mbona

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hizi simu mbona bei rahisi hivyo kunani

    Habari. Hawa mabwana wanajiita Samsung discount wapo china plaza bei zao ziko chini sana ukilinganisha na maduka mengi yanayo uza simu za kufanana na hizo mpaka nimeshawishi nataka nikachukue Note 10+ lakini ninakuwa na wasiwasi ebu team Samsung nitoeni uwoga na wasiwasi nataka nikaitie petrol...
  2. Tangazo la Serikali kufuta ada kwa watahiniwa linachanganya

    Habari za mchana wana JF, Moja kwa moja. Ninavyojua tokea elimu ilivyoanza rasmi kutolewa hakuna ada yeyote inayolipwa mpaka mwanafunzi anafanya mtihani na kumaliza kila kitu bure kasoro kidato cha tano na cha sita sasa kilichofutwa leo ni kipi? #UziTayari
  3. J

    SoC02 Amka Afrika, amka mama!

    Kwanini unalala bado? Kwanini unalikumbatia shuka bado? Kumekwisha kucha, jua limekwisha chomoza. Amka sasa eeh mama Afrika maana majukumu yako ni mengi. Watoto wako wanalia njaa zinawauma, wanalia majirani zao wanawaonea, kwanini usiamke uwafariji wana wako...
  4. Hivi stendi ya daladala Sabasaba Dodoma wameshindwa kuwatenganisha wauza bidhaa za sokoni na parking za daladala?

    Nashindwa kuelewa, yaani eneo la nyuma ya stendi kuna soko la vyakula, ila cha ajabu sehemu zinapopark daladala zimezungukwa kwa kupangwa nyanya, viazi, machungwa nk. Yaani njia ya kupita shida pindi unapanda daladala, hata madereva wanalalamikia hili. Pia hupelekea watu kupigana kwa kunyaga...
  5. Kunani, mbona JK kakasirika hivi?

    Rais mstaafu wa awamu ya nne leo yupo kwenye sherehe za kilele cha maadhimisho ya miaka 10 ya chuo cha Taifa cha Ulinzi ambapo mgeni rasmi ni Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania. Tofauti na JK mwenye bashasha, mchana huu JK sura yake sio ya mchezo mchezo mpaka TBC wamekwepesha camera.
  6. D

    Mnatuchosha wanasiasa. Mtulipishe tu huo umeme wenu laki 8, Kila kitu tumejenga shule, afya mara barabara. Hizo V8 zenu mbona hamzitaji?

    Viongozi wa serikali Kila gharama serikali inayoingia kuhudumia jamii mnalalamika wakati Kodi mnazichukua kwetu. Kwani mnataka pesa ya serikali mfanyie nini? Mbona kama V8 zenu, maposho na mishahara mikubwa mnayolipana hatulalamiki? Juzi Waziri Afya eti NHIF inapata hasara Hadi kutamani...
  7. M

    Wabunge Festo Sanga na Subira Mgalu mbona mnahangaika kumtetea Waziri Makamba kauli ya Umeme Laki 8?

    Siku ya leo mitandao yote ya kijamii inazunguka Clip ya Waziri wa Nishati, Januari Makamba ikisema kuanzia sasa gharama ya kuunganisha umeme iwe mjini iwe kijijini gharama ya kuletewa umeme ni laki 8. Clip hiyo imetokana na sehemu ya mahojiano ya ITV katika Kipindi cha Dakika 45 Makamba...
  8. Mbona sioni ulinzi wa kutisha kwa viongozi wakubwa wa Kenya?

    Nimekuwa nikifuatilia kwa Karibu Sana, kipindi chote cha uchaguzi mkuu wa Kenya, sijaona msururu wa walinzi wa viongozi hao, wakilindwa na ulinzi wa kuwalinda viongozi hao, pamoja na uhasama mkubwa, uliokuwepo huko Kenya, Katika kipindi chote cha uchaguzi huo. Muda huu naangalia TV za Kenya...
  9. S

    Mbona kama dera ni oversize? Wanaohusika wako makini?

    Jamani naona Mama kapiga vazi fulani ila ni kama oversize na halimtoi vizuri kimuonekano. Swali ni je, wanaohusika na mavazi ya Mama wako makini? Ukiwa mkubwa, ujue hakuna dogo la kupuuzwa.
  10. Rais Samia mbona unajifichaficha?

