja. Watu wanaopiga pesa ndefu kwenye sekta hii hawana ushirikina wowote, bali wanajua mchezo mzima wa masoko ya kidijitali wa kudaka watalii wa Marekani, Ulaya...
  11. Mwanamke/mwanaume Je una juzi wowote na huna mchongo wowote jaribu hii

    Wakuu Kuna app imeanzishwa tz ambayo ipo playstore na app store inaitwa tapchap hapa wanakutana kati ya mtoa huduma na muhitaji huduma, Mfano mtu anataka mtu wa kumfanyia usafi,fundi n.k wanakutanishwa na app na kuelewana na muhusika kwenda kufanya kazi husika BECOME A SERVICE PROVIDER ON...
  12. Sikupi pesa ila nakupa mchongo, amua wewe

    Siku chache zilizopita niliwapa stori ya rafiki yangu wa kijani ambaye amenisaidia kuona upande mwingine wa dunia ya freelancing. Wengi mliuliza: "Huyo rafiki ni nani?" Leo nimeamua kumleta rasmi. Jina lake ni FIVERR. Usichanganyikiwe na kizungu, ngoja nikuelezee kwa lugha rahisi. Fikiria una...
  13. Mwenye dili la kuvuna mazao naomba aniunganishe

    Nimechoka kukaa bila kazi. Kama kuna mwenye dili la kuvuna mahindi au mazao mengine, naomba anielekeze. Kwa sasa nipo Dar es Salaam na niko tayari kusafiri popote penye kazi. Naomba mwenye taarifa au mchongo wa kazi ya kuvuna mazao anisaidie.
  14. D

    Kakistocracy: Ndiyo maana wananunua PhD za mchongo kila kukicha

    Tanganyika ndiyo tumekwishavuna mabua hivyo baada ya kucheka na nyani, tuendelee kuimba Mama, Mama…
  15. Tunawaandama wakina ifropreneur, kiranga na eli cohen ila ni watu ambao wapo huru nafsini mwao tofauti na sisi tuliofungamana na dini za mchongo

    Kuna jamaa nimesoma uzi jana kuwa hata baada ya kupata mkopo wa 30mln akaenda kutoa fungu la kumi, leo analia anafirisika ila alipopeleka 3m wanasonga. Kuna mwingine niliona uzi anasema hakuna mahali kwwnye quran na bible imeandikwa kuwa ukioa msichana mdogo hata wa miaka 10 ni kosa. Sasa...
  16. Nigeria: Waziri wa Elimu Tunji Alausa apiga marufuku waliopata shahada za heshima kutumia title ya "Dr"

    Serikali ya Shirikisho la Nigeria imepiga marufuku watu waliotunukiwa shahada za heshima kutumia jina la “Dr” mbele ya majina yao katika matumizi rasmi, kitaaluma au kikazi. Waziri wa Elimu wa Nigeria, Tunji Alausa, alisema kutumia cheo hicho kana kwamba mtu amekipata kupitia masomo rasmi...
  17. K

    Wakati Dangote , Museveni na Rutto wakiongelea Uwekezaji Tanga! Samia yupo na tume ya mchongo!

    Wakati Dangote , Museveni na Rutto wakiongelea Uwekezaji Tanga! Samia yupo na tume ya mchongo!. Jana Daongote alikuwa anaongelea uwekezaji mkubwa wa kiwanda cha kusafisha mafuta Tanga Tanzania mwenzetu Mama yuko busy kujarabu kuficha mauaji na kutafuta kiki za machawa. Hii inaonyesha Mama...
  18. J

    PostGE2025 Wamejaza magari ya washa-washa mitaani kabla ya Ripoti ya Chande kukabidhiwa

    Yaani kuua muue wenyewe kujichunguza mjichunguze wenyewe, ripoti mpike wenyewe na bado mnaogopana wenyewe loh 😂👏👏👏
  19. E

    Iran ndugu yetu ameshindwa kuruhusu Meli zetu au ndugu wa mchongo

    Nilimuona Kombo anatoa pole kwa ndugu zetu katika imani balozi wa Iran. Sasa hiyo pole mbona ndugu zetu hawarudisha ukarimu huo kuruhusu meli zetu zipite. Ukizingatia kiongozi mkuu ni muislamu tena anaipenda Iran hadi kutumia wajumbe kutoa pole.
  20. Kesi ya Lissu: Mahakama yatupilia mbali ombi la Jamhuri la kuongeza ushahidi

    Ulinzi mkali ukiwa umeimarishwa katika viunga vya Mahakama Kuu, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam wakati Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu akifikishwa mahakamani hapo. Yaliyojiri Mahakamani; Kesi ya Lissu: Mahakama kujadili ombi Jamhuri kuongeza ushahidi wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…