mbona

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    Makonda, unajiua mwenyewe mbona hustuki?

    Bahenga walisema sikio la kufa halisikii dawa. Mwenezi unadai kuna watu wanataka kukuua. Tena si upinzani Bali ni CCM. Unakichafua chama chako mwenyewe kuwa na wauaji Sasa nakutonya, uko kwenye mtego ndio maana kwenye maadhimisho ya miaka 47 hukusikia kiongozi mwengine ngazi ya Taifa akiongea...
  2. B

    Mzee Kinana mbona hujatuambia CCM inapata ruzuku kiasi gani?

    Nimemsikiliza Mzee wangu Komredi Kinana eti akisema wamewapa ruzuku CHADEMA na kuwapakazia akataja na kiasi. MIMI nimuulize mzee wetu, je, CCM inapata ruzuku kiasi gani? Akisema au akitaja basi nawaambia wananchi watazirai siku hiyo! Maana ni pesa nyingi sana lakini hata haieleweki zinakwenda...
  3. Watu wanaolalamikia internet kufosi Starlink mbona Voda, airtel wana unlimited nzuri kwa 120,000 tu kwa mwezi

    Habari wadau. Binafsi nawashangaa sana watu wanaolalamikia kwa nini star link haipo? Chief-Mkwawa amelinganisha vizuri kuhusu bei za internet ya starlink vs bei za ISP wa bongo. Bei za unlimited bongo now Airtel 70,000, TTCL 55,000, Vodacom 120,000, Zuku 69,000, Raha 50,000, Netsolution...
  4. TANZIA Mwana-JamiiForums, Thadei Ole Mushi afariki dunia

    MwanaCCM na MwanaJF Thadei Ole Mushi amefariki dunia. Ole Mushi alikuwa anaugua kwa muda mrefu. Thadei amefariki duniani asubuhi hii katika hospitali ya moyo JKCI, Muhimbili. Mwenyezi Mungu ampumzishe mahali pema peponi na atupe nguvu na faraja. Zaidi soma Ole Mushi ni mgonjwa sana...
  5. Kila Siku tunamsifia Kipa Djigui Diara kuwa ana Footwork nzuri Jana mbona hakuitumia ili zile Gongo Mbili zisiingie Nyavuni mwake?

    Hakika Ivorry Coast wamenipa Furaha Kubwa jana kwa Kutinga Kibabe Semi Final ya AFCON kwa Kuwatoa / Kuwafurumusha rasmi Mashindanoni Timu ya Taifa ya Mali yenye Mchezaji Mmoja kutoka Klabu Moja NISIYOIPENDA Tanzania. Haupendi UTANI achana na huu Uzi!
  6. D

    M23 wailaumu TPDF kutumia silaha nzito za kivita kulinda amani DRC

    TPDF inapeleka kisago(sio kipigo) cha mbwa koko huko DRC Vijana wa M23 eti wanaonya JW kuendelea kuwashambulia itajilaumu baadae wameitaka iache mara moja vinginevyo itapigwa.
  7. Ile duniani ya ushindani wa wanasayansi imenda wapi mbona kimya?

    Uvumbuzi siku hizi duniani umekwisha ? Au watu wenye akili nyingi wamepungua ? Ile dunia wakati huo wanasayansi mbalimbali wakipigana vikumbo na mchaka mchaka wa kushindana kubuni formula, vitu na mambo mbalimbali ya kisayansi sasa kimya. Ukisoma historia mchaka mchaka duniani enzi hizo wakina...
  8. A

    DOKEZO Responded Ndugu yetu aliyekamatwa kwa kuzuia Watoto kwenda shule mbona hapewi dhamana na Polisi?

    Mimi ni mkazi wa Mwanza, Wilaya ya Ilemela naomba msaada kwa mamlaka zinazohusika kuhusu ndugu yetu. Kuna ile habari ya yule kijana aliyekamatwa Namtumbo (Ruvuma) kwa kosa la kuhubiri watu wasisome ili wajipange kumpokea Yesu, Mtumishi wa Mungu Erick Manyanya ( 33) Mwinjilisti wa Kanisa la...
  9. Millard Ayo, kimetokea nini? Mbona umefungiwa Google?

    Ukiingia tu kwenye website ya millardayo.com unakutana na message hii.
  10. Simon Msuva basi hata kama uliamua Kumpigia pande huyo Shemeji yako Mzungu Taifa Stars, mbona ana Kiwango kibovu hivyo?

    Halafu hapo hapo tena tukaambiwa kuwa huyo Shemeji yako ( Mchezaji Mweupe kutokea Uingereza ) anacheza Ligi Daraja la Tatu wakati kumbe anacheza Ligi Daraja la Tano Uingereza ambalo kwa huku Kwetu Tanzania ni sawa tu na Ndondo Cup ile ya Shaffih Dauda. Kwahiyo Simon Msuva ( Shemeji Mtu ) na TFF...
  11. Kumbe Uwanja wa Gwambina sasa unaitwa Fountain Gate Stadium? Mbona kimya kimya?

