mbuzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mgeni toka Dubai kakutwa na pembe ya Faru, kalipa tu Faini

    Hii ndio Tanzania ambayo MH TUNDU LISSU anapigania. Watanganyikana sababu zaidi ya Bilioni ya kwann ni lazima muungane na LISSU . Watanganyika wangapi wapo Jela?? Kwa makosa ya Gram 2 za bangi, mara Nyama ya Sungura kilo Moja, sijui Ngozi ya fisi , watu wefungwa miaka 30. Leo Mgeni...
  2. Kennedy achinjwa kama kuku moshi,shingo yatenganishwa na kiwiliwili,mtuhumiwa adakwa na polisi

    Habari hii ni Kutoka Dawati la Habari polisi Kilimanjaro Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro linamshikilia Kayongo Marias, mwenye umri wa miaka 37, mkazi wa Rau, Manispaa ya Moshi, kwa tuhuma za mauaji ya Kenedy Daniel Kimath, mwenye umri wa miaka 32, mkazi wa Longuo ‘A’, ambaye aliuawa kwa...
  3. K

    HOJA Haki za Wanyama zizingatiwe katika soko la machinjio ya Vingunguti, wanawekwa kwenye jua kali sana

    Wananchi tunatoa wito kwa wahusika wa Machinjio ya Soko la Vingunguti kuzingatia ustawi na haki za wanyama wanaoletwa kuchinjwa. Mbuzi na Kondoo wamekuwa wakiwekwa nje ya ukuta wa machinjio bila sehemu ya kujikinga na jua kali, hali inayoweza kuhatarisha afya na ustawi wao. Wanaiomba mamlaka...
  4. T

    Eti kukumbuka mauaji ya Oct 29 ni uchochezi kwa hiyo muue watu kwa maelfu alafu ipite hivihivi!? Watu au mbuzi?

    Yaani nchi yetu Ina watu wana matatizo makubwa sana ya kufikiria Oct 29 2025 ni siku ngumu sana ambayo maisha ya watu wote yaliathirika vibaya sana. Maisha ya mamia kwa maelfu ya watanzania wenye hatia na wasio na hatia walipoteza maisha kupotea na kupoteza maisha na wengine kupata ulemavu wa...
  5. Tumeng'atwa na mbuzi

    Wakati tukiendelea kujipa moyo kua mbuzi katung'ata kwa bahati mbaya, mbuzi yeye anazidi kutuona sisi ni vibonde wake, sikuhizi anatung'ata halafu anacheka. Walinzi wa zizi la mbuzi nao badala wafanye kitu wamezibwa midomo kwa ahadi ya mbolea na maziwa. Bila kumchinja huyu mbuzi kinguvu yeye...
  6. SI KWELI Hii video ya Mbuzi akibeba kitambaa cha projector mashabiki wakiangalia Argentina na Spain, Ni kweli?

  7. Aise Messi ndio mbuzi

    Nakataa kuwa mshabiki oya oya , napenda mpira , acha kwa pumzi hii niliyo bakiwa nayo niupe maua yake , natambua mchango wa Ronaldo , ila Messi ni next level , acha niupe mpira heshima yake tu. Viva Manchester United viva lesandro martinez 🙏
  8. Naona mbuzi (GOAT) anataka kumfuata kondoo (SHEEP)

    Anakosaje penalty? Hii ni mbaya!
  9. FT: Portugal 5-0 Uzbekistan | World Cup 2026 | NRG Stadium | 23 Juni, 2026 | 2:00 Usiku. CR7 afunga magoli 2 ya kibabe!

    Leo Goat CR7 Lazima atupie kamba 2, tupunguze hizi kelele za mji. Kila la Kheri mwamba ================ Mtanange wa kweli wa "David dhidi ya Goliath" (mnyonge dhidi ya jitu) unatarajiwa kurindima katika Uwanja wa NRG huko Houston, ambapo wageni wa Kombe la Dunia la FIFA, Uzbekistan, watakipiga...
  10. Kama Ureno haijacheza hakuna kombe la dunia

    Kama Ureno haijacheza hakuna kombe la dunia , nawaonya wa Tanzania wanaopoteza usingizi wao bure mpaka sasa
  11. Nacheka ninapofuatilia ziara za Mwigulu Nchemba (PM), suala la mbuzi wa zawadi kupotea nalo litampa kick?

