mbona

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mbona wanawake wa Marekani wapo very happy 24/7 to compare na hawa wa huku Tanzania?

    Nilikuwa YouTube Muda huu naangalia video za Jack wa USA this guy anaweka content za wanawake wa Marekani most of them wapo happy kwanza wazuri wakipewa salamu wanaitikia kwa bashasha kubwa Sana. Njmegundua huku Tanzania umasikini wa uchumi umewafanya mademu kuwa watu wa hovyo Sana Hawana raha...
  2. Kunani Yanga yetu mbona mpo kimya sana suala la usajili?

    Misimu miwili nyuma yanga walikuwa moto sana kwenye usajili msimu huu mbona kimya sana kunani?
  3. M

    Mzee Mwinyi mbona upo kimya? Alipoingia madarakani Rais Samia ulimsihi afuate na kuendeleza mazuri ya hayati

    Nakumbuka ulienda Ikulu na moja ya kauli yako kubwa ilikuwa mazuri yenye tija na taifa hili yaendelezwe. Leo hii kuna mkataba tata wa bandari za Tanganyika. Upo kimya. Wewe ndio mzee wa taifa hili.
  4. Bandari ya Zanzibar imeshapita IGA na Oman kwa sasa ni mikataba ya HGA

    Zanzibar hamuisikii ikiongelewa kwa kuwa yanayofanyika Zanziba sasa hivi ni tayari wapo hatua za utendaji. Mikataba imefikia hatua za kibiashara, siyo IGA tena. Mikataba ya Kibiashara hatuwezi kuivujisha sisi lakini kwa kuwa wenyewe watendaji wamewachia, sasa hatuna "obligations" za " Non...
  5. S

    Rais wangu mpendwa nchi hii imekuwa ya migomo? Mbona wakati wa Magufuli hatukuona hata kikundi kimoja kikijaribu hata kuwaza kugoma? Why now?

    Mpendwa rais wangu Dr. Samia Suluhu Hassan kumekuwa na maandamano hapo yakifanywa na vikundi mbalimbali, yalianzia mkoani Dar Es Salaam wakati wafanyabiashara wa Kariakoo walivyogoma, yakaenda Iringa wafanyabiashara vilevile, yakahamia Mwanza wafanyabiashara wa baa, leo yako Arusha...
  6. Mnaokatalia Yanga wakisema wameshinda Treble. Je, Msimu wa 2021/22 Mamelodi walishinda Treble gani?

    Niambieni walishinda CAF msimu huo? Kila Sehemu na Tamaduni zake katika Football, Afrika tuna utamaduni wetu tofauti na Ulaya Japo tunaweza endana kwenye vitu flan but vingine tukatofautiana.
  7. Jaji Mugasha Apewe Maua Yake Kupinga Uvunjifu wa Katiba Ukomo wa CJ, ila Mbona Hili ni Dogo Tuu, Kubwa ni Katiba Yetu Imenajisiwa! Why Wako Kimya?!.

    Wanabodi, Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa huja na makala zangu za kwa Maslahi ya Taifa. Makala ya leo ni pongezi kwa Jaji Stella Mugasha wa Mahakama ya Rufani Tanzania, kusimama kidete, kupinga uvunjifu wa katiba uliofanywa na Rais wa JMT, kumuongezea muda wa kuhudumu katika nafasi ya...
  8. Tanga leo ni Idd, BAKWATA mbona mnatukanganya?

    Baadhi ya waislamu jijini Tanga asubuhi leo Jumatano Juni 28, 2023 wamejitokeza kuswali swala ya Eid al Haji katika uwanja wa Tangamano. My Take Bakwata kuweni Serious basi ,mnatukanganya.
  9. Kiongozi wa Wagner, Prigozhin mbona hajafika Belarus

    Kukiwa kumebaki kilomita 200 tu msafara wa vifaru vya uasi wa Wagner mara ulisitishwa na kutolewa tangazo kuwa kiongozi wa uasi huo, Prigozhin amesitisha uasi huo na kuwataka askari wake warudi makambini mwao. Pamoja na hivyo ikatangazwa kuwa kaika makubaliono ya Urusi na kiongozi huyo...
  10. K

    Kwanini MOU za DP world za hivi ni kwa Africa tu. Uingereza mbona hawana!

    https://apnews.com/article/middle-east-africa-china-hong-kong-e01b827fd55dd5fba9d13f5e5baabade Ni nchi za Africa tu ndiyo tuna sign MOU za ajabu . DP world ipo Uingereza watuonyeshe MOU yao. Wenzetu wa African wapo kwenye makesi
  11. K

    Duka la Vunjabei hapa Mbeya mbona limedoda sana?

