mbona

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mlioko nchini Mali mbona hamtupi Updates zenu za Mganga wenu Kuzuiliwa tena Airport kama kule Tunisia?

    Si huwa mnasema kuwa Simba SC tu pekee ndiyo Walozi ( Wachawi ) kwa Soka la Tanzania? Na akirejea Tanzania mtatuambia hayo Manyoya ya Sungura na Bundi aliyabeba ya nini kwenda nayo nchini Mali. Tukutane baada ya Mechi Usiku Ok?
  2. Kama ndoa na kuoa ni jambo zuri mbona mnapanic tuacheni na kauli mbiu yetu ya kukataa ndoa na kuoa

    Hello mambo!! Wahenga walisema kizuri cha jiuza kibaya cha jitembeza. Kwa muktadha huo tuishi uhuru wa kifikra, kimaamuzi, iwe haki na huru. Kama ndoa ni nzuri mbona mnatumia nguvu kubwata na hizo tantalila tantalila zenu. Dunia ndio hii hii ukioa au ukiolewa pambana na hali yako. Kataa ndoa...
  3. UAE SWAT challenge, mbona Majeshi yetu hayashiriki?

    Haya ninmashindano ya umahiri katika uokoaji, yanahusika MAJESHI mbalimbali na tactical units. .wenzetu Kenya kwa mwaka huu wamepeleka vikosi vitatu, nchi zingine zilizopeleka MAJESHI Yao ni Rwanda, South Africa .nk. Nashauri MAJESHI YETU yawe yanashiriki pia Ili kujipima uwezo wao...
  4. kupata passport mbona longolongo kibao nini tatizo

    Hapa naomba nifahamu mbona kuna ugumu wa kupata passport ya kusafiria na kuna mzunguko mwingi sana .
  5. Timothy Weah, mtoto wa Rais George Weah aliyejikita kusakata kabumbu na kutayarisha muziki

    Timothy Weah, huyu ni raia wa marekani ila kwa kuzaliwa ,ila baba ake ni raia wa Liberia, Huyu Timothy ni mtoto wa rais wa Liberia ila leo mtoto wake aliitetea Marekani katika kombe la Dunia2022. Timothy ambaye pia ni mtayarishaji wa muziki (Producer) ila hii kazi ufanya kwa muda wake kozi ni...
  6. Mdude Nyagali akamatwa na Polisi mkoani Mbeya. Aachiwa huru bila masharti

    Kuna tetesi nasikia kuwa mdude Chadema amekamatwa muda huu anaelekea kwa RCO! Mdude chadema sumu ya nyigu ---- Polisi Mkoani Mbeya wamemchukua @mdudechadematz Muda huu Akiwa Soko la Kabwe, Askari walimpigia Simu Kama Raia wakihitaji Kununua Vitabu vyake, baada ya Kukutana nao wamemkamata...
  7. J

    Tuachane na matokeo, Camera za CAF Champions League mbona ni mbovu kiasi hiki?

    Kwa mlioangalia mechi za Simba na Yanga kwenye Champions league mliona jinsi picha za mchezo ule zilivyokuwa za hovyo, mara nyingi mpira ulikuwa hauonekani. Yaani hata Camera za Azam kwenye mechi za kwa Mkapa zinakuwa na quality kuliko za CAF. Utafikiri wanatumia camera za simu za Tecno
  8. M

    Mbona wana Yanga SC hawatucheki wana Simba SC kwa Kipigo cha Jana na Horoya FC?

    Nimetizima Kurasa za akina Ali Kamwe, Haji Manara, Mtandao wao Klabu, Chawa wote wa Yanga SC, Mashabiki Wao Maarufu kama Rafiki yangu Carlos na wana Yanga SC wote wa hapa JamiiForums sijaona Kokote wakitucheka Simba SC kwa Kimoko cha Nguruwe tulichopigwa Jana huko nchini Guinea. Na hii siyo...
  9. Leo Kibaraka wa CCM mzee Lipumba alikuwa na mkutano hapa Dar, mbona hatupati updates?

    Leo yule kibaraka wa CCM alikuwa na mkutano wa hadhara hapa dar, je alikuwa na jipya lolote? CCM walikuwa wanamjazia watu ili ionekane bado yuko hai kisiasa na chama chake. Kwa wale walihudhuria huo mkutano hebu watupe nini aliongea, na mahudhurio yalikuwaje?
  10. M

    Mwigulu acha kupanick, jibu hoja za Luhaga Mpina. Kwanini utumie reserve ya dola kujengea madarasa nje ya bajeti? Mbona awali hukusema kweli?