    Madelu hana ujanja wa kutengeneza mazingira au maigizo ili aonekane kama anakubalika. Kwa mantiki hii nakubaliana nae kuwa ukiacha mechi ya dabi ya simba na Yanga kinachofuata kufatiliwa ni ziara zake hii ni kwa sababu ni Comedy mwanzao mwisho.
  12. Mbuzi ni fursa ya utajiri

    Tanzania ina zaidi ya mbuzi milioni 24, na idadi hiyo imeendelea kuongezeka kutokana na mahitaji makubwa ya nyama ya mbuzi ndani na nje ya nchi. Tafiti zinaonyesha kuwa ufugaji wa mbuzi ni moja ya shughuli muhimu zinazowapatia wananchi kipato katika maeneo mengi ya vijijini na mijini. Mbuzi...
  13. Soko la mbuzi & kondoo kwa msimu wa sikukuu ya Eid Al- Adh- Haa

    Habari za muda huu wanajukwaa. Wakazi wa manispaa ya Moshi na viunga vyake mnakaribishwa sana kununua mbuzi na kondoo kwa ajili ya sikukuu ya Eid Al- Adh-haa ambayo inatarajiwa kufika ndani ya siku chache zijazo. Moja ya ibada kubwa katika kusherehekea sikukuu ya Eid Al- Adh-haa ni kuchinja...
  14. SOKO LA MBUZI & KONDO KWA MSIMU WA SIKUKUU YA EID AL- ADH- HAA.

    Habari za muda huu wanajukwaa. Wakazi wa manispaa ya Moshi na viunga vyake mnakaribishwa sana kununua mbuzi na kondoo kwa ajili ya sikukuu ya Eid Al- Adh-haa ambayo inatarajiwa kufika ndani ya siku chache zijazo. Moja ya ibada kubwa katika kusherehekea sikukuu ya Eid Al- Adh-haa ni kuchinja...
  15. Car4Sale MAFUTA MBUZI SAFARI TEMBO

    Passo AKA KINUSA MAFUTA IMEFIKA PIA 2008 MODEL A VERY CLEAN UNIT, KM 88,000 CC 1000 AT Petrol 2WD 13.9M + Usajili, HII kwa Mafuta Kupanda BEI itakufa sana, Kwa Final Price Na Picha zaidi Contact 0714547598
  16. Mbuzi mwenye jinsia mbili (kike na kiume) kufanyiwa Maombi

    Tukio la kuzaliwa kwa mbuzi mwenye viungo vya jinsia zote mbili (kike na kiume), limeibua mshangao na taharuki kwa wakazi wa Mtaa wa Nyantorotoro B, Kata ya Nyankumbu, Manispaa ya Geita, huku mmiliki wa mbuzi huyo akimtelekeza kwa balozi wa shina ili apatiwe maombi, akiamini huenda angeweza...
  17. Koneksheni ya tenda ya kukusanya/ kununua/ kusafirisha mifugo ya kuchinja Eid (ng’ombe/ mbuzi/ kondoo)

    Habari zenu, Assalam alaykum, Shalom. Baada ya kumshuru Mwenyezimungu, shukrani zangu za dhati ziende kwa admini wa group kisha kwa wanakundi kwa support muliyonipatia kijana mimi wa miaka 25 nilipoandika andiko langu la kwanza la Kutafuta muwekezaji. Nashukuru nilifanikisha kupata na biashara...
  18. B

    Usafiri wa mbuzi kutoka mnadani kwenda Dar

    Habari za majukumu wakuu Naomba kufahamu usafiri wa kusafirisha mbuzi kutoka minada hii simiyu ...kondoa ....na kilosa je nitapata ya jumuia au itanilazimu kuwa na usafiri binafsi?
  19. Kutoka kwenye Raha, Utukufu, kuogopwa na kunyenyekewa hadi Mbuzi wa Kafara

    Ndugu zangu kamwene, Katika ulimwengu wa madaraka, kuna wakati taasisi inabidi ijioshe ili ipate hewa ya kupumua. Nchi inapokwama kiuchumi kwa sababu ya doa la damu mfumo haulazimishi kila mtu kuwajibika maana kuna uwajibikaji hauna impact hivyo anatafutwa mtu mmoja mwenye uzito wa kubeba...
  20. Mwanaume mmoja akamatwa na polisi, kwa tuhuma ya kumbaka mbuzi hadi kumsababishia kifo

    Mwanamume mmoja anayeaminika kuwa na umri wa miaka 40 aliyetambulika kama Mitchell Dopoh amedaiwa kumlawiti Mbuzi na kusababisha kifo cha mnyama huyo. Kulingana na ripoti, uchunguzi wa awali unaendelea kwa sasa, kwani maafisa wa sheria waliopewa eneo hilo bado hawajatoa matokeo rasmi kuhusiana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…