mbunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mbunge Igalula, Venant Daud aendelea na ziara jimboni, achangia madawati 300

    MBUNGE IGALULA, MHE. VENANT DAUD AENDELEA NA ZIARA JIMBONI, ACHANGIA MADAWATI 300 Mbunge wa Jimbo la Igalula Mkoa wa Tabora Mhe. Venant Protas Daud amefanya ziara ya siku tano kuanzia tarehe 27 Februari 2023 mpaka tarehe 03 Machi 2023 katika Kata Nne zilizomo Igalula ambazo ni Kata ya KIGWA...
  2. Mbunge Agnes Marwa ashiriki maadhimisho ya siku ya wanawake musoma vijijini

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara Agnes Marwa amefanya maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani kwa kutembelea Kituo cha Afya Mugango na kutoa Misaada mbalimbali kwa akina mama wenye uhitaji. Akiwa ameambatana na kamati ya Utekelezaji ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Wilaya ya Musoma...
  3. Mbunge Ritta Kabati aeleza namna Rais Samia anavyowajali wanafunzi wa Vyuo Vikuu

    MBUNGE MHE. DR. RITTA KABATI AWAPA SOMO WANAFUNZI CHUO KIKUU, AELEZA NAMNA RAIS SAMIA ANAVYOWAJALI Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Iringa, (CCM) Mhe. Dkt. Ritta E. Kabati @dr.rittakabati amewataka wanafunzi wa Vyuo Vikuu kujikita katika masomo yao wawapo vyuoni na kuacha mambo ambayo yatapelekea...
  4. Mbunge Janejelly James Ntate afanya Ziara mkoa wa Dar es Salaam

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Dar es Salaam Janejelly James Ntate amefanya ziara ya kikazi katika Mkoa wa Dar es Salaam ikiwa ni sehemu ya majukumu yake kama Mbunge wa Mkoa wa Dar es Salaam. Ntate alipata nafasi ya kuzungumza na watumishi wa Manispaa ya Jiji la Dar es Salaam ikiwa ni katika...
  5. Ziara ya Rose Tweve Mbunge Viti Maalum mkoa wa Iringa

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Iringa Rose Tweve ameendelea na ziara yake katika Wilaya ya Mufindi, Kata ya Saohill ambapo ameshiriki kikao cha Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Kata ya Upendo, Mufindi. Ziara hiyo ni muendelezo wa kazi za Mbunge Tweve maeneo mbalimbali Mkoa wa Iringa kukagua...
  6. Mbunge Zaytun Swai akemea vitendo vya ukatili wa kijinsia - Mkoa wa Arusha

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha Mhe. Zaytun Swai ametoa salamu za pongezi kwa WanaCCM katika hafla ya kumpongeza kwa kuteuliwa kuwa Mjumbe wa Kamati Kuu CCM Taifa Ndugu Halima Mamuya. Mhe. Zaytun Swai amempongeza Ndugu Halima Mamuya na amesema ni heshima kubwa kwa wanawake wa Tanzania na...
  7. Mbunge Oliver Semuguruka arahisisha usafiri kuwafikia wanaccm mkoa wa Kagera

    MBUNGE OLIVER SEMUGURUKA ARAHISISHA USAFIRI KUWAFIKIA WANACCM Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Kagera CCM Mhe. Oliver Semunguruka ametoa Pikipiki 8 kwa Makatibu wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) kwa Wilaya zote za kichama mkoani Kagera. Mhe. Oliver amesema kuwa amefikia hatua hiyo...
  8. Shanta gold mine kuanza kumimina dhahabu kuineemesha Ikungi, mbunge Mtaturu afunguka

    SHANTA GOLD MINE KUANZA KUMIMINA DHAHABU KUINEEMESHA IKUNGI, MBUNGE MTATURU AFUNGUKA SHANTA gold mine sasa Kumimina Dhahabu kuineemesha Ikungi. Ni baada ya Kusimama kwa muda mrefu takribani miaka 19 tangu kusimama kwake sababu ikitajwa kuwa ni baadhi ya Wanasiasa kuweka vikwazo vilivyomfanya...
  9. Juhudi za Mbunge wa jimbo la Singida Mashariki, Miraji Mtaturu zafanikisha ujenzi wa chuo cha VETA Ikungi

    JUHUDI ZA MBUNGE WA JIMBO LA SINGIDA MASHARIKI MHE. MIRAJI MTATURU ZAFANIKISHA UJENZI WA CHUO CHA VETA CHA KISASA CHA BILIONI 2.4 IKUNGI. Mbunge wa Jimbo la Singida Mashariki Mhe. Miraji Jumanne Mtaturu mnamo tarehe 22 Februari 2023 amefanya ziara yake ya Kukagua Mradi wa ujenzi wa Chuo cha...
  10. Iringa: Mbunge wa Viti Maalum, Rose Tweve afanya ziara wilayani Mufindi

    MBUNGE WA IRINGA, MH. ROSE TWEVE AFANYA ZIARA WILAYANI MUFINDI MKOANI IRINGA Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Iringa Mhe. Rose Tweve amefanya Ziara Kata ya Saohill, Upendo, Wambi, Changarawe, Kinyanambo na Kata ya Boma. WANAWAKE WA Wilaya ya Mufindi wanasema Mhe. Dkt. Samia Mitano tena mbele ya...
  11. Papa Francis aitaka Urusi kuacha vita vya kipuuzi na kikatili

    Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis amerejea wito wake wa kutaka kusitishwa kile alichokiita vita vya "kipuuzi na kikatili" nchini Ukraine. Wito huo ameutoa Jumatano mjini Vatican, katika hadhara yake ya kila juma, ikiwa ni kipindi kifupi kabla ya kutimia mwaka mmoja tangu...
  12. Mbunge Masache Kasaka afanya ziara ya ukaguzi miradi

    MBUNGE MH. MASACHE KASAKA AFANYA ZIARA YA UKAGUZI MIRADI Mbunge wa Jimbo la Lupa-Chunya, Mhe. Masache Kasaka ameendelea na ziara ya kukagua Miradi ya Maendeleo iliyopokea Fedha za Mfuko wa Jimbo. Tarehe 21 Februari 2023 Mhe. Masache Kasaka ametembelea; 1. Kituo cha Afya-Matwiga, 2. Shule...
  13. Joseph Musukuma: Vyuo 11 vinanitaka nikafundishe uchumi, UDSM Ikiwemo

    Hello Wadau.. Mbunge wa Geita Dkt. Musukuma amesema Hajalipa dola 2500 kununua PhD Bali amelipa ada tuu ya dola 200. Musukuma amesema yeye ni Mchumi wa heshima na mwenye maarifa na alipenda heshima ya udaktari wa falsafa baada ya waliompa kufanya utafiti wa uwezo wake. Dkt. Musukuma amesema...
  14. Taarifa ya kikao cha mbunge wa jimbo na wakuu wa shule za Musoma vijijini - 2

    SEHEMU YA PILI YA TAARIFA YA KIKAO CHA MBUNGE WA JIMBO NA WAKUU WA SHULE ZA MUSOMA VIJIJINI Sehemu ya Kwanza ya Taarifa ya Kikao hicho: Sehemu hii ilitolewa na Ofisi ya Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini, Prof Sospeter Muhongo. *Mahali inapopatikana ni kwenye TOVUTI ya Jimbo letu ambayo ni...
  15. Mbunge Nicholaus Ngassa: Mkandarasi zingatia ratiba ya utekelezaji wa mradi

    MBUNGE NICHOLAUS NGASSA: "MKANDARASI ZINGATIA RATIBA YA UTEKELEZAJI WA MRADI" - JIMBO LA IGUNGA Mbunge wa Jimbo la Igunga Mhe. Nicholaus George Ngassa, amemtaka Mkandarasi wa Mradi wa Usambazaji wa Maji ya Ziwa Victoria kwenye Vijiji vya Kata za Mwamashiga, Mbutu, Isakamaliwa, Kining'inila...
  16. Juliana Shonza afanya ziara ya kimkakati

    MHE. JULIANA SHONZA, MBUNGE (UWT) CCM VITI MAALUM MKOA WA SONGWE AFANYA ZIARA YA KIMKAKATI Katika ziara yake iliyoanza mnamo tarehe 18 Februari, 2023 Mhe. Juliana Daniel Shonza alifika Wilaya ya Ileje na kubisha hodi kwa Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Ileje komredi Hassan...
  17. Mbunge Nancy Nyalusi atoa shilingi Milioni 10 kusaidia ujenzi wa wodi ya wanawake Ilala Simba

    MBUNGE MHE. NANCY NYALUSI AMETOA SHILINGI MILIONI 10 KUSAIDIA UJENZI WA WODI YA WANAWAKE ILALA SIMBA. MBUNGE wa Viti Maalumu (CCM) Mkoa wa Iringa Mhe. Nancy Nyalusi ametoa Shilingi Milioni 10 kwa uongozi wa kijiji cha Ilalasimba kilichopo katika kata ya Nzihi kwenye Halmashauri ya wilaya ya...
  18. Mbunge Ridhiwani Kikwete agawa pikipiki 6 na kukabidhi vifaa tiba jimboni Chalinze

    MBUNGE RIDHIWANI KIKWETE AGAWA PIKIPIKI 6 NA KUKABIDHI VIFAA TIBA JIMBONI CHALINZE Alhamisi tarehe 16 Februari 2023 Mbunge wa Jimbo la Chalinze amasema; "Nimegawa Pikipiki kwa watendaji wa Kata 6 za Halmashauri yetu ya Chalinze, kutembelea kiwanda cha Uzalishaji wa Marumaru cha Keda, na...
  19. Mbunge Luhaga Mpina ndoto yako ya kuwa mbunge maarufu Tanzania imetimia

    Leo hii ukiulizwa mbunge maarufu Tanzania kwa kujenga hoja zenye mantiki hutakosa kumtaja mbunge Mpina. Amezichanga karata vizuri akatumia nafasi yake vizuri katika kipindi hichi wala hakuchagua kuketi upande wa walamba asali. Ameamua kusimama pamoja na wananchi wa Tanzania. Amezibeba kero...
  20. M

    Mbunge Katani: Bashe na Mwigulu ni mawaziri mizigo. Wanaumiza wananchi. Amwaga machozi kwa kutukanwa kujadili uganga.

    Video hii hapa.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…