mbona

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Mataga, UVCCM na CCM Mpya mbona mnamtelekeza Polepole na Gwajiboy?

    Enzi za utawala wa kisahunga haya makundi mawili yalikuwa active kama nyuki. Ukigusa mmoja wao basi ujiandae kupata mashambulizi kutoka kila kona. Pengine kwa sababu tulikuwa uchumi wa kati na huenda walikuwa wanalipwa vizuri. Si unajua CCM maslahi? Sasa awamu hii joka walilolifuga...
  2. Watanzania mbona hatusheherekei kwa shamrashamra siku ya Uhuru?

    Tanzania leo ni siku yetu adhimu ya kufurahi na kujisikia furaha kwa siku ya uhuru wa nchi yetu ni mfano wa siku ya kuzaliwa lakini kwa baadhi ya watu na sehemu tofauti imekuwa tu ni siku ya kupumzika bila shamlashamla zozote hivi birthday yako uwa inapita hivyo kimya kimya. Niliwahi kuwa Dubai...
  3. Koh Koh Koh.. Mbona Rais Samia Kama Kayaona ya Magufuli?

    Sijui ni mimi tu, macho yangu au masikio yangu? Huku Bandari mbona kama kunaumiza kichwa sana Marais? Rais Samia jana kazungumza kama Magufuli, Kachukua hatua za papo hapo kama enzi za Magu na anajitangaza kusimama na wananchi kama Magu alivyokuwa anajitangaza kusimama na wanyonge. Sasa...
  4. Huduma bora za afya: Mbona bado wakina mama wanaojifungua wanalazwa hadi watatu kitanda kimoja?

    Serikali yetu kupitia wizara ya Afya naona ipo busy na kampeni za chanjo za Uviko19 huku ikijisahaulisha huduma muhimu huko kwenye Hospital za serikali. Jana nilienda kutembelea mama mmoja jirani yangu Alieenda kujifungulia Mt Meru hosp,na mtoto kuwekwa chumba cha joto kwa muda wa wiki mbili...
  5. Mbona Magufuli alipokuwa akikosoa ya Kikwete mlikaa kimya? Muacheni Rais Samia

    Halafu hii wala sio kwa vyama vya upinzani kama mnavyoweza kufikiri kwamba wao ndio wanampinga Rais Samia, hao watu wako CCM zaidi. Ni hivi, leo Rais Samia kugusia wale vifaranga wa kutoka Kenya ambao enzi ya Magufuli walichomwa moto. Akasema "DHAMBI TUPU". Naona povu la kutosha hasa kwa watu...
  6. Mtazamo: Imani ya wananchi kwa Serikali imeshuka tangu Dkt. Magufuli atutoke

    Wananchi wakisikia kuna Tril 1.3 zimekopwa kwa ajili ya kuchochea mdororo wa uchumi ulioletwa na Uviko -19, wanahisi kupigwa tu. Wanajua kuna kizingumkuti namna zitavyotumika. Umeme umekuwa ni tatizo la kukatika katika kila mara, wanahisi, kuna mchongo wa kupigwa kama walivypopigwa huko nyuma...
  7. T

    Mbona kelele zinazidi kuna shida gani!?

    Nimekaa na kutafakari sana bila majibu, hasa kuhusiana na namna malalamiko yanazidi kuongezeka mitandaoni. Ukiyasikiliza kwa makini hayo malalamiko lazima yakuchanganye. Wapo wanaoona Hali ni shwari na wanaona tunaelekea kuzuri. Wengine wanaona tumepotea na tunazidi kupotea hivyo tunahitaji...
  8. K

    Elimu yetu Tanzania: Mbona International Schools hazina 'Holiday Package' kama shule nyingine?

    Shule zinakaribia kufungwa. Hii maana yake ni nini? Maana yake walimu wamefanya kazi wakamaliza syllabus wamefunzidha vizuri. Wanafunzi mwamesoma vizuri na wamesimamiwa vizuri. Sasa wanaenda kupumzika kwa mwezi mzima. Ratiba ya shule imeisha inaanza ratiba nyingine ya nyumbani. Mtoto anahitaji...
  9. C

    TANESCO tutangazieni kama kuna mgao wa umeme nchini

    Kwa siku tano mfululizo maeneo haya umeme ifikapo jioni unakatwana bila taarifa kwa sisi wateja labda Kama tangazo Hilo sijalisikia. Maeneo ya ubungo Mandela Rd kuanzia external, maziwa, hadi darajani unaotazamana na rivaside. Pamoja na kuwa jirani kabisa na mitambo ya umeme ya ubungo...
  10. M

    Hivi serikali za CCM miaka 70 ya uhuru zimeweza nini mbona vitu muhimu kama Maji na umeme bado shida kuu?

