mbona

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kama mnalalama kuwa wamachinga wananyanyaswa sasa hivi mbona wakati wameruhusiwa na hayati Magufuli mlisema wanaharibu mipango miji! Kuweni na msimamo

    Sasa naona Katibu mkuu wa UVCCM Kenani Kihongosi ameamua kuingia mstari wa Mbele kuongoza mapambano dhidi ya wamachinga. Bavicha tunalaani vitendo hivyo na tutaongoza mapambano ya kudai #KatibaMpya itakayotoa Uhuru wa vijana kufanya biashara bila bugdha.
  2. M

    Kibatala na Mawakili wenzake upande wa utetezi wamesomea mambo ya mtandao? Mbona wanayajua sana? Nijuzeni

    Hawa mawakili wananipa tabu mi nilitegemea kuona wako competent kwenye mambo ya actus leus, mens lea n.k lkn cha ajabu naona wako very competent kwenye mambo ya kimtandao maana wanawabana wataalamu wa IT pale mahakamani mpaka wanaomba kwenda haja.
  3. M

    Kwanini Mwl Nyerere hakuweka ukweli hadharani juu ya kifo cha Kassim Hanga? Mbona CCM huwa hawataki ukweli kuhusu mauaji ya Kassim Hanga kuwa wazi?

    Nipo mahala hapa kijiweni nafuatilia story kibao juu ya masuala yanayohusu matukio kibao yaliyotokea baada ya mapinduzi ya Zanzibar. Kuna mzee anasimulia hapa juu ya watu kibao kuuliwa baada ya mapinduzi kutokea. Anadai kuwa aliyekuwa Waziri Mkuu wa Zanzibar Kassim Hanga aliuliwa na mpaka leo...
  4. Waziri Mwigulu: Serikali imeomba msaada au mkopo wa trilioni 7

    Mapema leo nimefanya mazungumzo kwa njia ya mtandao na Dkt. Sidi Ould Tah, Mkurugenzi Mkuu wa @badeabank kujadili namna ya kuharakisha upatikanaji wa fedha za mkopo nafuu na msaada Dola Bilioni 3 sawa na takriban Shilingi Trilioni 7. Benki ya BADEA iliahidi kuipatia Tanzania mkopo huu wa...
  5. B

    Mbona vile vyama vya siasa vidogo vidogo havihamasishi wanachama wao kuwania Uspika?

    Inaelezwa Tanzania ina jumla ya vyama vya siasa takriban 19, lakini inajulikana vingi vya hivi ni pro-CCM havifanyi shuguli zozote za siasa, yaani vipo vipo tu vikivizia matukio ya kitaifa. Hujitutumua tu pale utawala unahitaji kuvitumia katika kuvibana vile vyama vya upinzani vikubwa hasa CDM...
  6. F

    Mbona wanafunzi wa vyuo hawapewi mikopo inayotosheleza?

    Serikali imesema wanafunzi wanalipwa mikopo lakini mbona hiyo mikopo inalipwa robo tu hadi nusu? Kama unamlipa mwanafunzi mkopo ambao ataurejesha, kwanini umpe mkopo ambao haumtoshelezi? Mbona tunajisifia kuwa tunakusanya kodi kubwa kila mwezi lakini wakati wa kulipa ni matanga? Hata...
  7. Kilio chetu wanageita kwa mama.veta ya geita mbona imetelekezwa ujenzi umesimama miaka mingi nini hatma

    Kilio chetu kwa serikali yetu sikivu yenye kupenda maendeleo hapa kwetu geita miaka kadhaa iliyopita kulikuwa kuna ujenzi tulioambiwa ni WA chuo cha veta ambao ulikuwa ukiendelea ulikuja kusimama mpk sasa ni muda sana majengo yanabaki magofu pesa za serikali zishatumika mpk pale ilipo fika...
  8. Mashirika mbona hayatoi gawio kama tulivyozoea wakati wa awamu ya tano?

    Nashangaa kwa Sasa hakuna shirika la umma linalotoa gawio kwa serikali ni Upuuzi na Ujinga kuamini kwamba tanesco Haina fedha za nguzo Sasa wanafanya biashara au wanatoa huduma???
  9. Mbona hamumzunguzii Nungunungu Master?au mnasuburi mpaka achelewe kambini

    Mnamsema tu Sakho, Kanute, Onyango na Verane! Tuache choyo ndugu zanguni. Yupo Jonas Mkude Nungunungu Master anaachia miba kimya kimya. Tumpe heshima yake. Aliyeanzisha hizi tuzo naye apewe tuzo. Ni motivation kubwa sana kwa wachezaji
  10. Huko Twitter leo tumeacha kuzungumzia kesi ya Chairman Mbowe, mbona tunajisahau kwa masuala yasiyo na umuhimu kwetu?

