mbwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ni sahihi Mbwa kupewa maisha mazuri kuliko binadamu?

    Kuna Mbwa na Paka wanaishi maisha mazuri sana kuliko binadamu wengi. Unakuta Mbwa wanalishwa vizuri, wanakaa pazuri na wanabebwa kwenye gari za kifahari. Je jambo hili la kuwapa Mbwa na Paka maisha mazuri na kuacha kusaidia binadamu wenye maisha mabaya wanaoteseka kwa kwa kukosa hata mahitaji...
  2. Mataifa yanayokula mbwa

    Mataifa yanayokula mbwa duniani China: Hili ndilo taifa linaloongoza kwa ulaji wa nyama ya mbwa duniani. Kuna tamasha maarufu linaloitwa Yulin Dog Meat Festival linalofanyika kila mwaka, ingawa serikali imeanza kuweka vizuizi na kuondoa mbwa kwenye orodha rasmi ya wanyama wa kufugwa kwa ajili...
  3. R

    Hii ni dalili wanajua Hukumu ya Lisu

    ! Kwa kauli hii wanajua hukumu itakuwaje! Time will tell
  4. F

    Mbwa mwitu awafugao Mwaipopo wataachiliwa waingie nyumba za ibada, tuongeze umakini

    Amani iwe nanyi. Shehe Mwaipopo anaye kiongozi aliyemtuma kuanzisha ufugaji wa mbwa mwitu. Na kauli zake ni za wazi kabisa, anatamani nchi iwe Islamic state,kwamba utasilimu Kwa kupenda na usipotaka utalazimishwa au uuwawe Na ukiunga dots Kwa mamlaka kumpa support aseme ayasemayo, aminini ni...
  5. I

    Mbwa koko machakos - Seneta Kavindu Aibua Tishio la Mbwa Waliopotea Syokimau

    Seneta wa Machakos, Agnes Kavindu, ameiomba Kamati ya Kudumu ya Seneti kuhusu Afya kutoa taarifa kuhusu kuongezeka kwa idadi ya mbwa wanaozurura bila wenyewe katika eneo la Syokimau, Machakos County. Akirejelea tukio la Agosti 25, 2026 ambapo kijana mmoja alidaiwa kushambuliwa na mbwa watatu...
  6. Mwanamke akabiliwa na mashtaka ya kufanya Ngono na mbwa

    Malia Elizabeth, mama mwenye umri wa miaka 38 kutoka Florida, nchini Marekani, alikamatwa kwa tuhuma za kufanya vitendo vya kingono na mnyama, baada ya mume wake ambaye walikuwa wametengana kugundua video ya kamera za usalama ikimuonyesha akifanya kitendo hicho na mbwa wao wa familia aitwaye...
  7. Pata Mbwa aina ya German Sherpherd na Boerboel kwa bei nafuu dar na mikoani tunatuma

  8. Najua wengi watakosea hapa. Mbwa huyu ana urefu wa Sentimita gapi?

  9. Arusha: Askari Polisi apigwa kama Mbwa koko

    Arusha Ungalimited Maeneo ya Soko Mjinga alikuja Polisi akakamata vijana wawili akawafunga Pingu, akaanza kwenda nao kituoni sasa cha ajabu njiani akaanza kuwapiga na fimbo kichwani mmoja damu zikaanza kumvuja. Basi Vijana hao walimkamata polisi kama unavyoona kwenye video, wakamtembezea...
  10. Mbwa wa Taifa

    Mbwa wa taifa hata ukimlisha vipi hanenepi, na hata ukimnyima chakula hakondi. Hii brand ya mbwa inaitwa Toyota, 1KZ engine. Utakufa wewe utamwacha mbwa wa taifa anadunda
  11. Kama Dk Nchimbi amefukuzwa CCM kama mbwa, we kidampa usie na mbele wala nyuma unahangaika nini kusifia uovu wa CCM

    Nchimbi ni mmoja wa Watanganyika walioipambania CCM tangu akiwa kijana mpaka leo hii anakuja kufukuzwa kwa kuktaa uchawa na kupinga maovu We kidampa ambae kumiliki tu smart phone unajiona CCM mali ya baba yako na kutetea uchawa na uovu una nini cha maana?
  12. Kitoto cha mbwa miezi mitatu

    Habari ndugu wanajamii, Nina kitoto cha mbwa umri miezi mitatu toka juzi ni kagonjwa hakataki chakula, kamelegea, kanalala TU, kalitapika juzi usiku naomba ushauri dawa Gani nitumie
  13. R

    Masoud Kipanya: Mbwa waliokonda wanambwekea nani?

    Msululu mrefu unambwekea. Tena ni Mbwa Koko, vimekonda. Vinambwekea nani?
  14. Tunaposema wengi wa wana harakati ni mbwa mwitu tuwe tunaeleweka,they are in business!

    Wamepunguza main pressure sasa wanataka wa SA watulie kwanza kwa kanuni nyingine mpya zenye wingi wa upole huku wakiwa tayari wamefanikisha yao!
  15. Maisha ni haya haya

    Najua shida ni sehemu ya maisha ila muda mwingine, tufanye kuweka shida chini, halafu mikono juu, maisha ni haya haya tu🍻🍻🍻🍻🍻
  16. Kama maisha yako hayasomeki usifikirie kabisa kufuga mbwa aina ya Belgian Malinois

    Kwa mtu ambaye maisha yake hayana utulivu au hayana ratiba maalumu, Belgian Malinois mara nyingi si chaguo sahihi. Kwa nini? 1. Anahitaji mazoezi mengi sana. Si kutembezwa dakika 20 tu ukaona inatosha. Mara nyingi huhitaji saa 1–2 au zaidi za mazoezi makali na shughuli za akili kila siku. 2...
  17. Dunia inazidi kuwabadilisha waislamu mambo mengi sana sasa washagundua mbwa sio haramu kwao kama mfugo

    Ilikuwa ngumu muislamu kusema afuge mbwa na kuweka mazoea naye. Ila kwa dunia ya sasa ukiangalia waislamu wameanza kugundua mbwa anaweza kuwa mlinzi wako na familia yako.Lile tukio lilotokea Venezuela la mbwa kumrinda mtoto we hapo unaweza kusema nini.
  18. F

    CCM ni kama simba mzee, hana rafiki na mwishowe huuwawa na mbwa mwitu

    Wakati wa CCM umepita. Chama hiki kwa sasa ni kama simba mzee aliyechoka, anayepigania siku zake za mwisho. CCM sasa haina rafiki wa dhati, wote waliopo ni wanafiki na wanasubiri kwa mbali kuona nini kitatokea. CCM kimepoteza legitimacy ya kutawala nchi hii. Kila aliyepo CCM leo yupo kwa...
  19. Mbwa wa superbug Boston texas terrier apewa jina inclusive la seran member wa jamiiforums.

    Seran nyota yako imeng'aa hapa Boston huku watu wanaheshimu sana na kupenda pets hivyo mbwa wangu nimempa sehemu yajina lako. Anaitwa Kwereseran.
  20. Kwanini walevi hawang’atwi na mbwa?

    Kuna uhusiano gan kati ya mlevi na mbwa Huwez kuta mlevi anakimbizwa na mbwa badala yake humuona kama mpuuzi fulani kama alikuwa anabweka basi atasitisha Walevi tupeni siri
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…