    "Singida Fountain Gate FC tumeamua kuweka Kambi yetu hapa Fountain Gate Stadium ambayo zamani ilikuwa ni Gwambina ila kujiandaa na Mechi yetu ijayo huku huku Kanda ya Ziwa" amesema Msemaji wa Singida Fountain Gate FC Hussein Massanza Chanzo: Sports Extra ya Clouds FM muda si mrefu (Usiku huu)...
  12. Mbona waarabu wameogopa kujiunga kwenye kesi ya SA dhidi ya Israel kule ICJ

    Hawa waarabu wamekua wakilalamika sana kwa kichapo cha Israel dhidi ya HAMAS, ila waoga likija suala la matendo, wameshindwa kujiunga kwenye kesi ya Afrika Kusini dhidi ya Israel..... Last Friday, the International Court of Justice (ICJ) concluded the first hearing of the South African case...
  13. TAMISEMI mbona mnachelewa kufidia watu wa bonde la mto Msimbazi?

    Kwenu tamisemi. Serekali imeshaweka nia na kutenga fungu mahususi kwa ajili ya fidia ya wakaazi wa bonde la mto msimbazi. Ni wazi kwamba wakaazi wengi wasiokuwa na hati (squatters) wamefidiwa flat rate shs mil 4. Pamoja na fidia ya majengo. Pale kwenye bonde kuna hati nane(8)ambazo serekali...
  14. Nyimbo za kwenye vitabu vya siku hizi mbona hatujui zinaimbwaje

    Nimejaribu kufuatilia nimegundua pamoja na maendeleo makubwa ya sasa na njia za mawasiliano kuboreshwa, bado kuna kitu watu wa elimu wameyumba sana. Zamani vitabu viliandikwa vinyimbo nyimbo na takribani kila sehemu uliyokwenda ungekuta watu wanajua toni ya wimbo husika lakini siku hizi...
  15. Mikopo ya asilimia 10 Kwa vijana vipi mbona kimya

    November 2023 Waziri mkuu Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa alifungua Wiki ya Huduma ya Fedha Kitaifa, jijini Arusha na kutoa maagizo kwa Ofisi ya Rais- Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) na Wizara ya Fedha kumaliza mchakato wa utoaji wa mikopo ya asilimia 10 uliokuwa...
  16. PreGE2025 Mbona CHADEMA mnalalamikia zoezi la usafi wakati RC Chalamila hajalaumu maandamano yenu?

    CHADEMA kupitia Mwenyekiti Mbowe wametangaza kufanyika maandamano Dar es Salaam, January 24, 2024. Lakini pia RC wa Dar es Salaam Bwana Chalamila Albert ametangaza Majeshi ya Ulinzi na Usalama kufanya usafi mkoani kwake tarehe 23-24 January 2024. CHADEMA kila kona mitandaoni wanamlaumu RC...
  17. Kama hayati Magufuli alikiwa dhalimu mbona anakumbukwa na raia wanyonge kila kona na wanamchukia rais Samia?

    Tumieni akili acheni ujinga na upuuzi. Kila kona watu watu wanalalamika kuna dhuluma na uhuni. Mbona hayati Magufuli alipinga haya? Mbona alikusanya mapato na kudhibiti wizi wa mali za umma. Haya mbona hamsemi ukweli kuwa mama amefeli? Mama amefeli
  18. Mbona vitu vya electronics ni bei rahisi China? Kumbe mikoani tunapigwa hivi?

    Leo nimeamua kuperuzi baada ya kupata business idea ya kufungua duka la electronics, phone and accecories. Nikasema acha niiingie kwenye application ya Alibaba kuona bei za electronics huko china na huku bongo. Mfano hapo glass protector ni Usd 0.01 napo zingine ni mpaka Usd 0.15 sawa na...
  19. Penati kakosa Kagere mbona Yanga mnaumia?

    Nimechunguza Kagere alivyokosa pigo la mwisho la penati wengi wanaolaumu na kudhihaki ni wapenzi, mashabiki halikadhalika na viongozi wa yanga kuliko singida wenyewe. Yanga walishasema hawakuwekeza nguvu sana kwenye hiyo michuano, walichukulia kama mazoezi na kuangalia wachezaji wao wale...
  20. G

    DOKEZO TAKUKURU mbona hamuwakamati trafiki wanaochukua rushwa hadharani?

    Muda huu saa sita kamili mchana hapa Stendi ya Morroco (Dar es Salaam) kuna askari watatu wanakusanya hela hadharani kwa kila Daladala inayosimama kituoni. TAKUKURU tokeni maofisini muwakamate hawa majambazi katika nguo nyeupe. Ninachojiuliza mbona wanaofanya hivyo hadharani hawachukuliwi hatua?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…