mbunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Siku chache baada ya Ripoti ya CAG wananchi nchini India wampiga Risasi Mbunge na kaka yake mtaani

    Ndauli. Basi baada ya ile ripoti ya kuonyeshwa mapesa yamechotwa ovyo. Basi yule montress akasema mada hiyo itajadiliwa mwezi wa saba huko. Wananchi huko india wamempiga risasi mbele ya TV mbunge mmoja kwa madai ya kupora mali na tabia za ubabe ubabe. Tukio hilo lilirushwa mubashara kwenye...
  2. Mbunge Stanslaus Nyongo Asema MSD Iwezeshwe Mtaji Ili Ifikie Malengo

    MBUNGE STANSLAUS NYONGO ASEMA MSD IWEZESHWE KIMTAJI ILI IFIKIE MALENGO NA KUTOA HUDUMA NZURI KWA WANANCHI Mbunge wa Jimbo la Maswa Mashariki Mhe. Stanslaus Haroon Nyongo tarehe 12 Mei, 2023 amechangia hotuba ya Bajeti Wizara ya Afya Bungeni jijini Dodoma iliyosomwa na Waziri wa Afya Mhe. Ummy...
  3. Mbunge Benaya Kapinga asisitiza Dawa na Vifaa Tiba vipelekwe kwa wakati sehemu za kutolea huduma za afya

    MBUNGE BENAYA KAPINGA ASISITIZA DAWA NA VIFAA TIBA VIPELEKWE KWA WAKATI SEHEMU ZA KUTOLEA HUDUMA ZA AFYA Mbunge wa Jimbo la Mbinga Vijijini Mkoa wa Ruvuma Benaya Liuka Kapinga akichangia hotuba ya bajeti ya Wizara ya Afya Bungeni jijini Dodoma tarehe 12 Mei, 2023. "Serikali katika Jimbo la...
  4. Mbunge Kwagilwa Nhamanilo Azungumzia Upotevu wa Fedha za Maadwa MSD

    MBUNGE KWAGILWA REUBEN NHAMANILO AZUNGUMZIA UPOTEVU WA FEDHA ZA MADAWA MSD NA WASHITIRI Mbunge wa Jimbo la Handeni Mjini Mhe. Kwagilwa Reuben Nhamanilo akichangia hotuba ya bajeti ya Wizara ya Afya Bungeni jijini Dodoma amesisitiza kuwa kuna upotevu mkubwa wa fedha za dawa na vifaa tiba kupitia...
  5. Mbunge Benaya Kapiga Asisitiza Vifaa Tiba na Dawa zipelekwe kwa Wakati Maeneo ya Kutolea Huduma za Afya

    MBUNGE BENAYA KAPINGA ASISITIZA DAWA NA VIFAA TIBA VIPELEKWE KWA WAKATI SEHEMU ZA KUTOLEA HUDUMA ZA AFYA Mbunge wa Jimbo la Mbinga Vijijini Mkoa wa Ruvuma Mhe. Benaya Liuka Kapinga akichangia hotuba ya bajeti ya Wizara ya Afya Bungeni jijini Dodoma tarehe 12 Mei, 2023. "Serikali katika Jimbo...
  6. Mbunge Martha Festo Aibana Wizara ya Maji Kupeleka Maji katika Mji wa Mpanda na Mkoa wa Katavi, Kigoma na Rukwa Kutoka Ziwa Tanganyika

    MBUNGE MARTHA FESTO AIBANA WIZARA YA MAJI KUPELEKA MAJI MPANDA NA KATAVI KUTOKA ZIWA TANGANYIKA "Sisi Wananchi wa Mji wa Mpanda, Mkoa wa Katavi tuna changamoto kubwa sana ya Maji ukizingatia Mji wa Mpanda ni Mji unaokua kwa kasi na kuwa na ongezeko kubwa sana la watu. Mji wa Mpanda Serikali...
  7. Masache Kasaka, Mbunge wa Lupa-Chunya Azungumzia Bajeti Wizara ya Kilimo

    MBUNGE MASACHE KASAKA AZUNGUMZIA BAJETI YA WIZARA YA KILIMO "Serikali umeweka utaratibu mzuri wa kuchukua vijana na kuwaweka katika makambi, nashauri tuwachukue vinana ambao wameshajiajiri tayari katika kilimo na tuweze kuwapa kipaumbele, hata benki inamkopesha mtu ambaye ameshaanza biashara"...
  8. Mbunge Cherehani - Pamba ipewe tija kwa Wakulima wa zao hili

    MBUNGE CHEREHANI - PAMBA IWE NA TIJA Mbunge wa Jimbo la Ushetu Kahama-Shinyanga Emmanuel Cherehani amesema Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe apewe udaktari wa heshima kutokana na mchango wake katika nchi yetu hususani kwenye Kilimo. "Wananchi wa Ushetu walipokea Mahindi ya kutosha...
  9. Mbunge wa Viti Maalum, Bupe Mwakang'ata: Naomba Serikali ianzishe Mashamba ya Mbegu hapa nchin

    MBUNGE BUPE MWAKANG'ATA AKICHANGIA HOJA YA BAJETI YA WIZARA YA KILIMO Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Rukwa Mhe. Bupe Mwakang'ata tarehe 09 Mei, 2023 alichangia hoja ya Bajeti ya Wizara ya Kilimo iliyosomwa Bungeni na Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe. "i. Mfano, sisi Mkoa wa Rukwa Mbegu...
  10. Video; Ngumi(fist fight) kati ya mbunge wa Ukraine na Diplomst Mrusi

