mbwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    Msitu umejaa wawindaji. Miruzi mingi humpoteza mbwa, hata kwa Ndugai tutahama kama ilivyokuwa kwa Polepole.

    Nitarudi baadae, kama wengine hawajanielewa. Nasongea kuangalia Mayele, Fei na wataalamu wa mpira wa Yanga.
  2. Kwa jinsi zilivyo rahisi kupatikana mwakani nategemea kuwatunuku Mbwa na Paka wangu PhD's za Utiifu Kwangu

    Kwakuwa Siku hizi kupatikana kwa PhD's ( Doctorates ) ni rahisi nchini Tanzania mwakani GENTAMYCINE nami najiandaa Kukiomba Chuo Kikuu Kimoja ( siyo cha Genius cha SAUT ambacho nimesoma na Kupikika vyeka ) kuwatunuku ambapo nitalipia pia Mbwa wangu Kipenzi aitwae Baitekon na Paka wangu Rafiki...
  3. Ufugaji wa mbwa na chakula chake

    Habari za majukumu wanajamvi, Mbwa wangu wamekua na changamoto ya kupoteza afya ikiambatana kunyonyoka manyoya na kupoteza uwezo wa kuona kufikia hatua hadi anajigonga sehem kwa kutoona. Kuna baadhi ya watu wamenambia hawa mbwa aina ya GS ukiwalisha dagaa hio ndio athari yake. Swali langu je...
  4. Nimeota nafukuzwa na simba pamoja na mbwa wawili

    Habari wakuu, Usiku nikiwa nimelala niliota nipo porini mwenyewe mara ghafla nikaona mbwa wawili wananikimbilia speed namimi nikaanza mbio kule mbele yupo Simba nae anakuja speed daah kwakweli niliishiwa pozi maana wote walikuwa wamenizunguka sasa hapo nikajikuta nimeshtuka na usingizi wote...
  5. Mkija huku Mmelewa, Mnatongoza hovyo, mnatubambikia Bili za Maji na Kutuomba Rushwa mtang'atwa sana tu na Mbwa wetu Wakali

    Wasoma mita wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Shinyanga (SHUWASA) wamelalamikia kitendo cha baadhi ya watu kuwanyanyasa kwa kuwafungulia mbwa na kuwafukuza wakati wakitekeleza majukumu yao ya kuandaa ankara za maji. Chanzo: ITV Tanzania Na nimeshanunua Mbwa wengine jana.
  6. Nataka kununua mbwa aina ya bull dog. Ni wapi nitapata?

    Natafuta bulldog Wapi nitapata? Nikikosa bulldog Basi mbwa Kama huyu. Call 0655173113
  7. Waalgeria watoa Kipigo kingine cha mbwa koko kwa Niger Aggrgate: 10-1

    Aisee,,hawa Algeria wanatafuta nini bandugu!! First game kamdunda NIGER GOLI 6 kwa 1, Marudiano ya leo kamdunda GOLI 4 kwa 0 😁 dahh. very sad NIGER 0-4 ALGERIA, FULL TIME JUMLA YA MAGOLI KATIKA GAME 2 WALIZOKUTANA, ALGERIA 10-1 NIGER POLENI SANA NIGER. Mungu ibariki taifa stars, angalau...
  8. Kipigo cha mbwa koko: Algeria 6-1 Niger 😆

    Safi sana Algeria kwa kipigo cha mbwa koko dhidi ya Niger, mmepiga pira la kiume mammae kama kawaida yenu, mpira mnaujuwa adi mnakera 😄,, hawa washkaji wanapiga soka acha kabisa bandugu, wanacheza kwa akili nyingi na kwa ushirikiano, unaweza sema hawaishi afrika hawa njemba. Soka lao lakipekee...
  9. Mmiliki wa Mabasi ya SATCO, uliowakabidhi gari ya Kahama-Dodoma wanakuharibia biashaara

    Gari ni Yutong nzuri, gari inasimama kila kituo, inachukua hadi abiria wa buku 2. Wanaenda wanavyotaka, wanaweza wakasimama tu bila sababu ya msingi. Kahama tumetoka saa 12 ndo tunaingia Dodoma hapa. Hakuna abiria ametoka Kahama na hii gari anaweza kuipanda tena hata kwa bure.
  10. C

    Hassan Mwakinyo: Nina magari matatu. Moja analitumia kumpeleka mbwa baharini kuogeshwa