    Kwako Mheshimiwa Rais, kuna mambo yanatendeka hapa nchini yanakuhitaji wewe moja kwa moja useme ndiyo au hapana. Hawa wasaidizi wako tumeshawachoka. Maana stories ni zile zile ooh tunalifanyia kazi na hakuna kinachoendelea. Swala la tozo na kodi unatakiwa uje front useme tulipe au la. Siyo...
  11. Mwigulu mbona wakati hayati JPM yupo watoto walisoma na kupata mikopo ya chuo kikuu bila tozo?

    Ina maana huko nyuma pesa za kukopesha wanafunzi zilitoka wapi 👇
  12. R

    SoC02 Mbona tunazidi kuangamia kwa magonjwa yasiyoambukiza(non-communicable diseases)

    MAGONJWA YASIYO AMBUKIZA Ni aina ya magonjwa ambayo hayawezi kusambaa kutoka Kwa mtu moja kwenda kwa mwingine. Mfano; magonjwa ya moto, saratani(cancer), Pumu, kisukari n.k Ni kweli tafiti nyingi zimefanywa na kugundua kunabaadh ya haya magonjwa yanakuwa ya kurithi, pia kunasababu ambazo...
  13. H

    Mzee Lowassa wapi jamani, mbona kimya sana

    Nauliza mzee Lowassa yupo wapi? Mbona hatumsikii kabisa. Tumezoea kumuona mzee Lowassa akitoa maoni yake kuhusu mwenendo wa Serikali aidha kukosoa au kusifia lakini amekuwa kimya muda mrefu sijui yupo wapi?
  14. Mbona hajatuaga? Je, ameshakabidhi?

    Nauliza tu kama amepita kuaga kwenye vituo? Sio lazima bali ni utamaduni wetu. Kwa mtu ambaye ametumika na kutumikia ilitakiwa at least atuage na sisi huku! Anyway kama ameshaenda tunamtakia kila la kheri. Ubalozi mwema!
  15. Waziri Juma Aweso, sifa zake zinatoka wapi? Mbona matatizo ya maji ni mengi mno

    Kiukweli sijajua wanaomsifia huyu mtu wanatumia vigezo gani; 1. Baada ya kulipa bili ya kuonganishiwa maji itachukua hata nusu mwaka kuungishiwa bomba mpaka mitaro inajifukia(mabomba wanasema hamna na hapa rushwa na watu wa stoo ndio kwao kama TANESCO). 2. Wananchi kujichangisha mamilioni ili...
  16. N

    Hivi wale majaji wa zamani hapa Tanzania mbona walikuwa imara sana?

    Nakumbuka kesi nyingi nzito Serikali ilikuwa inapigwa chini. Wakina Mtikila, Masumbuko Lamwai, Mabere Marando nk. kama wana hoja za msingi wanashinda kesi. Siku hizi mbona vijikesi vidogo tu ni mwendo wa kuahirisha kwa week moja au ndiyo kusikilizia maamuzi kutoka juu?! This is very sad and...
  17. M

    Makarani wa Sensa, mbona hili Swali limekaa Kibinafsi na Kiuchokozi zaidi?

    Je, unatumia Choo cha Shimo au cha Kuflashi? Hili linahusikaje na idadi ya Watu tunaohesabiwa? Tunakoelekea mtakuja Kutuuliza huwa tunaenda haja kubwa mara ngapi kwa Siku na ya aina gani pia.
  18. Cedric Kaze vipi boss mbona Yanga imepunguza kukaba kitimu na kwa nguvu?

    Cedric Kaze nakukubali sana Mwalimu unajua sana kukaba mashabiki lia lia tunajua kuwa Yanga haifungiki sasa msimu huu mbona naona kama Yanga haiko imara sana pasi si nyingi kama mwaka jana, uwezo wa timu kumiliki mpira na kupasua katikati kwenda mbele kushambulia umepungua, mabeki wanarudisha...
  19. Mbona hawapigani?

    Nani ameelewa hii sanaa ya Kipanya?
  20. Tathmini fupi baada ya tamko la Mzee Kinana kuhusu kero ya Polisi wa Usalama Barabarani

    Ni kama wiki sasa imepita mara baada ya naibu mwenyekiti ccm taifa, Dkt. Abdulahman Kinana, zimeshatokea ajali mbili za magari na kuondoka na roho za watu kadhaa, sababu ni mwendokasi. Tukiangalia kisiasa na kimihemko,traffic police hawana cha maana wanachofanya barabarani zaidi ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…