    Ni mwaka sasa niko Mbeya, huyu jamaa anajiita vunjabei alifunggua duka lake hapa Sido mbeya kwa mbwembwe lakini naamini hauzi hata laki mbili kwa siku maana hakuna wateja kabisa pale. Nikipita maeneo yale ya sido naona wafanyakazi wake wamekaa nje tu wamejishika tama. Tatizo nini wakuu?
  12. Mkataba wa kuendesha Bandari za Tanzania wa DP WORLD ya Dubai hautazihusu Bandari za Zanzibar

    Miongoni mwa siri zilizofichuliwa leo kuhusu Mkataba wa kuiuzia kampuni ya Waarabu Bandari za Tanzania, imo habari kwamba Bandari zitakazohusika ni zile za Tanganyika Pekee, za Zanzibar hazitahusika. Ikumbukwe kwamba Bandari ni miongoni mwa mambo ya Muungano, ikiwa kama jambo hili lina faida...
  13. Huyu si alishamtema Mwamba? Mbona anajipigisha U-Turn?

    Kwamba alikua anatingisha kiberiti au?
  14. Mbona kama utabiri huu unataka kutimia!

    Nimekumbuka video hii ya nabii mmoja huko Afrika kusini aliyasema haya mwaka jana, cheki hii iko you tube. hii issue ya kuuzwa bandari inaweza kuwa kosa la kwanza
  15. S

    Tuhuma za kughushiwa saini mkataba wa kuuza bandari mbona hazijadiliwi?

    KUNA tuhuma nzito zinazoendelea kwenye umma kuhusiana na baadhi ya saini za mkataba wa Tanzania na Dubai kuwa zimeghushiwa...na inaweza kutuletea shida baadae upande mmoja ukaja kusema hautambui mkataba huo. Hizi tuhuma kwanini wengi hawazingumzii zaidi wanabishana kuhusu kauli ya Mbowe...
  16. Kipi kimempata Rais Samia mbona alikuwa anaenda vizuri tu?

    Inasononesha sana hali hii ya SINTOFAHAMU inayoendelea kulikumba taifa kwa kile kinachotajwa ufisadi mkubwa kupitia mkataba uhusuo bandari yetu na Waarabu. Mwanzoni alikuwa anaonekana yupo sawa kiuongozi lakini kwa kinachoendelea ni wazi ni pigo kuu kisiasa na AIBU kwake. Kipi kimemkuta Rais...
  17. TMA mbona mpo kimya kwa hizi mvua za June?

    Wananzengo mmeamkaje leo? Kuanzia wiki ya mwisho ya mwezi Mei hadi kuingia Juni 2023 hali ya hewa imekuwa ya mvua na hatujui hizi ni mvua gani. Msimu wa Mei kuelejea Julai huwa ni aghalabu kuwa na mvua kwani mazao yanakuwa yanakaribia kuvunwa. Lekini ukimya wa Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA)...
  18. L

    ATCL mbona kama delays zimezidi sana

    Wiki hii kumekuwa na delays nyingi sana za ndege za ATCL.hii inasabibsha usumbufu sana sana. Ushari wa bure,kama una ticket ya ATCL,Saa ya kuondoka haina uhakika.Yaani ni kama treni ya kwenda kigoma hiv. Halafu communication ni poor hiv UPDATES. Tumetoka Dar leo saa 11:30 jioni kuelekea...
  19. Kama Serikali Haiamini Katika Uchawi, Mbona Inaamini Katika Kuukimbiza Mwenge?

    Msimamo wa Serikali ni kuwa Haina dini, ila watu wake ndiyo wenye dini. Labda, inaweza ikawa ni kweli. Serikali imetuambia pia kuwa haiamini katika uchawi, lakini ni wachache watakaoweza kulipokea hilo! Kwani Mwenge ni nini kama siyo uchawi? Inasemekana, Mbio za mwenge ziliasisiwa na mchawi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…