    Bondia Hassan Mwakinyo amesema Kwamba hawezi kupigana kugombania gari kwasababu hana shida ya gari kwani ana magari matatu na kati ya hayo kuna moja anatumia kupeleka Mbwa wake Baharini kuogeshwa. Huyo ndo Mwakinyo bwana Mdigo mwenye maneno yake. Bado mnataka apigane na Twaha Kiduku?
  11. Walichofanya GSM ni kututoa Akili, Kutubagaza na kutuita sisi Manyani na Mbwa

    Leo hii mimi mwenye akili timamu namshangiliaje Haji Manara? Huyu mshenzi ambaye alitutukana kwa kila tusi aliloweza kututukana leo hii sisi wenye akili tubebane naye? Haya ni matusi. Na kutuaminisha alichosema Luc Eymael kuwa ni sahihi...Sisi ni Nyani au Mbwa. Na hili sitokubaliana nalo. Kuna...
  12. Mbwa amedekezwa sasa ana deka na anadeka tena

  13. J

    Mbwa wa Polisi kutumika dhidi ya CHADEMA limetuvunjia heshima Watanzania

    Nimesikitishwa na kitendo cha Polisi kutumia mbwa dhidi ya Chadema. Kwa sisi wenye umri mkubwa kidogo tunakumbuka picha za Polisi wa makaburu wa Afrika Kusini.
  14. Serikali kuwajibu Askofu Gwajima na Polepole ni kama kubwekea kila mbwa barabarani

    Friends and Enemies, Kuna msemo unasema kwamba kumrushia jiwe kila mbwa anayebweka barabaran huwezi kufika safari yako, Vipo vitu vya msingi vya kulumbana na Serikali,kama hivi ongezeko la gharama za tozo za miamala, kupanda mafuta na gesi,labda Tume Huru ya Uchaguzi na kadhalika. Lakini kukaa...
  15. Sumu gani inaua mbwa au paka haraka?

    Samahani naomba mnisaidie ni sumu ipi inaua mbwa maana wanakula vifaranga na wanaingia ndani kula mayai, nilimtega kwa sumu ya panya anapeta tu mtaani Nahitaji msaada wenu maana nikimuacha atamaliza kuku wangu.
  16. Aina za ujasiriamali zinazoweza kumtoa kijana kimaisha

    1. ufugaji wa kuku. Ufugaji wa kuku wa kienyeji ama kuku wa kisasa. Faida zake zinatokana na uuzaji wa mayai, nyama ya kuku, kuku wenyewe, vifaranga, mbolea n.k _ Ndege wengine wenye faida kama za kuku ni kanga, bata wa aina tofauti, njiwa, kware n.k 2. Ufugaji wa mbuzi. Mbuzi faida zake...
  17. Marekani imetangaza marufuku ya mwaka mmoja ya kuagiza mbwa kutoka nchi 113 kwa kuhofia ugonjwa wa kichaa cha mbwa

    Kituo Cha Marekani cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa (CDC) kimetangaza marufuku ya mwaka mmoja ya kuagiza mbwa kutoka nchi 113 kwa kuhofia ugonjwa wa kichaa cha mbwa. Marufuku hiyo inahusisha mbwa wote, pamoja na wale wanaotumika kutoa msaada wa kifikra kwa wanaohitaji usaidizi wa wanyama hao na...
  18. M

    Mbwa mwitu waliovaa sura ya Kondoo wametunyonya kama kupe

    Mwanzo, hatukuwatambua tulijua ni washirika wenzetu wazuri tunaosafiri kwenye safina moja kuelekea nchi ya maziwa na asali, Kaanani yetu. Kwa jinsi walivyokuwa wanasifu na kuabudu pamoja na kupanda kwenye madhabahu mbalimbali kutoa mahubiri ya kutujaza imani, kweli tulijua ni kondoo wazuri...
  19. K

    Kamanda Gilles Muroto Astaafu, karibu uraiani upambane

    Mzee Muroto nakukumbusha muda wa kutoa amri umekwisha rasmi umeingia kupokea amri. Umestaafu ukiwa umejikita zaidi kutetea chama kuliko Jeshi, nikuombe uwasiliane na chama kione wataweka utaratibu gani wakukuwezesha kuwahi kuamka kwenda sehemu kujikeep busy. Nakukumbusha pia kwamba maisha mapya...
  20. Tabia hii ni ya mbwa au kuna viumbe wengine wanayo?

    Wakuu uzi huu nimewaletea kwa kuwa na uhakika jibu nitalipata kwenye hadhra hii ya JF kwa vile yenyewe ni JUMUISHO la FIKRA(JF). Bila kupoteza mda suali langu ni hivi 1)badala ya mbwa kuna viumbe wengine wanaochelewa kutoa shahawa wakati wa kuingiliana? 2) Kitu gani kinachosababisha mbwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…