    Hawa jamaa wa CCM wanapenda kutawala kupita kiasi, lakini performance yao ni ndogo kupita maelezo Huwa wanapenda kujilinganisha na chama cha Kikomunisti cha China, lakini wenzao huko China wameshafanikiwa kusolve tatizo la vitu basic kama maji na umeme na sasa wanajiposition kuwa superpower wa...
  11. Soko la Mbeya liliungua miaka zaidi ya kumi na halijajengwa, ila la Kariakoo limeungua juzi tu limetengewa bilioni 34

    Hii imekaaje. Ni kwamba serikali inafanya miradi yake kwa upendeleo?
  12. R

    Kondomu zimeadimika, nini tatizo?

    Nakumbuka hizi condom zilikuwa zimetapakaa kote katika sehemu za wazi kla mtu anachukua bure. Sasa hivi ni "almas" maana hazipatikani na zikipatikana ni bei kubwa -- a pack of 3 per 1,000 Kulikoni? Au kwa Msaada wa watu wa Marekani ilisitishwa? na kama ni hivyo kwanini walisitisha?
  13. K

    Suala la kuhama mbona linaonekana Kama ni mateso kwa watumishi wa umma?

    Siku ya Alhamisi Waziri wa tamisemi alitoa kauli ya kuisitisha uhamisho wa watumishi walioko chini ya Wizara yake (TAMISEMI) Ila akasisitiza labda mtu akitaka toka mjini kwenda Kijiji ndiye anayerusiwa kupata kibali Cha kuhama. Swali langu je kuhama si ni haki ya kila mtumishi? Siyo kila mtu...
  14. Justine Eliya Kaaya anayetoa ushahidi kwenye kesi ya Mbowe ni nani?

    Taarifa zinaonyesha kwamba huyu mtu alikuwa mfanyakazi binafsi wa Sabaya, baadaye wakatofautiana kutokana na malipo, Yaani Sabaya alimdhulumu Kaaya malipo ya miezi mingi na ndipo Kaaya akaamua kuacha kazi za Sabaya. Jambo la kuacha kazi lilimuudhi mtukufu Sabaya ambaye alilichukulia kama kiburi...
  15. S

    Pamoja na kuwa leo ni Public Holiday, mbona ni kama siku ya kawaida tu hatuna hamasa ya sikukuu?

    Hivi hii sikukuu ya Maulid sio muhimu kama ile ya Idd? Mbona naona huku mtaani kumtoa utadhani hakuna sikukuu? Shamrasha za hii sikukuu mbona siziona japo leo ni Public Holiday? Halafu kuna Waislamu hii sikukuu hawaitambui? Kwenye kalenda leo ilikuwa inaonekana ni sikukuu ya Maulid, ila kuna...
  16. Wasomi Mbona Mnalia Sana Ajira Za Majeshi?

    Ee Bwana, Mtakatifu Mungu wetu sifa na utukufu ni Mali Yako nami kwa unyenyekevu mkubwa navirejesha kwako Sasa na hata Milele. Ndugu watanzania wenzangu, hapa karibuni zimetolewa nafasi nyingi za ajira katika vyombo vyetu vya ulinzi na usalama, kuanzia Jeshi la Polisi Tanzania chini ya Afande...
  17. M

    Huko nyuma tulionya kuwa Rais Samia alindwe sana na Wanaume mkasema Wanawake wanaweza, mbona hivi sasa Wanaume mmewajaza tena?

    Siwadharau na wala siwapuuzi Walinzi wa Kike ila tuacheni Masihara kuwaweka mbali Walinzi wa Kiume mwanzoni ilikuwa ni Hatari japo wengi tuliohoji na kulipinga hilo hapa JamiiForums tulipuuzwa. Asanteni sana USP kwa Kuuimarisha zaidi Ulinzi wa Bi. Hangaya n hasa hasa kwa Kuamua Kuwarudisha...
  18. N

    Humphrey Polepole adaiwa na Mwana-CCM kushiriki kuhujumu Katiba ili Samia asiwe Rais

    Hii ni kwamujibu wa mjumbe wa kamati kuu ya Chama kwamba ndugu yetu mzee wa darasa la uongozi na genge lake walijaribu kuzuia mafuriko kwa mikono, waliratibu mbinu zote ili Samia asiwe Rais lakini wakashindwa, kwa hali hii natamka rasmi kwamba sisi vijana wa CCM hatumtaki Polepole kwenye chama...
  19. F

    Bei za Smartphone mbona hazishuki?

    Nyanja: Biashara Taswira zote kwa hisani ya Google Kwenye kikao cha Bunge la bajeti kilichokwisha 2021-2022 Mhe. Waziri wa Fedha aliwasilisha kwamba tozo kwenye manunuzi ya simujanja na vishkwambi zitapunguzwa ili wananchi wengi wamudu kuzinunua ili...
  20. Serikali turekebisiheni Sheria ya Usajili wa Blogs vijana tujiajiri

    Wakati vijana tunajitahidi kupambana na umasikini serikali nayo inazidi kupambana vijana tusitoke kwenye umasikini, Mimi ninataka kufungua blog ya kuwa natangaza mambo mengi ya urembo utanashati nk lakini nashangaa kumiliki blogu na kuisajili hapa nchini ni gharama kubwa mpk kufikia milioni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…