    We Mwigulu umekengeuka sana. Unajifanya mbabe na maneno ya dharau wakati unahojiwa hoja za msingi. Hivi kwanini ulidanganya hapo awali kuwa ulitumia bil 124 kujenga madarasa nje ya bajeti. Sasa hivi unadai kutumia reserve ya dola zenye thamani ya tril moja kujenga madarasa. Tukuamini kwa...
  11. Mwigulu mzee wa proffesional ya uchumi. Kama pesa za Uviko zilijenga madarasa Mbona ulitumia bil 124 nje ya bajeti? Acha kumshambulia shujaa Mpina

    Kelele kibao na kejeli. Eti wewe ni mjuvi wa uchumi? Mbona umeshindwa kusimamia fiscal policy na kudhibiti bei ya maharagwe? Eti tujadili uganga? Wewe ndio una amini uchawi? Pesa za uviko zilijenga madarasa na mkatuambia yanatosheleza. Sasa kwa nini udokoe bil 124 nje ya bajeti?
  12. R

    Vyombo vyote vya habari vinatamani kuongea na Lissu; mbona tulimtuhumu kama msaliti?

    Naona Lisu akipewa mialiko kila Kona ya nchi, vyombo vya habari vinakimbizana kuhojiana naye tofauti na awali tulivyoaminishwa Kwamba huyu ni msaliti na MTU asiyelitakia mema Taifa letu. Kwa speed ya mahojiano inavyokwenda soon TBC nao watamtafuta wazungumze naye akikaa vibaya hata Chanel ten...
  13. Azam Tv msimu huu mbona hamuoneshi Emirates F.A Cup?

    Misimu iliyopita tulikuwa tunakula burudani ya Kombe la FA kupitia AzamTv Sasa hivi michuano inaendelea AzamTv haoneshi labda ile Carabao Cup. Sasa kama mnashindwa kuonesha Emirates FA Cup mtaweza kweli mziki wa EPL? Nilikuepo!
  14. Rais wa Yanga SC Injinia Hersi mlimleta Bigirimana kwa Mbwembwe zote, mbona sasa mnaachana nae Kimya Kimya?

    Naona nae Kawadindia ( Kawakatalia ) na anataka mumlipe Tsh Milioni 700 zake la sivyo anabisha hodi FIFA Kudadadeki. Halafu Injinia Hersi Said ( Rais wa Yanga SC ) na GSM wako ( yako ) si mnasema mna Hela? Sasa mbona mnamsumbua mno Tajiri wa NATION GAS Rosti Tamu ukila na Aziz pamoja na Mzee...
  15. Mbona Serikali ipo kimya kuhusu Meli ya mizigo ya Tanzania ambayo imezama huko Iran?

    Inasemekana sababu za kuzama ni upangaji mbovu wa makontena -- A Tanzanian cargo ship has on Tuesday January 24, sank in a jetty in the southern Iranian port of Assaluyeh, Iranian state media has reported. The official IRNA news agency said the vessel named Anil overturned because...
  16. S

    Nchi zinazopinga ushoga zinatumia kigezo gani? Mbona hazipingi ukahaba na uasherati?

    Ukifuatilia sababu kubwa inayotolewa na nchi nyingi ikiwemo Tanzania ktk kupinga ushoga wanadai ni chukizo kwa Mungu. Ndipo sasa najiuliza chukizo kwa Mungu ni ushoga peke yake? Kwann haziharamishi ukahaba na ufuska kama ilivyofanya Indonesia? Indonesia wamepitisha Sheria kuwa mwanamke kuzaa...
  17. Kunani Lissu na mkewe? Mbona hakumsindikiza airport Ubelgiji, wala hajaja kumpokea airport DSM?

    Najiuliza tu hili swali, wanaojua watufahamishe. Hawa watu wamekuwa wakiambatana katika shughuli nyingi, kulikoni?
  18. Orodha ya walioachwa Ukuu wa Wilaya

    1) Basila Mwanukuzi 2) Jerry Muro 3)Siriel Mchembe. 4)Gabriel Zachariah. 5)Jasinta Mboneko. 6)Mathayo Masele. 7)Zainabu Kawawa. 8)Tano Mwera. 9)Abbas Kayanda. 10)Festo Kiswaga. 11)Wilson Shimo.
  19. Mbona kuoa wake wengi kama hoja kuu ni ulafi wa ngono tu?

    Wasalaam wana JF Hivi katika hali ya kijamii au kiimani mbona hiki kibali cha kuoa wake zaidi ya mmoja sioni mantiki zaidi ya starehe ya ngono, kama nguvu kazi ya kiuchumi mfano kilimo so unaweza kukodi vibarua, je, mwanamke ni chombo cha starehe kwa mwanaume? Kwanini yeye mwanamke pia asiwe na...
  20. Nini hatma ya COVID 19? Imeishia wapi mbona haina tena tension

    Habar wana jamii nauliza. Je, covid 19 imeishia wap naona wale wazungu walokua wanaweka lockdown leo wana socialize kawaida je ni kwambo covid ipo au ilikua ni siasa tuuh Na cha kushangaza zaidi ipo china ambapo marekani huamin ndo ilipotea .....let us discus this thread
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…