    Mwenyekiti yupo ndani kwa kesi ya kubumba. Yupo ndani na anahitaji sapoti yetu kwa kila namna. By any means necessary. Leo hii kila mwanaCdm anakomaa juu ya Spika Ndugai kuponda mikopo, tunakomaa juu ya Sgr kujengwa kwa mkopo. My take; Tushikamane na tuache uashabiki.
  11. UDSM, IFM mbona mpo kimya majina ya vyuo vyenu yanapotumika katika video za ngono?

    Kumetokea mtindo wa kusambaa kwa video za ngono (maarufu kama connection) na ambazo muhusika au wahusika katika video hizo wanatajwa kuwa ni wanafunzi wa chuo fulani nchini, mara nyingi ni UDSM, IFM na hata UDOM. Sijawahi kusikia mamlaka za vyuo hivi zikiongelea kuhusu video hizi, ni kama...
  12. Polepole: Hii sio awamu ya Sita bali ni ya Tano kipindi cha pili, aliyeondoka ni Magufuli peke yake

    Wakuu, Mbunge wa kuteuliwa na mtunga Sheria Humphrey Polepole, anadai hii awamu ya rais Samia sio awamu ya sita. Rais Samia alisema yeye ndiye rais ya awamu ya Sita. Kwamba ni awamu ya sita kipindi cha kwanza. "Hii serikali sio mpya,haikupigiwa kura, huwezi ukaita awamu ya sita, awamu lazima...
  13. Wanaume, hii tabia ya kukwepa sala ya asubuhi mbona inazidi kulalamikiwa

    Unapata mchumba mpenda dini, mnafunga ndoa na hata kanisani anaaminika kiasi cha kupewa uwongozi katika moja ya kamati za kanisa kwakua ana mahudhurio mazuri na pia ana heshimu wakubwa na wadogo katika kauli zake. Nyumbani mnasali sala asubuhi na jioni, tena mnajikabidhi katika mkono ya Mungu...
  14. B

    Kwanini Dar es Salaam magari binafsi aina ya Landcruiser V8 yako mengi sana?

    Sijajua watu wanafukua wapi hela, Kila siku huku Dar Nakutana Na land cruiser v8 zenye condition nzuri tena Gari binafsi zenye Plate number D, najiuliza na hii mishahara midogo ya taasisi za kibongo ya laki 8 kwa mwezi, watu wanawezaje miliki Na ku-maintain gari ya Tshs million 80 - million 200...
  15. Tathmini ya Kisiasa- Mpangaji huyu mbona haeleweki!

    Habari zenu wakuu wenzangu. Kuna huyu mpangaji ambae amekuwa tatizo kubwa kwa mwenye nyumba na wapangaji wenzake. Chanzo ni hivi... baada ya malalamiko mengi kuhusiana na nyumba aliyopanga Zuberi, ikabidi mwenye nyumba aitishe mkutano ili kujadili changamoto zinazoikabili nyumba yake. Katika...
  16. Kama Chairman Mbowe hana kosa mbona Mnyika alimtuma Zitto kwenda kumuombea msamaha?

  17. L

    Zito mbona hujiamini, acha kuwa mpole sana kwa Lisu na chadema

    Chadema na Lisu mnatakiwa mheshimu mawazo ya vyama vingine. Leo mmeshambulia sana Zito licha ya Zito kuwa mpole lakini hamna adabu. Zito acha kuwa mpole sana kwa hawa watu. ebu sikia hapaona jinsi lisu anavyomtusi Zito. Siyo fair kabsa Lisu kampiga zito spanna lisu kulikuwa kuna haja ya...
  18. T

    Hayati Magufuli atabaki msingi mzuri wa mabadiliko makubwa ya kiuchumi na kijamii kwa vizazi vijavyo.

    Kwa ambao hatukubahatika kuuona uongozi wa Mwalimu Nyerere tukiwa na uelewa na ufahamu timamu tunajivunia kupata fursa ya kuuona, kuushuhudia na kuuelewa utawala wa Hayati Magufuli ambao kulingana na simulizi mbalimbali toka kwa wazee waliobahatika kufanya kazi na Mwalimu wanasema unafanana kwa...
  19. Mbona kama vile kwa jirani kunawaka moto? Au Bado ni Moshi tu?

    Kuna Mwananchi kamwaga Mafuta kwenye moto, unazidi kusambaa chini kwa chini. Kila Kuni inataja "zambi" za mwenzie... Huenda week ijayo Ikawa shubiri kwa baadhi ya "wahanga". Je ni Nini hatma ya "Wahamiaji"? Watawapaje hifadhi wakati moto unawaka nyumba nzima?? Kuna moto huko....
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…