    Wamebishana. Yule alikuwa ameshikilia bendera ya Ukraine, jamaa akampokonya na kuondoka nayo. Kilichofuatia, ngumi.
  11. Mbunge Malleko awasilisha maombi ya Teknolojia kwenye Kilimo cha Ndizi, Kilimanjaro

    MBUNGE ESTHER MALLEKO AWASILISHA MAOMBI YA TEKNOLOJIA KWENYE KILIMO CHA NDIZI, KILIMANJARO "Tanzania tunazalisha kahawa tani 80,000 kwa sasa, huko nyuma tulikuwa tunazalisha tani 61,000 za kahawa, tumepiga hatua. Lakini pia fedha za kigeni tunazoziingiza kupitia mauzo ya kahawa ni takriban dola...
  12. Mbunge Aloyce Andrew Kwezi Aishauri Wizara ya Kilimo Kujenga Kiwanda cha Kuchakata Tumbaku Kaliua

    MBUNGE ALOYCE KWEZI AISHAURI WIZARA YA KILIMO KUJENGA KIWANDA CHA KUCHAKATA TUMBAKU KALIUA Mbunge wa Jimbo la Kaliua, Tabora Aloyce Andrew Kwezi wakati akichangia hotuba ya bajeti ya Wizara ya Kilimo amewaomba wabunge wote kuunga mkono hoja ya Bajeti ya Wizara ya Kilimo iliyosomwa Bungeni na...
  13. Devotha Minja: Namshangaa Hussein Bashe kutaka Bodaboda za Maafisa Ugani zifungwe GPS

    "Namshangaa Hussein Bashe anataka pikipiki za maafisa Ugani zifungwe GPS, mbona wao kwenye V8 zao hawajafungiwa" Devotha Minja. Mbunge wa wananchi Jimbo la Morogoro Mjini. Chanzo: Jambo TV === Devotha Minja, ambaye alikuwa mgombea ubunge wa Jimbo la Morogoro Mjini kwa tiketi ya CHADEMA...
  14. Jimbo la Chato kwa sasa halina Mbunge?

    Merdad Matogolo Kalemani aliyewahi kuwa waziri wa nishati na akawa anapeleka umeme kwa wasitani wa vijiji elfu 2 kila mwaka hivyo kupelekea vijiji zaidi ya elfu 10 kupata umeme ndani ya miaka yake 5 ya uwaziri hivi sasa amelala usingizi wa pono. Medard Kalemani mbunge wa jimbo la Chato hatetei...
  15. R

    Mbunge Tabasamu: Ng'ombe dume ikivalishwa hereni itapungukiwa nguvu za kiume, wa Pwani wakavalishwe tu

    Mbunge Hamis Tabasamu wa Sengerema, Mwanza amesema ni sawa kwa ng'ombe wakike kuvalishwa hereni ikiwa wanataka wapendeze kama binadamu, lakini suala hilo kwa ng'ombe wa wakiume haliwezekani kwani makabila yenye ng'ombe wengi kama Wamasai, Wakurya, Wasukuma hawakubali. Akihojiwa na Mwandishi...
  16. Mhe. Njalu Silanga - Mbunge wa Jimbo la Itilima

    Mhe. Njalu Silanga, Mbunge wa Jimbo la Itilima Mhe. Njalu Silanga, Mbunge wa Jimbo la Itilima tarehe 05 Mei, 2023 alipata nafasi ya kuchangia suala la Tanga Cement na Twiga Cement wakati wa kuwasilishwa kwa hoja ya bajeti ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara iliyosomwa na Waziri mwenye dhamana...
  17. Sylivia Francis Sigula - Mbunge Viti Maalum kupitia kundi la Vijana

    Mhe. Sylivia Francis Sigula - Mbunge Viti Maalum kupitia kundi la Vijana Mhe. Sylivia Francis Sigula, Mbunge Viti Maalum kupitia kundi la Vijana tarehe 05 Mei, 2023 alipata nafasi ya kuchangia suala la Tanga Cement na Twiga Cement wakati wa kuwasilishwa kwa hoja ya bajeti ya Uwekezaji, Viwanda...
  18. Jackline Ngonyani: Nashauri mchakato wa Twiga Cement kuinunua Tanga Cement uanze upya

    Mhe. Jackline Ngonyani, Mbunge Viti Maalum Mkoa wa Ruvuma Mhe. Jackline Ngonyani, Mbunge Viti Maalum Mkoa wa Ruvuma tarehe 04 Mei, 2023 alipata nafasi ya kuchangia suala la Tanga Cement na Twiga Cement wakati wa kuwasilishwa kwa hoja ya bajeti ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara iliyosomwa na...
  19. Abdulghafar Idrisa Juma: Kampuni zikitaka kuungana na kuingia sokoni haitakiwi kuzidi asilimia 35 ya hisa. Nini kimewasahaulisha FCC?

    Abdulghafar Idrisa Juma, Mbunge wa Jimbo la Mtoni Mhe. Abdulghafar Idrisa Juma, Mbunge wa Jimbo la Mtoni tarehe 04 Mei, 2023 alipata nafasi ya kuchangia suala la Tanga Cement na Twiga Cement wakati wa kuwasilishwa kwa hoja ya bajeti ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara iliyosomwa na Waziri mwenye...
  20. Sakata la hereni za ng'ombe bungeni, Msukuma amtaja mbunge wa Kibaha kufaidika na mradi huo

    Wakati wa kuwasilishwa na kujadiliwa kwa hoja ya Bajeti ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi, moja kati ya mambo yaliyochangiwa na wabunge wengi hasa wanaotoka maeneo ya wafugaji ni suala la HERENI ZA KIELEKTRONIKI KWA MIFUGO HASA NG'OMBE Katika hotuba iliyowasilishwa ilielezwa kuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…